Acha ukichaa wewe.Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Nyumbu baba yakoKwaakili za manyumbu wanamsubiri Mbowe akisema Dr slaa anafaa watasema ndiyoooo akisema ni msaliti wataamini hivyo mpaka kifo chao.
Huwez amini wamemsamehe lowasa dhambi zake zote na Zitto wanamuona ndo msaliti kumzidi hata lowasa! Siasa za Manyumbu mtu anatembea na bongo zao mifukoni. Haaraf hata hii post wakija watatukana tuu
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe.Wale jamaa waliojipanga kumharibia Samia ...wanaendelea na mpango au wanatafakari baada ya wewe kutueletea habari zao?
Samia why hawatimui??
Slaa aliondoka kipindi muhimu sana. wakati chafema inamuhitaji sana . Ni mnafiki first class . Siungi mkono hata kurudi kwake chadema.MSALITI anasamehewa lakini hawezi kuaminika tena. Dr Slaa ni msaliti wa daraja la kwanza! Aliondoka wakati chama kinamhitaji sana!! Apokelewa kama mwanachama kimya kimya!! Asiaminiwe kwenye nafasi yoyote ya uongozi, wala asipewe nafasi ya kugombea ubunge! Ni ng'ombe aliyekatwa mkia!
Na mkwewe mkuu toka enzi na enzi,cdm imekuwa mali yake
Narudia tena, hiyo mbeleko ya deep state ndio unadhani wana kubwa la maana. Waachwe wafanye siasa kama siasa bila mbeleko ya nje ya siasa, ndio utajua uwezo wao halisi. Hata ww ukipewa mbeleko ya mabavu utaonekana unaweza, lakini ukipoteza mbeleko ndio uwezo wako halisi utafahamika.Mkuu na kuamini ila kwa hili hapana, wote hatupendi CCM ila ina system ya viongozi wao sema wanasaidiwa na deep state kuwapa muongozo, walivo kosea wa kaweka mtu nje ya system JPM uliona madhara yake. Kwasasa hivi vijana wao wa urais tunawajua wote.
.1 HM
2 MN
3. JM
hao wote wamepikwa wana subiliwa tu phillip mpango hawezi kupewa uraisi iko nje ya system japo anjifanya mpole kwao ila hawamuamini.
Watakuambia una chuki Binafsi, ila ukweli ni kwamba CDM ni mali ya mtu na wala si chama cha Wananchi!Na mkwewe mkuu toka enzi na enzi,
mkwe kastaafu kampa chama.
Hamna kitu pale wanalamba ruzuku tu hizo kelele zoote.
Hivi aliondokaje vile? Mlimfanyaje? Kwenda kutumikia nchi kama balozi ni usaliti?MSALITI anasamehewa lakini hawezi kuaminika tena. Dr Slaa ni msaliti wa daraja la kwanza! Aliondoka wakati chama kinamhitaji sana!! Apokelewa kama mwanachama kimya kimya!! Asiaminiwe kwenye nafasi yoyote ya uongozi, wala asipewe nafasi ya kugombea ubunge! Ni ng'ombe aliyekatwa mkia!
Dr Slaa hawezi kuomba wala kurudi kule anajua mwenyewe kinachoendelea,Watakuambia una chuki Binafsi, ila ukweli ni kwamba CDM ni mali ya mtu na wala si chama cha Wananchi!
Tatizo lake anatumia akili ndogo kudanganya akili kubwa.Duh!
Mbona hii "sumu" ni hafifu sana!?
Dr Slaa hawezi kuomba wala kurudi kule anajua mwenyewe kinachoendelea,Watakuambia una chuki Binafsi, ila ukweli ni kwamba CDM ni mali ya mtu na wala si chama cha Wananchi!
Huyu poisonous yuko hapa kwa malengo ya kumlinda Samia na udhaifu wake wa kuuza bandari zetu, hana kazi nyingine ya maana anayofanya.Wewe ni MUONGO!
Mbona Lissu amesema Slaa anaweza rudi hajafukuzwa?
Mnapenda sana kuitungia maneno Chadema!
View attachment 2678753
Ila chadema chama dhaifu sana. Yaani LOWASA walimtukana wakaonyesha madhaifu yao. Baadaye wa kapiga deal katibu mkuu hakuona kabisa thamani ya LOWASA kwasababu yeye aliona hasafishiki. Pia Dr slaa kwangu naona ni shujaa zaidi kuliko mwanachadema yeyote kwasababu aliona ni fedheha kumnadi mtu ambaye miaka yote walimwita fisadi na mwizi. Mtu wa aina hiyo asingeweza kukaa meza moja na Dr slaa. Msimamo wa Dr slaa ni wa kuungwa mkono sana. Na nashauri chadema kama wana akili wamrudishe ataamsha vibes sana. Na tena watakuwa na mtu msafi sana kuliko wote. Na tangu Dr slaa aondoke chadema haina record yeyote ya kufanya jambo lolote likafanikiwa.MSALITI anasamehewa lakini hawezi kuaminika tena. Dr Slaa ni msaliti wa daraja la kwanza! Aliondoka wakati chama kinamhitaji sana!! Apokelewa kama mwanachama kimya kimya!! Asiaminiwe kwenye nafasi yoyote ya uongozi, wala asipewe nafasi ya kugombea ubunge! Ni ng'ombe aliyekatwa mkia!
Once a traitor...!Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka, huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa, Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu, na Mnyika wamekataa kuridhia.
Baadhi ya wana CHADEMA wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais, huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada, Mbowe au Lissu?