Siasa za kigeugeu ni kutuaminisha mtu fisadi kwa miaka 8 na kwamba apigwe mawe halafu siku moja tu mkasema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani wakati miaka yote 8 mkisema nyie mnao.Pia alisema kupigwa risasi kwa Tundu Lissu ni jambo la kawaida sasa wacha anyee debe aache siasa za ukigeugeu.
Au nawe ulikuwa unaona Tundu Lissu kupigwa mvua ya risasi ni jambo la kawaidaSafari ya Mtanzania bado ndefu
Kama kwa sasa kwako hiyo ni topic muhimu kuliko kilichowaweka ndani mdude, slaa, na mwambukusi basi endelea kujadili hilo.Au nawe ulikuwa unaona Tundu Lissu kupigwa mvua ya risasi ni jambo la kawaida
Huyu ndiye Fitna namba moja hapa Tanzania. Na hii ni tabia aliyozaliwa nayo ndiyo maana alishindwa kazi ya kanisa.Hatimaye dr.slaa ameswekwa lupango kutokana na harakat zake za kisiasa
Dr. alishafanya majaribio kadhaa ili kujibrand lkn naamin hili litampaisha zaid na litamwezesha awe kinara ktk vichwa vya habar na hiyo itamfanya aonekane shujaa mpaka pale kesi itakapotamatika
Swali linalotesa watu wengi ni je akimaliza kesi yake ambayo bila shaka itafutwa kabla ya kufika kwenye hukumu atajiunga na chama gan???
Baadh ya wajuz wa mambo wa hapa karume mchikichin wanaamin hatojiunga na cdm ila kuna uwezekano mkubwa akajiunga na act ili kuendelea kuidumaza cdm
Na kwa mujibu wa wajuz wa mambo wanaamin haya yote yanaratibiwa na wananzengo ili uratibu wao wa 25 uende km wanavyotaka
Wajuz wa mambo walimalizia kwa kusema kuwa di pi[emoji289] huo ni mtego uliowekwa na wananzengo na kwa bakhti mbaya bibie na timu yake waliuingia mazima
Anastahili fitna huyu.Huyu atatoka baada ya miaka 8 gerezani tupo hapa. Uhaini siyo kesi ndogo ni kujaribu kumpindua rais aliyepo madarakani.
Sijamuongelea Mdude wala Mwambukusi nimekiongelea hichi kigagula kilichomtosa shujaa wangu Tundu Lissu alipokuwa katika hali ngumuKama kwa sasa kwako hiyo ni topic muhimu kuliko kilichowaweka ndani mdude, slaa, na mwambukusi basi endelea kujadili hilo.
Google au mpigie Abdul Nondo.ACT ina sera gani kwa sasa?
Bandari zetu zirudi kwanza kisha mengine yatafuataHatimaye dr.slaa ameswekwa lupango kutokana na harakat zake za kisiasa
Dr. alishafanya majaribio kadhaa ili kujibrand lkn naamin hili litampaisha zaid na litamwezesha awe kinara ktk vichwa vya habar na hiyo itamfanya aonekane shujaa mpaka pale kesi itakapotamatika
Swali linalotesa watu wengi ni je akimaliza kesi yake ambayo bila shaka itafutwa kabla ya kufika kwenye hukumu atajiunga na chama gan???
Baadh ya wajuz wa mambo wa hapa karume mchikichin wanaamin hatojiunga na cdm ila kuna uwezekano mkubwa akajiunga na act ili kuendelea kuidumaza cdm
Na kwa mujibu wa wajuz wa mambo wanaamin haya yote yanaratibiwa na wananzengo ili uratibu wao wa 25 uende km wanavyotaka
Wajuz wa mambo walimalizia kwa kusema kuwa di pi[emoji289] huo ni mtego uliowekwa na wananzengo na kwa bakhti mbaya bibie na timu yake waliuingia mazima
Endelea sasa kufikiri hivyo hivyo, huku ukisubiri kiyama kije kukuzoa wewe na takataka nyingine zinazokuleta humu JF.Ujanja wenu ni humu humu mitandaoni, huko mitaani ni waoga kama mbwa koko tui.
Zamu ya chiba nowSisi wafuasi wa Magufuli tuko na porp corn zetu tu hapa tunacheck hii movie. Maana tuliambiwa boss wetu ndio alikua Rais muovu kuliko wote duniani na huyu aliyeingia ni Chaguo la Mungu.
Kuhusu haini alishashitakiwa enzi za mkapa 1999 ,labda wampe ugaidi mpyaZamu ya chiba now
Umeona mbali! Ukitaka vita na nyoka mshike mkia wake.Huyu mama kachukia sana. ana dili nyingi na waarabu , sasa hii moja imevuja na watu wameishikia bango, ile ya ngorongoro watu walipiga kimnya.
Pia kapoteza mvuto kwa kasi ya 5G.. Hapo anafikiri dili zilizobaki na waarabu zitakuweje? Mwisho wa siku anatoa maamuzi mabovu sababu ya Hasila zake...SIKU YA KUFA NYANI ....
Yeah Lengo ni kuwapotezea muda tu ili baadae wakitoka watakuta mambo yote yameshaisha.Hayo makosa, yanaitwa fabricated, wahuni wanayafanya kwa malengo maalum, hapo wanajua kabisa hawana ushahidi wa kuthibitisha madai yao, watakachofanya ni kuwapeleka watuhumiwa mahakamani, then kila siku iwe ile habari yao ya bado uchunguzi unaendelea...
Watuhumiwa wanarudishwa rumande, wakipelekwa mahakamani tena tarehe nyingine, itakuwa hivyo hivyo uchunguzi unaendelea, wanafanya hivyo kwasababu wanajua hilo kosa halina dhamana, ndio maana wakabadilisha kutoka uchochezi, na kupeleka kwenye uhaini.
Hana seraGoogle au mpigie Abdul Nondo.
Huko nje wanaotamba ni polisi na landrover lao, hakuna shujaa wa nyuma wa keyboard wa aina ya Kalamu hata mmoja, mara ya mwisho walimsakizia binti mmoja mdogo akakamatwa na sijui kesi yake iliishaje.Endelea sasa kufikiri hivyo hivyo, huku ukisubiri kiyama kije kukuzoa wewe na takataka nyingine zinazokuleta humu JF.
Hamna pa kutokea tena, mmekwishajiweka kitanzi wenyewe.
Hopeless Kabisa.