Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Week Jana club house hii naona zinaanza kumkaa vizuri Mzee huyu
Kaelewa sasa..Week Jana club house hii naona zinaanza kumkaa vizuri Mzee huyu
Mkuu hii ni zilipendwa, kipindi cha Magufuli hayo yalifanyika sana na Slaa akikaa kimya.
[emoji38][emoji38][emoji38]Ya lini hii...
..Msikilize Dr.Slaa akielezea hila na hujuma za Tiss, na Polisi, dhidi ya Chadema.
..Kabla ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na Chadema kulikuwa na kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare.
..Dr.Slaa ameeleza jinsi Tiss na Polisi walivyoshiriki kutengeneza kesi ya Lwakatare.
Yuko wapi Mkuu.Lwakatare unajuwa yuko wapi sahivi ??
Ukijuwa,utakuwa ushapata jibu
Ova
Naona Dr Slaa anakuja kivingine.
Kule club haouse hakosi kila siku.
Sijui huko ccm amekosa nini hadi arudi
Ndivyo inavyoonekana. Lakini si kashapata ulaji huko Swedeni? Anatafuta ni i tena...huenda anajisikia vibaya na anajutia kujiweka karibu na utawala wa kidhalimu.
Ndivyo inavyoonekana. Lakini si kashapata ulaji huko Swedeni? Anatafuta ni i tena.
Siku ya mwisho kila goti litapigwaNaona Dr Slaa anakuja kivingine.
Kule club haouse hakosi kila siku.
Sijui huko ccm amekosa nini hadi arudi
Lakini cheo cha ubalozi ni cha kudumu na maslahi yake yanaendelea hadi kufa..nafasi ya ubalozi ilikuwa kwa miaka minne.
..naamini Raisi ameshateua balozi mpya Sweden.
..angekuwa bado ni balozi tusingemsikia akitoa kauli kama hizi.
😅😅😅mkuuNasubiri kuwasikia ndugu zangu wa CCM waliokuwa wanamsifu na kusema kila siku kuwa Slaa ndio alikuwa gwiji wa upinzani, kuwa tangu kuondoka kwa Slaa chadema imekufa. Sasa mzee wenu huyoooooo anajipendekeza kurudi chadema, sijui mtashika lipi sasa
Anataka Uraia Kwa nguvu. Sivyo basi anataka kuja kubomoa Ngombe imara ya CDM kuweni Naye makini.Huyu mzee naona ana mission ya kurudi chadema tena nawaonya chadema wawe makini na mtu huyu siasa za divide and rule zisharudi tena