Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Really? Alichokisema kinahatarisha usalama wa nchi kweli?

Hata kama walihitaji kumhoji, sioni ulazima wa kumkamata usiku.

Mambo mengine huwa wanaenda overboard. Labda kama hatua za awali za kutaka kuongea naye hazikuzaa matunda.

Ila kama shida yao ilikuwa ni kuongea naye tu, hakuna haja ya kumkamata usiku.

Dkt. Slaa siyo jambazi.
Umesahau kuwa maaskari wengi ni darasa la 7 na form 4 failure yan ma div 4 yale ya mwisho mwisho ndio mana kila kitu wao ni ndio, hawajui kulogic kitu...Ilinishangaza sana mwaka jana madogo waliopiga division 1 kali na 2 nzuri waliombaga kazi za upolice wakapigwa chini kwa kigezo cha wao wanaweza kwenda chuo ile kazi ya upolice wawaachie watu walofeli... Something somewhere is not okay...
 
Pamoja na kwamba Slaa ni mnafiki wala hastahili kuhesabiwa kama mpinzani wa CCM na hata huko CCM kwenyewe hawawezi kumkubali, ni mropokaji anayehaha kukubalika tena, lakini linapokuja suala la kumshutumu rais hiyo ni haki yake kama raia.
Ni upuuzi uliokithiri kufikiri kwamba rais anapaswa kusifiwa tu na haipaswi kushutumiwa, huo upumbavu wa aina hiyo ndiyo unafanya viongozi wanajifanyia mambo hovyohovyo wakijua raia wanawaona wao kama 'miungu-watu' na hakuna anayeweza kuwalaumu wala kuwakosoa.
Sio kusifiwa mkuu

Sadaivi anaelekeza nguvu kwenye kichafua wengine, hasa asiowaunga mkono..

Ipo sawa hiyo
 
Back
Top Bottom