Hiyo ni mipango ya mbowe kuidhoofisha kambi ya Lisu, Mbowe hapati usingiziDr Slaa amekamatwa usiku huu.
Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.
Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...
Mbowe anaihujumu kambi ya Lisu..sasa kumkamata si ndio mnasaidia kupata kiki?
Mbowe ndiyo kasuka hiyo mipango yotekwani amefanya makosa gani?
kupata taarifa kutoka kwa mtu wa tiss ndiyo kosa kisheria?ni habari ngapi watu wanazipata kutoka kwa wafanyakazi wa tiss?
Kiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.
Amandla...
Mbowe anaihujumu kambi ya Lisu
Really? Alichokisema kinahatarisha usalama wa nchi kweli?Kiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.
Amandla...
Huenda hata huyo mtu wa TISS hayupo, labda alidukua mazungumzo ya watukupata taarifa kutoka kwa mtu wa tiss ndiyo kosa kisheria?
Mtikila alikuwa smart na msimamo wa kutoshaSiasa za bongo ukiwa unakamatwakamatwa ndio unaishia tena kama kina mtikila,
Halafu wanamkamata usiku…..utadhani ni jambazi au gaidi!Aisee hiii nchi sasa huyo mzee kafanya Kosa Gani hadi wakamtoe kucha hao jamaa
Na mbaya kasema watu wa TISS wamemwambia (yeye Slaa) asimumunye manemo, kwamba wamechoka! Na mama amempa pesa mbowe! Dadeki patamu hapoKiusalama ni lazima ahojiwe. Mbaya zaidi alisemea Clubhouse ambamo watu wa usalama wa taifa lazima wamo. Na wanaweza kukurekodi kirahisi tu. Amejitakia mwenyewe.
Amandla...