The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Ukweli huu alitakiwa pia kuongea wakati wa shujaa Magufuli ili tulinganishe kati ya magu na mama nani zaidi.
Kumlinganisha Maza na JPM ni saswa na kulingajisha maji na mafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli huu alitakiwa pia kuongea wakati wa shujaa Magufuli ili tulinganishe kati ya magu na mama nani zaidi.
hiyo si sababu ya ku-arrest mtuPanawaka,
Zile Shutuma alizotoa Kwa Rais mnaona zipo sawa?
Hakuna siasa au harakati za vile tuache siasa za Kishamba.
----
Aina ya Siasa wanazofanya SyW zitawaponza wengi sana... Honestly..
Shutuma chafu sana dhidi ya Mbowe, Rais na watu wanomuunga mkono Mbowe.
Wasichojua hakuna kitu cha maana wanaweza panga CH kisivuje..
Sasa Dr. Slaa kadakwa wanahangaika kufanya updates CH na kutafuta mawakili bila hata utaratibu.
Vijana kuweni makini, mtaingia kwenye matatizo na wakukusaidieni hawatakuwepo
Sasa nani hajui anachokifanya? Na Serikali imemtia kibindoni Ili akome kumchafua Rais kisa upumbavu wao wa huko Chadomo.Dr. Slaa siyo mjinga. Anajua anachokifanya. Hiyo kamata kamata yake ni kuwatisha wengine. Mwisho wa siku watamuachia aendelee na shughuli zake. Maza hana ubavu wa kuhandle mambo mazito ka haya.
Kule alikuwa anahongwa na Mwendazake hapa mama kampiga chini.Ukweli huu alitakiwa pia kuongea wakati wa shujaa Magufuli ili tulinganishe kati ya magu na mama nani zaidi.
Dr Slaa amekamatwa usiku huu.
Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.
Matukio ya kiusalama kuelekea uchaguzi mkuu 2025 angalia hapa: Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza kwa njia ya simu Dkt. Slaa ameeleza kuwa, polisi wamefika nyumbani kwake na kumchukua na kuelekea naye kituo cha polisi Mbweni.
- Kuelekea 2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...
View attachment 3197059
Hii inaonyesha ni jinsi gani unavyowachukulia watu kuwa ni miungu kwako. Kwa taharifa yako Siri zinavuja ili kutimiza maneno ya Mungu tu. Kuwa Yalio sirini yatahubiriwa juu ya mapaa ya nyuma By JesusKifo cha Kujitakia Hakina Msiba..
Kama Usalama wa Taifa walimwambia Kuhusu Njama za Mama Abdul katika kuharibu au Kumpa Uenyekiti Mbowe Na Kumfedhehesha TAL..
Alitakiwa Ampe TAL Taarifa na Baada ya hapo wafanye Harakati Underground na Sio kwenda Media Na Kuongea alichoongea Serkali haijaribiwi..
Yeye kuwa na Mtu wa Ndani Ndani ya Idara ya TISS tayari ni Tishio kwa Serikali (Hasa kama Taarifa zake Ni za Kweli)..
Na Kibaya zaidi kama Taarifa yake aliyoitoa Ni ya Kweli Inaweza Kupelekea Au Kuhatarisha Maisha yake binafsi..
Wengi wana Watu pandikizi kwenye System Kina Lissu, Kina Mbowe na hata Kina Zitto ila Huwezi kuwakuta Mitandaoni au Club House wanatangaza Hilo..
Hiyo ni uchonganishi baina ya Serikali na Idara zake au Na majeshi yake..
Kutaka Kuonyesha Ufalme Umefitinika..
Pole zake na Akitoka Hapo Ajifunze..
"Sumu Aionjwi kwa Kulambwa"
Swali nzuri mkuuWewe umetumia kipimo kuthibitisha kuwa ni UONGO.....??
Siyo kutetemekea mkuu ni kuabudu. Hao watu wanawaabudu watu alafu wanataka kulazimisha kila mtu aabudu watu Kama wanavyofanya wao na ukikataa wanatamani hata wakuuwe uwa wanaona dunia hii Kama wameiumba mama zaoHawa wana ccm wamejijengea mfumo wa kutetemekea wenye mamlaka hata kama wamekosea wana ujinga mwingi sana hawa
Siasa tamu kwaoDr. Slaa nae hatulii tu
Naangaliaga maoni yako, Kisha najisemea ya kwamba tuna safari ndefu sana.Panawaka,
Zile Shutuma alizotoa Kwa Rais mnaona zipo sawa?
Hakuna siasa au harakati za vile tuache siasa za Kishamba.
----
Aina ya Siasa wanazofanya SyW zitawaponza wengi sana... Honestly..
Shutuma chafu sana dhidi ya Mbowe, Rais na watu wanomuunga mkono Mbowe.
Wasichojua hakuna kitu cha maana wanaweza panga CH kisivuje..
Sasa Dr. Slaa kadakwa wanahangaika kufanya updates CH na kutafuta mawakili bila hata utaratibu.
Vijana kuweni makini, mtaingia kwenye matatizo na wakukusaidieni hawatakuwepo
Pamoja na kwamba Slaa ni mnafiki wala hastahili kuhesabiwa kama mpinzani wa CCM na hata huko CCM kwenyewe hawawezi kumkubali, ni mropokaji anayehaha kukubalika tena, lakini linapokuja suala la kumshutumu rais hiyo ni haki yake kama raia.Panawaka,
Zile Shutuma alizotoa Kwa Rais mnaona zipo sawa?
Hakuna siasa au harakati za vile tuache siasa za Kishamba.
----
Aina ya Siasa wanazofanya SyW zitawaponza wengi sana... Honestly..
Shutuma chafu sana dhidi ya Mbowe, Rais na watu wanomuunga mkono Mbowe.
Wasichojua hakuna kitu cha maana wanaweza panga CH kisivuje..
Sasa Dr. Slaa kadakwa wanahangaika kufanya updates CH na kutafuta mawakili bila hata utaratibu.
Vijana kuweni makini, mtaingia kwenye matatizo na wakukusaidieni hawatakuwepo
Unajuaje kama kuna makosa ameyafanya?.Sheria za nchi ziko vile vile.4r nikatika mambo ya kisiasa nakijamii sio kwenye uhalifu wakijinai na mengine.nakumbuka huyo alishapewa hadi ubalozi kwahiyo inawezekana kuna kitu kazingua.Kazi imeanza tena.
Hizo ndio 4R za mama Abdul
Mama AbdulMama nani?
Firigisi, Maini, Songilo Puru vyote vyote vinamchemka dah atapona kweli?Mama dula anaona hali inazidi kuwa tete.