Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

Hoja za mlevi, Malaya, Mwizi, Fisadi, Shetani hazijadiliki bila kumuhusisha huyo mtoa hoja...

Watu Huwa wanahoji (Shetani kawa malaika au anatuhadaaa??) Wana Mantiki pia

..zinajadilika ili mradi zisituzuie kujadili hoja nyingine zenye uzito na umuhimu zaidi.

.
 
Hata kama inatakiwa tujadili hoja, ni lazima pia hiangaliwe credibility ya mtoa hoja.

..hoja inayojadiliwa ni sheria ya kuanzisha Tiss pamoja na majukumu na muenendo wa taasisi hiyo.

..Credibility ya Dr.Slaa inaathiri au inahusiana vipi na mchango wake ktk mada husika?

..Je, Dr.Slaa hajui anachokizungumzia kuhusu Sheria ya Tiss? Je, Dr.Slaa ni mshiriki wa maovu ambayo Tiss wanatuhumiwa nayo?

..Suala la credibility ya mhusika ni sahihi, lakini muhimu zaidi litumike kwa namna inayofaa.
 
Mzee anasaka huruma ya CHADEMA, maisha haya ndugu zangu tuwe tunakumbuka kuna kesho!!
 
Back
Top Bottom