Dkt. Slaa adaiwa kubadilishiwa mashtaka kutoka ya uchochezi na kuwa ya uhaini

Dkt. Slaa adaiwa kubadilishiwa mashtaka kutoka ya uchochezi na kuwa ya uhaini

Waarabu Wana pesa chafu Kuna watu wameshakula hela hizo kilichobaki ni kuua ama kutesa anayekuja na mtazamo tofaoti na wao. Magorofa yananunuliwa kwa wingi na kwa Siri huko Dubai
 
Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter:

Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI. Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv. Dickson Matata. Anakuwa mtu wa tatu.
Lengo ni kuwaweka ndani bila dhamana hadi wageni watakapotamalaki vizuri bandari zetu!! Mtuhuniwa wa uhaini huwa hana dhamana!! Ni kama vile makelele ya chura YANAMKERA mchotamaji hata kama hayamzuii!! dhamiri zinawauma!!
 
Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter:

Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI. Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv. Dickson Matata. Anakuwa mtu wa tatu.
Yana mwisho!!
 
WAMEMTUSI,KUMDHIHAKI, KUMSIMANGA,KUMTWEZA RAIS WETU KIPENZI CHETU, SIJUI KWA KUWA NI MWANAMKE, AU NI MPOLE AU SIJUI ALIZIDISHA USTAARABU...
Wafanye uendawazimu na waachwe tu kwani wakiguswa rais anakuwa kaingilia uhuru wao wa kuongea na kuwasilisha maoni yao!.

Huo uhuru ukizidi na ukiwa ni wa kipumbavu huyo Rais anayo haki ya kukuonyesha kwa vitendo ulichokifanya ni upumbavu.
 
Ninyi ni wa hivyohivyo tu. Huwa akili zenu huwa hazijitegemei huwa ni za maelekezo tu, hata mkiagizwa kuolewa huwa mnashangilia tu, wala hamjiulizi.
Maneno ya kijinga kama haya uyaongee humu humu jukwaani lakini yakiwa ni kichwa cha habari kwenye chombo cha habari fulani, kumbuka kuwa kushughulikiwa ni lazima.
 
Maneno ya kijinga kama haya uyaongee humu humu jukwaani lakini yakiwa ni kichwa cha habari kwenye chombo cha habari fulani, kumbuka kuwa kushughulikiwa ni lazima.
Na comment za kijinga kama hizo uwe unazitoalea humuhumu, tukikutana mitaani jitahidi kuuficha upumbavu wako.
Maana utakachofanywa uta left group.
 
Tutawashinda mafisadi

Tutawashinda wadini

Tutawashinda madalali wa hii nchi

Waarabu mnaweza kuja kwa kubebwa na hao watu wenu

But you won't stay long

Hii nchi ya TANGANYIKA ni yetu sisi watanganyika kile kikundi cha wahuni watacheka kwa muda tu

Mungu akutie nguvu Dr.slaa na mawakili wote mliokamatwa kuitetea nchi yetu ya Tanganyika
 
Sukuma gang kazini
Bila shaka wewe utakuwa umeharibikiwa huko kichwani kwako.
Sasa hapa ndio kitu gani umeandika na kwa sababu zipi hasa?

Nikikwambia, wewe kuendelea kujitambulisha kuwa sehemu ya CHADEMA ni kukitia hasara kubwa chama hicho, bado huelewi ninachoeleza.
CHADEMA ikiwa na watu wa aina yako ni hasara kubwa kuliko hii CCM iliyopo sasa inayotuvuruga kila mahali.

Unaweka vi-mada humu vya kujionyesha nawe ni mmoja wa watetezi wa CHADEMA, kumbe ni mtu duni kabisa?
 
Tutawashinda mafisadi

Tutawashinda wadini

Tutawashinda madalali wa hii nchi

Waarabu mnaweza kuja kwa kubebwa na hao watu wenu

But you won't stay long

Hii nchi ya TANGANYIKA ni yetu sisi watanganyika kile kikundi cha wahuni watacheka kwa muda tu

Mungu akutie nguvu Dr.slaa na mawakili wote mliokamatwa kuitetea nchi yetu ya Tanganyika
Mikwara mingi inaishia humu humu JF huko nje hakuna lolote la maana unaloweza kulifanya.
 
Nimesikiliza Prof Utajua Hujui huko Maria spaces, Prof. Uko sahihi kabisa. The BIG ISSUE IS;
WHAT TYPE OF JUDGES WILL PRESIDE OVER THE CASE?

Hiyo ndiyo issue kubwa, short of that hakuna kesi hapo.

Kama watakuwa kama wale wa Nyanda za Juu kusini, itakuwa shida.
 
Back
Top Bottom