Siasa za kigeugeu ni kutuaminisha mtu fisadi kwa miaka 8 na kwamba apigwe mawe halafu siku moja tu mkasema mwenye ushahidi aupeleke mahakamani wakati miaka yote 8 mkisema nyie mnao.Pia alisema kupigwa risasi kwa Tundu Lissu ni jambo la kawaida sasa wacha anyee debe aache siasa za ukigeugeu.
By the way, kumbe hii yote ni siasa tu? Mimi nilidhani mnaungana na kila anayepinga vipengele vibovu vya mkataba. Kumbe mnaunga mkono kasema nani na wala si hoja...
Safari ya Mtanzania bado ndefu