Dkt. Slaa afunguka mazito kuhusu hila za Dola na Polisi dhidi ya CHADEMA

Slaa huyu huyu aliyesema Chadema wanatekana ili kuichafua serikali leo anasema dola inawahujumu?

Huyu watu walipokuwa kwenye kampeni ya Mbowe sio gaidi si ndio alipinga na kusema wanamkera?

Huyu si ndio alisema Tundu Lissu kupigwa risasi ni jambo la kawaida?
Kuna wajinga washasahau
 
Huyu jamaa kwa sehemu kubwa alichangia kufeli kwa upinzani mwaka 2015
 
Institutions za bongo ni uhuni mtupu, hivi vyombo kama TISS au police sio vya kutumikia watawala, vyombo kama hivi kwa nchi zilizoendelea haviwajibiki kwa Raisi au mwanasiasa yeyote na ni very independent, havitegemei budget au teuzi za Raisi na strictly report zao au kazi zao zinazuia mawasiliano yeyote au kuchukua amri kutoka kwa watawala, hapa ndipo umuhimu wa katiba mpya unatakiwa
Ndivyo inavyotakiwa ili tufikie maendeleo yanayotakiwa.

Kinyume na hapo kodi zote zinaishia kwao. Pesa za maendeleo mpaka tukope kwa wazungu
 
Msikilize Dkt. Slaa akielezea hila na hujuma za Tiss, na Polisi, dhidi ya Chadema.

Kabla ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na Chadema kulikuwa na kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare.

Dkt. Slaa ameeleza jinsi Tiss na Polisi walivyoshiriki kutengeneza kesi ya Lwakatare.

Huyu mtu si wa kumwamini.
Asikilizwe na aachwe tu hapo hapo.
 
Msikilize Dkt. Slaa akielezea hila na hujuma za Tiss, na Polisi, dhidi ya Chadema.

Kabla ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na Chadema kulikuwa na kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare.

Dkt. Slaa ameeleza jinsi Tiss na Polisi walivyoshiriki kutengeneza kesi ya Lwakatare.

Kaishiwa, Mwanasiasa makini huwa stable. Huyu Dkt Slaa kapoteza uaminifu kwa wananchi, hasa alipokimbilia CCM na kutunukiwa Ubalozi. Yaani Ubalozi ndio akisaliti chama chake na wanachama wake. Tuache hayo!

Hii ni gia ya kutaka kurudi CHADEMA. Tafadhali CHADEMA msifanye kosa tena, mna vijana wengi wa kushika nafasi za chama. Slaa umri umekwenda, mawazo yake yamezeeka na fikra zake zina ukakasi.

Msikubali kurudi CHADEMA, acheni apige kelele tu huko nje. Msimuogope!
 
..akikaa huko nje anaweza kutumiwa na Ccm dhidi ya Cdm.
 
Back
Top Bottom