The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Time will tell . Umma haujawahi kushindwa na dolaAmeandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter:
Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI. Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv. Dickson Matata. Anakuwa mtu wa tatu.