Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

Kwani ni lazima kufanya press coference? Jamaa bado anaumwa na kalazimishwa kuongea na wanahabari. Na hakusema kama kaugua corona. Watanzania nani katuroga? Tumekua kama mazuzu.
Iwe kalazimishwa au hiari yake ni ujinga tu kwani kama karuhusiwa angeenda kupumzika kwake hadi apate nguvu kuna tatizo gani kuliko kuita conference huku hata nguvu za kuzungumza hana

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mbona Maalim seif alipoongea hukutokwa povu
Ni wakati gani Maalim Seif aliita waandishi kuongelea habari za ugonjwa uliomsibu?

Mzee Mpango ni mtu mzima, angekausha tu maana ugonjwa ni issue binafsi...
 
Kuna sentens nimemsikia akisema "nanimeanza kazi leo leo wale wenzangu wakuchungulia chungulia NMB sasahiv wanacheka"
 
Kumbe alikuwa anaumwa kweli? Nilijua mijamaa ilikuwa inazusha tu.

Mshukuru sana Mungu, usije ukakufuru ukamshukuru yule jamaa yetu kama walivyofanya wale vigogo wa Pentekoste.
Mishetani mmeshindwa
 
Mh mbona balaa, ukiupata kwa mara ya pili with these long Covid-19 effects lazima ukamsalimie Mungu.
 
Kwani ni lazima kufanya press coference? Jamaa bado anaumwa na kalazimishwa kuongea na wanahabari. Na hakusema kama kaugua corona. Watanzania nani katuroga? Tumekua kama mazuzu.
Mtu anaonekana bado yuko hoi,anajitokeza na kufanya press conference ,shida yote hiyo ni juu ya nini? halafu hajavaa barakoa anakohoa kohoakohoa tu ,hapo anataka kumfurahisha nani? watu wamesoma lakini hawajaelimika kwa kweli
 
Kumbe alikuwa anaumwa kweli? Nilijua mijamaa ilikuwa inazusha tu.

Mshukuru sana Mungu, usije ukakufuru ukamshukuru yule jamaa yetu kama walivyofanya wale vigogo wa Pentekoste.
[/QUOTE

😀😀
 
Uko sahihi kiasi chake mkuu.

Lakini kumuona qualified Daktari yupo na mgonjwa anayekohoa bila hata mask. Na anajua kabisa huyu mgonjwa ana COVID ambayo haijapona….... Imenifanya niwaze huyu bwana elimu yake inamsaidia vipi.... Nimeogopa sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…