Sawa ila hao waliomchukua Slaa wanatumia tope kama ulilo nalo kichwani mwako.Acha kujijaza ujinga wako hapa huku umejificha kwenye fake id
Umejificha huku halafu unasema hatutarudi nyuma.hutarudi nyuma wewe na nani? Wachochezi wote mtasombwa tu bila kuwaacha mtambue mitaani na kuleta uchocheziHatutorudi nyuma Hadi HAKI itaposimama juu ya nchi.
Mwanakondoo ameshinda tumfuate.
Amen.
Huteuliwi ng'o maisha yako yatabaki kuwa hayo hayo.Watukanaji wa matusi na wachochezi lazima msombwe wote bila kumwacha yeyote mitaani,.tunataka mitaani wabaki watanzania wakifanya shughuli zao kwa amani na utulivu
Andamana na siyo kupiga mikakati yako huku na kuwatetea hao wababaishaji na wachocheziSawa ila hao waliomchukua Slaa wanatumia tope kama ulilo nalo kichwani mwako.
ID fake ni kwako ila wenye JF yao wananijua,ulitaka nije kwako kujitambulisha? utanipa Mke?
Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaaniHuteuliwi ng'o maisha yako yatabaki kuwa hayo hayo.
Yaani Mwanao anakwambia Baba nyumba inavuja,We unasema Takupa Radhi!Zama za Giza zinarudi Kwa Kasi ya ajabu.
Nitumie kwa Namba Hii 😄Mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani
mhaini ni wewe na serikali ya ssem isiyojali masilahi ya wananchi wake na kuwajali waarabu,wazalendo watetezi wa rasilimali za nchi wanasekwa ndani ilikupisha rushwaHalaleluya daka wote kabisa, bado mbowe na lema na lisu. Daka wote sweka huko lupango na huku kuwanyonga wote hawa wahaini.mhai
Atakamatwa na atatupwa ndani na kazi zitaendelea,usilete mikwala yako ya mbuzi hapa .hakuna anayeogopwa wala anayeweza kushindana na serikali yetu hapa nchini. Sisi ndio wenye nchi na ndio tunasema kuwa kamata tupa ndani huko maana watanzania hatutaki mtu anayechochea machafuko na vurugu nchinihap0 policccm wamegusa pabaya huyo mwamba huwa harudi nyuma na maneno yake ni makali kuliko radi
Mke wake akipiga yowe Canada utaona manowari za kijeshi hapo kwenye hiyo bandari na hawataomba ruhusa kutia nanga ndio mtajua hamjuiZama za Giza zinarudi Kwa Kasi ya ajabu.
Hata wewe utadakwa tu na tumikwala twako twa mbuzi huyo.hakuna atakayebakia mitaani ikiwa ataendelea kuhamasisha vurugu hapa nchini ,wote ni lazima wazolewe kwa nguvu ili watii sheria zetu na siyo kufanya nchi kama klabu cha pombe cha kila mtu kuzungumza na kuropoka atakachoNgoja siku moja hawa polisi wajichanganye kusipoingilika wale risasi mpaka waseme waliowatuma. Kwani wakitoa wito kwa barua ya kumwita mtu kituoni kuna shida gani mpaka wavizie? Ipo siku yaja watakoma kutumika kisiasa.
Huteuliwi maana huna sifa,Elimu ni muhimu na HUNA.Andamana na siyo kupiga mikakati yako huku na kuwatetea hao wababaishaji na wachochezi
machafuko kwa masilahi ya ccm, tunataka haki kwa masilahi ya taifa ccm wajibu hoja za wananchi kupitia hao wawakilishi wao akina slaa na mwabukusi,kuwasweka ndani ndo uchochoezi na taharuki kwa taifa acheni ujingaAtakamatwa na atatupwa ndani na kazi zitaendelea,usilete mikwala yako ya mbuzi hapa .hakuna anayeogopwa wala anayeweza kushindana na serikali yetu hapa nchini. Sisi ndio wenye nchi na ndio tunasema kuwa kamata tupa ndani huko maana watanzania hatutaki mtu anayechochea machafuko na vurugu nchini
Wapi?
kuna nyakati inasikiliza maoni kama kipindi hiki?Kwanini serikali isisikilize maoni ya wananchi kuliko kutumia nguvu.
Ilikuwa maigizo na watu walipata perdiem za kuendesha maisha yaoBasi ile ripoti ya haki jina Ni takataka