NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Naona kitengo kimefanikiwa kumuondoa mama kwenye Reli sio!!?Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter:
Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI. Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv. Dickson Matata. Anakuwa mtu wa tatu.
Ngoma ya dp imelia hadi ilani ya CHAMA na mipango ya serikali imefifia kabisa!!!
YAANI DP world imetumika ipasavyo kuua utulivu wa mama na kuanza ku deal watu badala ya mipango ya maendeleo na kuitangaza!!