Dkt. Slaa adaiwa kubadilishiwa mashtaka kutoka ya uchochezi na kuwa ya uhaini

Dkt. Slaa adaiwa kubadilishiwa mashtaka kutoka ya uchochezi na kuwa ya uhaini

Sisi wafuasi wa Magufuli tuko na porp corn zetu tu hapa tunacheck hii movie. Maana tuliambiwa boss wetu ndio alikua Rais muovu kuliko wote duniani na huyu aliyeingia ni Chaguo la Mungu.
Musiwe munacheck tuu chukueni hatua huyu Dr alikuwa balozi wa Jiwe
 
Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter:

Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI.

Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv. Dickson Matata. Anakuwa mtu wa tatu.
---

Mwanzoni Dr.Slaa amehojiwa kwa kosa la Uchochezi kinyume na kifungu cha 55 (1) (C) (d)( e) cha sheria ya Kanuni ya adhabu (penal Code) Sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2022Baada ya muda tuhuma zikabadilika na kuwa uhaini.

Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv. Dickson Matata. Anakuwa mtu wa tatu.

Pia Soma:
- Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi
Wenye kionambali tulisema hawa waarabu watatuharibia nchi kwa kutugawa. Kama sasa nchi inaongozwa na wapenda rushwa ni perfect condition wao kumwaga hela sasa kutia adabu wote wanapinga mipango yao.
Mungu inusuru nchi yetu tanzania.
 
Hatimaye dr.slaa ameswekwa lupango kutokana na harakat zake za kisiasa

Dkt. alishafanya majaribio kadhaa ili kujibrand lkn naamin hili litampaisha zaid na litamwezesha awe kinara ktk vichwa vya habar na hiyo itamfanya aonekane shujaa mpaka pale kesi itakapotamatika

Swali linalotesa watu wengi ni je akimaliza kesi yake ambayo bila shaka itafutwa kabla ya kufika kwenye hukumu atajiunga na chama gan?

Baadh ya wajuz wa mambo wa hapa karume mchikichin wanaamin hatojiunga na cdm ila kuna uwezekano mkubwa akajiunga na act ili kuendelea kuidumaza cdm

Na kwa mujibu wa wajuz wa mambo wanaamin haya yote yanaratibiwa na wananzengo ili uratibu wao wa 25 uende kama wanavyotaka

Wajuz wa mambo walimalizia kwa kusema kuwa di pi[emoji289] huo ni mtego uliowekwa na wananzengo na kwa bakhti mbaya bibie na timu yake waliuingia mazima
 
Attachments

  • Screenshot_20230814-162422.png
    Screenshot_20230814-162422.png
    21.1 KB · Views: 1
Slaa kamwe hawezi kujiunga CHADEMA. Hao sio level yake. Slaa damuni ni mwanaCCM ila bahati mbaya hawezi kukaushia mambo ambayo anaona sio sawa hali inayomfanya awe mpinzani. Kwa sasa chama kinachomfaa ni ACT kwa sababu ACT ina sera zinazoendana na ukubwa wa Slaa tofauti na CHADEMA ambacho kimekosa sera na kubakia kutukana na kulalamika.
 
Aliukimbia UKAWA na kujipendekeza kwa Dikteta uchwara.
Alisimamia alichokisema kaa miaka 8 ya kwamba lowassa ni fisadi akiwa na hao hao wenzake wa ukawa.
Sasa aligeukaje akawa msafi siku moja?
Kama watu wanaweza kukwambia jambo miaka 8 mfululizo halafu wakageuka siku 1, unawezaje kuwaamini kwa mengine watakayosema?
 
Slaa kamwe hawezi kujiunga CHADEMA. Hao sio level yake. Slaa damuni ni mwanaCCM ila bahati mbaya hawezi kukaushia mambo ambayo anaona sio sawa hali inayomfanya awe mpinzani. Kwa sasa chama kinachomfaa ni ACT kwa sababu ACT ina sera zinazoendana na ukubwa wa Slaa tofauti na CHADEMA ambacho kimekosa sera na kubakia kutukana na kulalamika.
ACT ina sera gani kwa sasa?
 
Hatimaye dr.slaa ameswekwa lupango kutokana na harakat zake za kisiasa

Dr. alishafanya majaribio kadhaa ili kujibrand lkn naamin hili litampaisha zaid na litamwezesha awe kinara ktk vichwa vya habar na hiyo itamfanya aonekane shujaa mpaka pale kesi itakapotamatika

Swali linalotesa watu wengi ni je akimaliza kesi yake ambayo bila shaka itafutwa kabla ya kufika kwenye hukumu atajiunga na chama gan???

Baadh ya wajuz wa mambo wa hapa karume mchikichin wanaamin hatojiunga na cdm ila kuna uwezekano mkubwa akajiunga na act ili kuendelea kuidumaza cdm

Na kwa mujibu wa wajuz wa mambo wanaamin haya yote yanaratibiwa na wananzengo ili uratibu wao wa 25 uende km wanavyotaka

Wajuz wa mambo walimalizia kwa kusema kuwa di pi[emoji289] huo ni mtego uliowekwa na wananzengo na kwa bakhti mbaya bibie na timu yake waliuingia mazima
Game over.
 
Alisimamia alichokisema kaa miaka 8 ya kwamba lowassa ni fisadi akiwa na hao hao wenzake wa ukawa.
Sasa aligeukaje akawa msafi siku moja?
Kama watu wanaweza kukwambia jambo miaka 8 mfululizo halafu wakageuka siku 1, unawezaje kuwaamini kwa mengine watakayosema?
Pia alisema kupigwa risasi kwa Tundu Lissu ni jambo la kawaida sasa wacha anyee debe aache siasa za ukigeugeu.
 
Back
Top Bottom