Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa maana atafurahi kukamatwa?
 
Kifo cha Kujitakia Hakina Msiba..

Kama Usalama wa Taifa walimwambia Kuhusu Njama za Mama Abdul katika kuharibu au Kumpa Uenyekiti Mbowe Na Kumfedhehesha TAL..

Alitakiwa Ampe TAL Taarifa na Baada ya hapo wafanye Harakati Underground na Sio kwenda Media Na Kuongea alichoongea Serkali haijaribiwi..

Yeye kuwa na Mtu wa Ndani Ndani ya Idara ya TISS tayari ni Tishio kwa Serikali (Hasa kama Taarifa zake Ni za Kweli)..

Na Kibaya zaidi kama Taarifa yake aliyoitoa Ni ya Kweli Inaweza Kupelekea Au Kuhatarisha Maisha yake binafsi..

Wengi wana Watu pandikizi kwenye System Kina Lissu, Kina Mbowe na hata Kina Zitto ila Huwezi kuwakuta Mitandaoni au Club House wanatangaza Hilo..

Hiyo ni uchonganishi baina ya Serikali na Idara zake au Na majeshi yake..

Kutaka Kuonyesha Ufalme Umefitinika..

Pole zake na Akitoka Hapo Ajifunze..

"Sumu Aionjwi kwa Kulambwa"
 
Wangefanyaje underground. Kwenye uchaguzi huu Lissu na Slaa hawana sehemu ya kukimbilia zaidi ya public. Wakirudi kwenye Chama wanamkuta Mbowe. Wapi waende, wanakimbilia kwenye public ili wahusika watiwe aibu kwamba waneshajulikana
 
Safi sana huyu Mzee mpumbavu amekuwa anamchafua Rais kisa upuuzi wao wa kugombea madaraka huko Chadomo via vibaraka wake.

Pia huyu Mzee na Kitima wanatumia Kanisa lao kueneza chuki za kijinga Kwa Rais.

Huyu atiwe adabu asitoke Hadi 2026 itapendeza sana,anajikuta spesho sana na Nchi ni familia yake anaichezea anavyojiskia.
 
Mshenzi sana huyu ,ningeshangaa kama angeachwa
 
endelea kusuport ujinga ,...kujeni sababu nyingine ila sio shutuma nyepesi vile mtu hutakiwi sema mawazo yako
 
Hivi nyie mnamuona rais ni kama malaika kwamba hatakiwi kusemwa kwa baya lolote hata kama kalifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…