MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,266
Wewe umejuaje kama Dr. Slaa huwa anaingia jf kila mara na ID yake wakati umejiunga jf leo?Thibitisha haya unayosema.Dr.slaa amekua akiingia kwa ID yake mwenywe ni kwanini aingie na Id fake.
CC: Molemo, Mzito Kabwela Matola, Magesi, Tumaini Makene, Mikael P Aweda, Mohamedi Mtoi, Shardcole
umepotosha watu maana kwenye taarifa ya habari ya star tv slaa ameonyeshwa akiwa anahutubia njombe ina maana alienda dar kulala na leo akaenda njombe?
Thibitisha haya unayosema.Dr.slaa amekua akiingia kwa ID yake mwenywe ni kwanini aingie na Id fake.
CC: Molemo, Mzito Kabwela Matola, Magesi, Tumaini Makene, Mikael P Aweda, Mohamedi Mtoi, Shardcole
Wewe umejuaje kama Dr. Slaa huwa anaingia jf kila mara na ID yake wakati umejiunga jf leo?
Naona umewaita "makamanda" ili spinning ichangamke!!!
Weka kwanza picha ya gari hapa au mwambie Slaa aje kuthibitisha kwa kutumia ID yake verified, aache kujificha...
Wewe umejuaje kama Dr. Slaa huwa anaingia jf kila mara na ID yake wakati umejiunga jf leo?
Ungeweka picha ya hilo gari ingependeza zaidiWANABODI,
Usalama wa viongozi wa chama kikuu cha upinzani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) upo hatarini.Akiwa njia ni kutokea Iringa, Dr. Slaa amefuatiliwa na Gari aina ya Landcruiser yenye vioo vya giza (Tinted) lenye namba za usajili T963 ABN. Awali waliokua ndani ya gari la Dr. Slaa hawakushtuka sana japo waliona kuna mchezo wa gari hilo kuwapita kwa kasi na kisha kupunguza mwendo ghafla na kisha gari la Dr. Slaa kuwapita tena.Walichukulia kama vile ni mchezo wa kawaida hadi walipofika Morogoro na kushtuka zaidi na kuanza kuchukua tahadhari kwa kunakili namba ya gari hilo
Walipofika kibaha ilibidi watoe taarifa kwa askari wa usalama barabarani.
Dr. Slaa na maofisa wa chama akiwemo afisa habari walishtuka zaidi walipofika njia panda ya Tamko-Bunju ambayo mara nyingi hutumika kunapokua na foleni kubwa ya maghari(Traffic Jam) na kulikuta gari hilo likiwasubiri
Baada ya kufuata barabara kuingia jijini Dar Es Salaam gari hiyo ghafla ikaingia nyuma ya gari aliyokua akitumia Dr. Slaa aina ya Landcruiser yenye namba za usajili namba T834 BJG. Ndipo afisa wake aliyekua ndani ya gari akapanda juu (Roof Top) na kufanikiwa kulipiga picha gari hilo.
Kuona hilo likifanyika gari hilo likapaki pembeni na ghafla likaondoka na kupotea hadi muda huu walipoingia Ubungo.
Sasa katika mazingira haya taifa linaelekea wapi? Kama watu wanafuatiliwa na kufanyiwa vituko mchana kweupe usalama wa Watanzania na hasa wanaharakati na viongozi wa upinzani Tanzania uko wapi? Mambo haya ni bora yafahamike mapema na watanzania wayajue. Hili ni tukio lisilo la kawaida kipindi hiki ambacho umma umekosa imani (loose confidence) na vyombo vya dola vinavyotumika kwa matakwa ya kisiasa.
Kuna matukio kadhaa yametokea miaka na miezi michache iliyopita yanayotoa taswira mbaya juu ya usalama wa raia na baadhi ya viongozi wanaokosoa utawala. Siku za karibuni Viongozi wa CHADEMA wamekua wakiwindwa sana na tayari chama hiki kikuu cha upinzani kilishatoa tuhuma kwa Usalama wa Taifa na baadhi ya viongozi wa juu serikali kuhusika katika mipango haramu ya kukihujumu chama hicho na hata kufikia hatua ya kuwabambikia kesi viongozi wake.
Inavyoonekana una uzoefu wa muda mrefu pamoja na kujiandikisha jf leo mpaka unafahamu ID za watu hapa jf waliofukuzwa CHADEMA.Tangu ufukuzwe Chadema umekua desperate sana kwenye mitandao.....
Turudi kwenye mjadala
Inavyoonekana una uzoefu wa muda mrefu pamoja na kujiandikisha jf leo mpaka unafahamu ID za watu hapa jf waliofukuzwa CHADEMA.
Umeanza kuonyesha sura yako halisia. Simama kwenye uzi wako huu .Dude!
Ndiyo maana ninasema, hizi spinning zetu hazitawafikisha mbali.
sasa wewe ndo msemaji wa serikali au Magamba?Unatoka povu as if you are very sure with anything. Are you real a Tanzanian by the way? ShamelessSpinning at the highest order.
Hivi wewe kwa akili zako kama kweli kuna watu wanataka kuwadhuru viongozi wa CHADEMA watahangaika kwa jinsi unavyoelezea hapa.
Siyo kila jambo ni siasa siasa siasa. Siku hizi mwanasiasa hata akikumbana na vibaka anadai wanasiasa wanamfanyizia.
Jifunzeni kutokuwa wepesi wa kupata majibu kabla ya uchunguzi makini.
Cha kushangaza hao hao watu wa usalama mnaowatuhumu kwa matukio mbali mbali yanayowahusu, ndiyo hao hao mnaotueleza mlienda kulipoti tukio.
Yaani umeamua kuja na ID mahususi kwa ajiri ya SPINNING za kiulinzi.
Kweli tutasikia mengi.
Ni wazi sasa chama cha demokrasia na maendeleo kimekosa la maana la kuwaambia watanzania ili kuwashawishi kukipa kura katika uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Matukio yanayoendelea katika nchi ambayo almost 80% yanakihusisha chadema na matukio haya ni dalili za kupoteza muelekeo kuelekea 2015.
Tumeshuhudia kifo cha mwandishi wa habari mwangosi katika maandamano yasio na kibali cha polisi,
Vifo vya vijana wengine wawili katika nyakati tofauti katika maandamano ya cdm yalioharamu,
Vurugu za bungeni zikiongozwa na Godless Lema.
Uchafuzi wa hali ya usalama wa mji wa Arusha aliosabibisha huyu Lema.
M4c inaondeshwa kiuchonganishi zaidi na sio kuwaelimisha wananchi elimu ya uraia kama kinavyodai cdm kuwa ndio lengo la m4c.
Chama kinalalamika kama yatima na kila tukio utasikia serikali ndio chanzo.
Leo tena Slaa anafuatiliwa mbona mnahangaika kiasi hicho? Matukio yote ya uvunjifu wa amani uliosababishwa na chadema mnayatumia kama mtaji wa kisiasa.
Vp battybwoy kichaa kimeisha...CHADEMA mmezidi sasa hadi inatia kinyaa! Mnashindwa hata kutunga uongo ukafanana japo kidogo na ukweli?
Njoo na ID yako verified halafu uone kama wiki ijayo hukupelekwa mahakamani kwa kumchafua anayetumia hilo gari ulilotaja namba zake (Kama sio feki).
Sasa wewe unamfahamu vipi mtu aliyefukuzwa CHADEMA lakini hatumii verified id na mpaka muda huu ulikuwa haujakuwa jf members wakati yeye unayo.Kuna watu wengi hawajajisajili JF lakini ni wasomaji kwa muda mrefu
Wanataka kubalance story ya mama zitto
Una maana gani unaposema REAL. Kwa hiyo kwako REAL ni yule anakubali cheap spinning. Kama hiyo ndiyo maana yake, I'm not REAL Tanzaniasasa wewe ndo msemaji wa serikali au Magamba?Unatoka povu as if you are very sure with anything. Are you real a Tanzanian by the way? Shameless
Kuondolewa kwenye mjadala maana yake nini?
Dr. Slaa anapenda sana kujibu habari za udaku hapa JF. Kwanini asije kuthibitisha hii habari in person?
Story za kutekwa siku hizi zimekuwa deal la kupata umaarufu!!!