Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

Huyu haaminiki hayo itakuwa kayatuingia hapohapo kwani nani kathibitisha hiyo msg kweli imetoka kwa Mpango?
 
Kwa hiyo ni kweli Dr. Mpango amelazwa? Na sasa kaanza kufanya “mazoezi ya kifua” baada ya ile changamoto ya kupumua kupata nafuu kiasi?

Tutafunguka taratibu tu. Facts and figures never lie...
unaongea as if wewe umekata inshwarensi kwmaba huwez kuugua au kujitia keyboard waria hapa.
nashangaa sana humu kuagiza flan afe mbona flan hafi.mauti yapo tu kwa kila mtu huwez kumpangia mtu afe kwa utashi wako wa kisiasa.
anaweza kuumwa kama tunavooumwa mim au wewe au mwingine na yyte anaweza kufa mnaleta siasa
 
Hao wanaofurahia vifo vya wengine hawajui wana roho gani.
 
Hawa watu walikuwa kwenye nafasi za maamuzi. Siyo average citizens-walikuwa na dhamana ya nafasi kubwa! wangeweza kushape response ya taifa letu kwenye hili janga.

Huyu Mh. mara nyingi ameonekana hata hana barakoa! Leo tunaletewa nonsense eti kifo ni mpango wa Mungu! kuna kifo cha kawaida ambacho wote tunakisubiri. Lakini kuna vifo vya uzembe na kutojali. Kinachoendelea hapa kwetu ni vifo vinavyochangiwa na kutojali na uzembe. Viongozi wakubwa kama hawa wana la kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu.

Namuombea afike huko Mbinguni akutane na Mungu amuulize alifanya nini kwa nafasi yake kuwakinga raia wenzake
 
Mungu ampe unafuu na kumrudishia busara na uwezo wa kuona machungu ya Watanzania wanaodhulumiwa Mali na fedha zao kwa kisingizio Cha kukusanya kodi na mapato ya serikali.

Pia amuongoze vyema katika kuidhinisha matumizi ya serikali yanayozingatia uaminifu na kufuata Sheria na taratibu sahihi
 
Ukiwa na akili timamu unatakiwa ujiulize, kwanini watanzania tumeanza kuombea vifo na mabaya mengine ilihali haikuwa utamaduni wetu? nani amefufikisha kwenye hii hali mbaya ya chuki na visasi? jibu ni moja tu kuna kundi la wachache wanajiona wao ndiyo wenye hati miliki na nchi hiii na wengine ni waimbiki, mtawala unapokuwa mbaguzi matokeo yake ndiyo haya ya chuki na visasi. Kiongozi ni kuonyesha njia na siyo kuwa mbaguzi wa namna yoyote ile.
 
Anatakiwa ajitafakari sn kwanini watu wamuzushie mabaya kwanini isiwe JK, Mkuchika au Anthony Mtaka?
 
Kwa hiyo ni kweli Dr. Mpango amelazwa? Na sasa kaanza kufanya “mazoezi ya kifua” baada ya ile changamoto ya kupumua kupata nafuu kiasi?

Tutafunguka taratibu tu. Facts and figures never lie...
Mkuu uliwahi kuona wapi pembe la ng'ombe linajificha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…