Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndio utaratibu wa kukamata huo?
 
Wewe umetumia kipimo gani kuthibitisha kuwa ni UONGO.....??
 
Wamekosea. Waliotoa amri wamefanya kwa Jazba. Walitakuwa watulie kidogo hali itulie. Hivyo walivyofanya raia wengi wataona ni kama anazibwa mdomo hata kama yalikuwa propaganda ya Dr. Slaa
Serikalini huko karibu idara zoote wamejaa vilaza tu vichwa vyepesi sana halafu wana mamlaka makubwa ya kufanya maamuzi na tatizo ndipo lilipo kubwa
 
Akathibitishe Sasa kuwa Raisi Samia aliagiza CHADEMA/Mbowe ipewe fedha za kampeni.

Akathibitishe kuwa usalama wa taifa nao wamechoshwa na yanayoendelea ndani ya utawala wa Samia. Hivyo wameamua kutoka kama jeshi lolivyotoka 2010.

Ukitoka tuhuma, uwe tayari kuthibitisha.
 
Kwaio police wamemkamata kisa alimshambulia mbowe?wee mpuuz sana
 
Subiri utaambiwa kesho ila hajamgusa Bibi ushungi kweli?
Zile shutuma alizotoa ili kua lazima akathibitishe, lkn wasinge mkamata usiku,angeitwa tu...na watata awataje hao aliojigamba eti wako ndani ya vyombo vya dola waliompa taarifa ya mipango na mawasiliano ya Raisi na Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…