Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

Kama Lowasa alikaribishwa na akagombea Urais kupitia CHADEMA hakuna ajabu Dr Slaa kurudi kundini. Badala ya kumsimanga anatakiwa kukaribishwa kwa mikono miwili. Kwani Lowasa mwenyewe yuko wapi? CHADEMA ilifanya kosa kubwa kimkaribisha mtu ambaye tunaweza sema ndiye asili ya umaarufu wa neno UFISADI hapa Tanzania.
 
Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.

Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .

Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).

Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Acha ukichaa wewe.
Unaandika as if unapigwa bao
 
Kwaakili za manyumbu wanamsubiri Mbowe akisema Dr slaa anafaa watasema ndiyoooo akisema ni msaliti wataamini hivyo mpaka kifo chao.

Huwez amini wamemsamehe lowasa dhambi zake zote na Zitto wanamuona ndo msaliti kumzidi hata lowasa! Siasa za Manyumbu mtu anatembea na bongo zao mifukoni. Haaraf hata hii post wakija watatukana tuu
Nyumbu baba yako
 
Wale jamaa waliojipanga kumharibia Samia ...wanaendelea na mpango au wanatafakari baada ya wewe kutueletea habari zao?
Samia why hawatimui??
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe.
 
MSALITI anasamehewa lakini hawezi kuaminika tena. Dr Slaa ni msaliti wa daraja la kwanza! Aliondoka wakati chama kinamhitaji sana!! Apokelewa kama mwanachama kimya kimya!! Asiaminiwe kwenye nafasi yoyote ya uongozi, wala asipewe nafasi ya kugombea ubunge! Ni ng'ombe aliyekatwa mkia!
Slaa aliondoka kipindi muhimu sana. wakati chafema inamuhitaji sana . Ni mnafiki first class . Siungi mkono hata kurudi kwake chadema.
 
Mkuu na kuamini ila kwa hili hapana, wote hatupendi CCM ila ina system ya viongozi wao sema wanasaidiwa na deep state kuwapa muongozo, walivo kosea wa kaweka mtu nje ya system JPM uliona madhara yake. Kwasasa hivi vijana wao wa urais tunawajua wote.
.1 HM
2 MN
3. JM
hao wote wamepikwa wana subiliwa tu phillip mpango hawezi kupewa uraisi iko nje ya system japo anjifanya mpole kwao ila hawamuamini.
Narudia tena, hiyo mbeleko ya deep state ndio unadhani wana kubwa la maana. Waachwe wafanye siasa kama siasa bila mbeleko ya nje ya siasa, ndio utajua uwezo wao halisi. Hata ww ukipewa mbeleko ya mabavu utaonekana unaweza, lakini ukipoteza mbeleko ndio uwezo wako halisi utafahamika.
 
Achana na Lissu ambaye kwa sasa ni kama anasuasua, nani mwingine CDM ana akili na maono zaidi ya Dr. Slaa??
 
Na mkwewe mkuu toka enzi na enzi,
mkwe kastaafu kampa chama.
Hamna kitu pale wanalamba ruzuku tu hizo kelele zoote.
Watakuambia una chuki Binafsi, ila ukweli ni kwamba CDM ni mali ya mtu na wala si chama cha Wananchi!
 
MSALITI anasamehewa lakini hawezi kuaminika tena. Dr Slaa ni msaliti wa daraja la kwanza! Aliondoka wakati chama kinamhitaji sana!! Apokelewa kama mwanachama kimya kimya!! Asiaminiwe kwenye nafasi yoyote ya uongozi, wala asipewe nafasi ya kugombea ubunge! Ni ng'ombe aliyekatwa mkia!
Hivi aliondokaje vile? Mlimfanyaje? Kwenda kutumikia nchi kama balozi ni usaliti?
 
Watakuambia una chuki Binafsi, ila ukweli ni kwamba CDM ni mali ya mtu na wala si chama cha Wananchi!
Dr Slaa hawezi kuomba wala kurudi kule anajua mwenyewe kinachoendelea,
Ila ikifika ukweli anaongea kavukavu.
Kwani kuna kitu kakosa hapo km balozi mstaafu.
Ye kanyoosha maelezo tu kuhusu hayo mambo ya bandari na mikataba isiyoeleweka.
Ni tunaita kuchoma nyama giladi.
Sidhani km atarudia matapishi kule alitoka zamani sana.
Ana misimamo yake na iheshimiwe.
 
Chadema hawana mamlaka ya kumkataa anayetaka kujiunga na chama chao, ilimradi afuate taratibu zao, wewe poisonous ni chawa wa Samia unayejaribu kubadilisha upepo wa bandari.

Nilianza kukusoma kwenye andiko lako la mwanzo ukidai kuna watu wanamkwamisha Samia, kipofu usiyeona madhaifu ya wazi ya Samia, na sasa umekuja tena na huu uzi kuendelea kubadilisha upepo, kawadanganye wajinga.

"Lissu anamhofia Dr. Slaa" huu ndio ujinga wa mwisho kabisa ulioandika hapa.

Dr. Slaa ataendelea kuwagonga tu.
 
Watakuambia una chuki Binafsi, ila ukweli ni kwamba CDM ni mali ya mtu na wala si chama cha Wananchi!
Dr Slaa hawezi kuomba wala kurudi kule anajua mwenyewe kinachoendelea,
Ila ikifika ukweli anaongea kavukavu.
Kwani kuna kitu kakosa hapo km balozi mstaafu.
Ye kanyoosha maelezo tu kuhusu hayo mambo ya bandari na mikataba isiyoeleweka.
Ni tunaita kuchoma nyama giladi.
Sidhani km atarudia matapishi kule alitoka zamani sana.
Ana misimamo yake na iheshimiwe.
 
Wasaliti wote hawapaswi kurejea.
Ni sawa na mwanamke aliyekukimbia ulipokosa pesa
 
MSALITI anasamehewa lakini hawezi kuaminika tena. Dr Slaa ni msaliti wa daraja la kwanza! Aliondoka wakati chama kinamhitaji sana!! Apokelewa kama mwanachama kimya kimya!! Asiaminiwe kwenye nafasi yoyote ya uongozi, wala asipewe nafasi ya kugombea ubunge! Ni ng'ombe aliyekatwa mkia!
Ila chadema chama dhaifu sana. Yaani LOWASA walimtukana wakaonyesha madhaifu yao. Baadaye wa kapiga deal katibu mkuu hakuona kabisa thamani ya LOWASA kwasababu yeye aliona hasafishiki. Pia Dr slaa kwangu naona ni shujaa zaidi kuliko mwanachadema yeyote kwasababu aliona ni fedheha kumnadi mtu ambaye miaka yote walimwita fisadi na mwizi. Mtu wa aina hiyo asingeweza kukaa meza moja na Dr slaa. Msimamo wa Dr slaa ni wa kuungwa mkono sana. Na nashauri chadema kama wana akili wamrudishe ataamsha vibes sana. Na tena watakuwa na mtu msafi sana kuliko wote. Na tangu Dr slaa aondoke chadema haina record yeyote ya kufanya jambo lolote likafanikiwa.

I stand to be corrected

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.

Lakini mvutano mkubwa umeibuka, huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa, Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu, na Mnyika wamekataa kuridhia.

Baadhi ya wana CHADEMA wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais, huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).

Kazi kwenu makada, Mbowe au Lissu?
Once a traitor...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6b106324d14690734f03b1f0ec0c0e2a.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom