Dkt. Slaa Afuatiliwa na watu wasiojulikana kutoka Iringa hadi Dar Es Salaam


Nchi yenye amani zaidi ya miaka 50 na yenye rasilimali kuliko zote afrika mashariki, leo wananchi wake ni maskini zaidi hata ya Rwanda? nchi iliyokuwa na vita miaka kadhaa. Kuna Mbunge mmoja alisema Tanzania ni maskini kuliko Rwanda akashambuliwa sana na kuambiwa hana data, wenye data wakapinga leo watu wa Dunia ya kwanza wameongea labda na wao hawana Data. Kama huna kumbukumbu kaombe wakukukumbushe unaowaamini wenye Data.

Huenda unachoongea ni yale yale ya kutupilia mbali Hoja za Mbatia leo wameanza kuunda tume, Pia Hoja ya Mnyika leo wale wale wanagomea bajeti. Huu kama sio uendawazimu ni nini? Wenye akili na watoa ahadi zinazoweza kutekelezwa (Zisizo Hewa) Hebu tuchambulieni. PIa pitia hapa Bunge lakwamisha bajeti ya maji na Wabunge CCMhalafu hawa wabunge wanavyosema hewa ni wa CDM au naye wanatudanganya kuwa si hewa ni maji, Au wakati wanatupa hoja bunge lililopita maji yalikuwepo na leo yamekauka ndio maana wanafanya hivi, otherwise na wao ni CDM wasiokubali mazuri ya yanayofanywa na serikali?
 
Hii habari imekaa kwa mtindo wa kutafuta Sympathy, ionekane wameandamwa viongozi wote hasa kwa wakati huu ambao imeonekana kuwa Lema ana matatizo ambayo yeye mwenyewe kayasababisha huku kilaza wao mkuu wa mkoa akiya chochea kwa akili yake iliyompa maamuzi ya kipimbi!

Dr Slaa alikuwa akifuatiliwa na watu wasiojulikana akiwemo afisa habari, huyo afisa habari kashindwa kutuletea habari hapa kwa uhakika zaidi ama ndiyo wewe mwenyewe umefungua ID hii kwa kazi hii?

Chadema mkiendelea hivi mtakuwa hakuna tofauti na serkali ya sasa. Hiyo ni UDHAIFU namna mmelichukulia hili suala!
 

LAKINI wewe UMEJIUNGA LEO APRIL 26th Umeandika HOJA 16 Umeshakuwa na REP POWER 304?

Unaandika au Unacharanga... Sasa hizi habari zote zinakupata wewe 16 kwa siku moja???

Join Date : 26th April 2013
Posts : 16
Rep Power : 304
Likes Received2
Likes Given3
 
I know you butt boy about your hatred on Dr Slaa. Nothing new. Son of a devil is a devil.

Dr. Slaa as a person hana tatizo tatizo ni hizi njia zake za kulaghai watu na kuwatoa kwenye mijadal muhimu ya kitaifa. Yaani hapa tunajadili yeye kufuatiliwa na yeye mwenyewe yupo anasoma hasemi kitu!

Jana alifuatilia kwa ID yake unverified mjadala wa kutokusimama kwenye kijiji alichoahidi kusimama alivyoona mjadala unaenda vibaya akasign in haraka sana kwa ID yake na kujibu hoja.

Hapa akiona vijana wake wanashindwa kumtetea ataingia sasa hivi, we subiri kidogo tu.
 
Ana uhuru wa kufanya hivyo

Is that a Crime?
 

Dr. Slaa anatumia vihadithi kama hivi kujustify mamilioni anayolipwa na chama.
 
Ungeweka picha ya hilo gari ingependeza zaidi

Mkuu nipo kitengo hicho. Nipo kufuatilia hilo gari na nahakikisha picha inaletwa hapa hadi hiyo plate number na ikiwezekana hadi dereva aliye endesha hilo gari siku hiyo. Labda iwe hilo gari kwa namba hiyo halipo kabisa. Siku hizi haya mambo ni kwenda kwa ushahidi.
 
Dr. Slaa anatumia vihadithi kama hivi kujustify mamilioni anayolipwa na chama.

Ukute hata Dr. Slaa hajahusishwa ila tu ni mtu mwenye mahaba na Dr. Slaa. Mkuu, najitolea kutumikia nchi yangu. Tumechoka na hizi sarakasi. Nahakikisha hilo gari linapatikana na dereva wake na naleta habari kamili hapa hapa!
 
Ukute hata Dr. Slaa hajahusishwa ila tu ni mtu mwenye mahaba na Dr. Slaa. Mkuu, najitolea kutumikia nchi yangu. Tumechoka na hizi sarakasi. Nahakikisha hilo gari linapatikana na dereva wake na naleta habari kamili hapa hapa!

Safi sana.

Aliyeleta thread hapa tumeshamfahamu tayari, hatuumizi vichwa. Hajui aina ya tools tulizo nazo kuanalyse yanayoendelea.
 
CDM lazima wawe makini kwa kila hatua wanayofanya ukizingatia kauli zilizotolewa na wasira na mwigulu.
 
Ana uhuru wa kufanya hivyo

Is that a Crime?

Where Did U see that I mention it is a CRIME??? Don't U think that I'm FREE & INDEPENDENT to raise my VOICE as well?? it is not a ONE SIDED OBLIGATION Here??
 
For readers enlightenment, please not that Confederate Spy amewaita "makamanda" wote wakuu tunaowajua hapa JF isipokuwa "kamanda" Ben Saanane hajaitwa kwenye mjadala.

I hope you know what am talking about...
Unapiga ramli tu umiza kichwa upate ujira wako
 
Jadili hoja sio mtu

Huwezi kujadili kesi kabla ya kujua kama kuna kesi ya kujibu. Ndio maana tundu Lissu amesema kesi ya Lwakatare ifutwe, hajasema mkanda ni feki. ikionekana kuna kesi ya kujibu ndio mambo ya mkanda kuwa feki au "bonafine genuine" yatakuja.

sasa hapa hatuwezi kujadili hoja kabla hatujaona kama jambo lenyewe limetokea na lina uzito. Dr. Slaa kwa vile ni member na kwa vile amesoma hii thread anaweza kutuletea taarifa rasmi ya jinsi alivyofuatwa.

Wewe kama umelaghaika na unaona kuna hoja ya kuijadili ijadili peke yako. Wenzako wote tumeona hii habari famba mpaka tuletewe uthibitisho rasmi.

Kwanza aliyeandika thread hii mwenyewe kaja kwa ID yake verified na hakusema lolote la maana.
 
For readers enlightenment, please not that Confederate Spy amewaita "makamanda" wote wakuu tunaowajua hapa JF isipokuwa "kamanda" Ben Saanane hajaitwa kwenye mjadala.

I hope you know what am talking about...

Acha kuweweseka.Jadili hoja.Mtu yeyote aliyefilisika kichwani anajadili watu badala ya hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…