Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
hacha kutisha watu kenge we
 
Dr. Slaa siyo mjinga kufanya vile.
Anajua anafanya nini na siyo mara ya kwanza kusema hivyo.
Yule mzee kwa sasa hayupo sawa kisaikolojia - tangu ubalozi wake ulipokoma ni kama ana kinyongo hivi.
 
Ubaya wote umetokea kwa mbowe kwani slaa anajua siri nyingi za mbowe na akiendelea kuwa huru ataongea vingi vya Mbowe na kumwathiri siku ya uchaguzi, Mbowe kaamua Slaa apewe msoto ili iwe ni njia ya kumyamazisha apate kuidhoofisha kambi ya Lisu kiwepesi bila kikwazo
 
Yule mzee kwa sasa hayupo sawa kisaikolojia - tangu ubalozi wake ulipokoma ni kama ana kinyongo hivi.
Lakini kwa sasa mbowe ndiyo kamtengenezea zengwe ili kuidhoofisha kambi ya Lisu
 
Lawama zote abebe Mbowe ndiyo yupo ya yote yanayomtokea slaa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…