J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jan 31, 2023 Thread starter #101 WAKO WAPI WATU WAKO said: Hoja za mlevi, Malaya, Mwizi, Fisadi, Shetani hazijadiliki bila kumuhusisha huyo mtoa hoja... Watu Huwa wanahoji (Shetani kawa malaika au anatuhadaaa??) Wana Mantiki pia Click to expand... ..zinajadilika ili mradi zisituzuie kujadili hoja nyingine zenye uzito na umuhimu zaidi. .
WAKO WAPI WATU WAKO said: Hoja za mlevi, Malaya, Mwizi, Fisadi, Shetani hazijadiliki bila kumuhusisha huyo mtoa hoja... Watu Huwa wanahoji (Shetani kawa malaika au anatuhadaaa??) Wana Mantiki pia Click to expand... ..zinajadilika ili mradi zisituzuie kujadili hoja nyingine zenye uzito na umuhimu zaidi. .
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jan 31, 2023 Thread starter #102 Dividend said: Hata kama inatakiwa tujadili hoja, ni lazima pia hiangaliwe credibility ya mtoa hoja. Click to expand... ..hoja inayojadiliwa ni sheria ya kuanzisha Tiss pamoja na majukumu na muenendo wa taasisi hiyo. ..Credibility ya Dr.Slaa inaathiri au inahusiana vipi na mchango wake ktk mada husika? ..Je, Dr.Slaa hajui anachokizungumzia kuhusu Sheria ya Tiss? Je, Dr.Slaa ni mshiriki wa maovu ambayo Tiss wanatuhumiwa nayo? ..Suala la credibility ya mhusika ni sahihi, lakini muhimu zaidi litumike kwa namna inayofaa.
Dividend said: Hata kama inatakiwa tujadili hoja, ni lazima pia hiangaliwe credibility ya mtoa hoja. Click to expand... ..hoja inayojadiliwa ni sheria ya kuanzisha Tiss pamoja na majukumu na muenendo wa taasisi hiyo. ..Credibility ya Dr.Slaa inaathiri au inahusiana vipi na mchango wake ktk mada husika? ..Je, Dr.Slaa hajui anachokizungumzia kuhusu Sheria ya Tiss? Je, Dr.Slaa ni mshiriki wa maovu ambayo Tiss wanatuhumiwa nayo? ..Suala la credibility ya mhusika ni sahihi, lakini muhimu zaidi litumike kwa namna inayofaa.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jan 31, 2023 #103 Mzee anasaka huruma ya CHADEMA, maisha haya ndugu zangu tuwe tunakumbuka kuna kesho!!