- Thread starter
- #61
Lakini cheo cha ubalozi ni cha kudumu na maslahi yake yanaendelea hadi kufa
..mhusika anaendelea kuitwa balozi.
..lakini mabalozi wanastaafu sawa na watumishi wengine wa umma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini cheo cha ubalozi ni cha kudumu na maslahi yake yanaendelea hadi kufa
Lumumba fcDr Slaa ni mwanasiasa wa level ya juu mno. Ni mkubwa kuliko CHADEMA. Kwa hapa Tanzania Dr Slaa kisiasa yuko level ya Jakaya Kikwete na Edward Lowassa. Mwanasiasa anayewakaribia hao magwiji labda Zitto Kabwe.
CHADEMA kama mliweza kumpokea mtu mliyemtuhumu ni fisadi mtashindwa kumpokea mtu aliyekibeba chama mabegani? Acheni ku-pretend kwamba hamumtaki Dr Slaa wakati hali yenu ni mbaya
Haujulikani unaandika kichina au kiswahili !Dr Slaa ni mwanasiasa wa level ya juu mno. Ni mkubwa kuliko CHADEMA. Kwa hapa Tanzania Dr Slaa kisiasa yuko level ya Jakaya Kikwete na Edward Lowassa. Mwanasiasa anayewakaribia hao magwiji labda Zitto Kabwe.
CHADEMA kama mliweza kumpokea mtu mliyemtuhumu ni fisadi mtashindwa kumpokea mtu aliyekibeba chama mabegani? Acheni ku-pretend kwamba hamumtaki Dr Slaa wakati hali yenu ni mbaya.
[emoji38][emoji38][emoji38]Lumumba fc
Na hakuna jiwe litakalobaki juu ya jingine.AmenSiku ya mwisho kila goti litapigwa
Mkuu hakuna mwenye shaka na msimamo wa Slaa kabla ya uchaguzi wa 2015, lakini baada ya hapo ndio alikuwa sio. Hayo aliyopigia kelele kabla ya utawala wa Magufuli, wakati wa utawala wa Magufuli ndio yalikuwa dhahiri, na hakuongea chochote! Hivyo ukiweka hizo habari zake hapa muda huu ni kama kumpa promo asiyostahili...Ni kweli walikaa kimya wakati wa Magu.
..Lakini mambo haya ni vizuri yasemwesemwe, vinginevyo itakuwa kama hayakutokea.
Sasa anataka tena kuasi CCM, huyu niwakumuogopa kama ukoma, alichukia sana baada ya watu kumtetea Mbowe sio gaidi.Mpaka siku atakapokili na kuweka wazi jinsi alivyonunuliwa na akahamishiwa Canada chini ya ulinzi na baadae akapewa ubaluzi,atakua bado anaendeleza unafiki wake tu!!
Aliasi upadri,akaasi ndoa yake na kuopoa kimada,akaasi CCM na kuhamia CHADEMA,akaasi CHADEMA na kuhamia CCM tena,anaaminika?!!
Amekuwa mzuri lini....Slaa huyu huyu aliyesema Chadema wanatekana ili kuichafua serikali leo anasema dola inawahujumu?
Huyu watu walipokuwa kwenye kampeni ya Mbowe sio gaidi si ndio alipinga na kusema wanamkera?
Huyu si ndio alisema Tundu Lissu kupigwa risasi ni jambo la kawaida?
Anabakia CCM.Anarudi Chadema
Hata mimi.Sina imani na huyu Mzee.
Na ma cdm yalivyo yatampokea msalitiAnarudi mdogo mdogo..
Hivi unawajuwa wanasiasa lakiniAkirudi Chadema na kupokelewa kweli nitaamini uchawi upo.
Ubalozi.Naona Dr Slaa anakuja kivingine.
Kule club haouse hakosi kila siku.
Sijui huko ccm amekosa nini hadi arudi
Ni mkufunzi kwenye chuo kimoja cha serikali ???Yuko wapi Mkuu.
Tujuze
Na unasemaje yule dhalim baada ya kusema majizi yamekimbilia Chadema kisha akayapokea majizi kwa bashasha?Na ma cdm yalivyo yatampokea msaliti
Slaa huyu huyu aliyesema Chadema wanatekana ili kuichafua serikali leo anasema dola inawahujumu?..... amekuwa mzuri lini...Dr Slaa ni mwanasiasa wa level ya juu mno. Ni mkubwa kuliko CHADEMA. Kwa hapa Tanzania Dr Slaa kisiasa yuko level ya Jakaya Kikwete na Edward Lowassa. Mwanasiasa anayewakaribia hao magwiji labda Zitto Kabwe.
CHADEMA kama mliweza kumpokea mtu mliyemtuhumu ni fisadi mtashindwa kumpokea mtu aliyekibeba chama mabegani? Acheni ku-pretend kwamba hamumtaki Dr Slaa wakati hali yenu ni mbaya.