TANZIA Dkt. Shogo Mlozi, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki afariki dunia

She has gone too early. Rest in peace. She seemed smart enough."

The life is really fullfilled of pleasures and sadnesses, but by the grace of God we still passing through all situations.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work
 
Bado unarudia kilekile, hujaeleza upuuzi au kutokuwa na umuhimu kwa elimu ambayo ndio hoja yangu.
Tena wewe hujafanikiwa pamoja na hizo degree zako tatu kwa sababu ya uwezo mdogo wa kuelewa, ulifanikiwa kujaza makaratasi. Unakaza fuvu.

Aliyekwambia mtu akifeli Form 4 hatakiwi kufanikiwa kwenye mambo mengine nani?
Na huyo Diamond kwani amefanikiwa kuliko wasomi wote.
Nani alikwambia ukiwa na Degree tatu unatakiwa umzidi Diamond ndio utakuwa umefanikiwa?

Kama ulikuwa unashindana na Diamond si ungeimba, sasa Degree tatu zote alafu unajilinganisha naye na hamfanyi field moja. Maskini wa akili wewe.
 
Prof Sedoyeka wamezaliwa wawili tu?

Hivi ni kabila gani? Amekuwa rector kijana sana.

Zamani alikuwa na kipindi tbc cha mambo ya technology wakati huo alikuwa ni doctor na ni lecturer ifm.

Baba yake, alikuwa DC mpaka wakati wa JK.
 
RIP Shogo. Aka Twiga. Aka engineer aliyeasi.

Kifo kina ukatili sana. Ulikuwa dada mwema. Mwenye malengo yake. Ulikuwa dada unajielewa. Wengi humu watakuhukumu na kuhusisha mafanikio yako na surname yako. Ukweli ni kwamba ulikuwa dada msomi. Mpenda kujituma na mengineyo. Yes inawezekana nyayo za wazazi zili influence maisha yako hasa ya kisiasa. Lakini haikuondolei ukweli kwamba Ulikuwa dada mpambanaji. You were a true gain to any human soul you encountered.

Ulikuwa very kind kwa wale waliobahatika kukutana na wewe au kuwa karibu yako. Personally, I will miss that big smile of yours…Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yako pema peponi Shogo.

Tangu enzi za FoE, Ubungo, Finland, Larger Europe...you will be dearly missed. Nakumbuka your first trip to Helsinki when you were doing your PhD, in 🇨🇳. Nakumbuka tulivyobishana while sharing a drink in one of the streets in Europe……...nikikuchallenge kwa nini hukwenda kufanya PhD Europe. Ukinitania kwa nguvu zoteee….🤲🏻

You were a true human and your soul will live with us forever.

Nakumbuka ukinipa story of your young brother Nsolo you loved so much.. ( whom I have never had a chance to meet)….nakumbuka how you were so excited alivopata kazi NMB. May he keep shining and lighting up the world as you always.

Shogo, we shared a lot. Your memories and moments will forever be with me, and others you touched.

Namuombea mume wako mpenzi , watoto wako uliowaacha hapa duniani, wazazi na ndugu waweze kuhimili hili pigo, ambalo kiukweli halimithiriki. Hakika ni Mungu pekee ndo ataweza kuwafariji.

Kama tulivyoingia duniani kwa zamu, basi wote tunasubiri zamu zetu kuondoka.

Go well dearest Shogo! Forever in our hearts.
 
Yani hivi vifo vya uzazi vinasikitisha mno jamani...naogopa kabisa kuongeza mtoto wa 6...na lengo langu lilikua atleast watoto 8...
Fyatua Watoto wewe, lini kifo kiliepukika ikiwa tarehe na aina ya kifo kilishapangwa na Mungu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Wewe ndiye mjinga unayelazimisha kwamba ili ufanikiwe ni lazima uwe umesoma.
Kwa akili zako hizi wewe utakuwa mtu mwenye msongo sana wa mawazo kutokana na elimu uliyo nayo na mafanikio uliyo nayo.
Kiufupi elimu na mafanikio sio lazima ziende sambamba.
Halafu fanya research watu wengi waliofanikiwa kiuchumi sana hapa dunia hawajasoma sana.
Kuhusu mimi kusoma, tena sasa hivi ni PhD candidate ninasoma kama hobby ndugu nina mishe zangu za ujasiriamali tofauti kabisa na nilivyosomea.
Punguza hasira kwa watu waliokuzidi na jifunze kuappriciate your life every one is unique.
 
Wapi nimesema Elimu haina maana kwenye maelezo yangu.
Kila kitu kina umuhimu wake.
Ila kipaji kina lipa zaidi ya elimu ndugu kwa sababu under Ceteris paribus, kila mtu anaweza kusoma kupata elimu ila kila mtu hawezi kuwa na kipaji fulani
Nasikilq mwenye kipaji anaweza kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…