Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?