Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


Baada ya kufichua njama za kumsaidia 'Mgabe wa Tanzania' ili aendelee kuwa chairman for life wameona wamkamate.
 
Zile shutuma alizotoa ili kua lazima akathibitishe, lkn wasinge mkamata usiku,angeitwa tu...na watata awataje hao aliojigamba eti wako ndani ya vyombo vya dola waliompa taarifa ya mipango na mawasiliano ya Raisi na Mbowe
Ongeza maelezo kidogo hapo
 
Kuna wakati mnajiona Kama vijimungu visivyoweza kuumba hata panya. Msikosolewe msiambiwe ukweli. Hivi kwanini sisi watu weusi ukweli tunaona matusi? Yaan jitu jizi we liambie wewe ni jizi tayari tusi na unakamatwa. Ajabu sn
 

Huyu naye ni walewale
 
Huyu ni mchochezi,afungwe
 
Kama tukiwa waoga Kama unavyo taka mwalimu Nyerere angeishia kuwa mwalimu wa HISTORY NA LANGUAGE PALE PUGU SECONDARY
 
Wamekosea. Waliotoa amri wamefanya kwa Jazba. Walitakuwa watulie kidogo hali itulie. Hivyo walivyofanya raia wengi wataona ni kama anazibwa mdomo hata kama yalikuwa propaganda ya Dr. Slaa

Watu wa kujibu na kupangua hoja pande ile hamuna 😳 !

Think tank pande ile hamuna 😳 !

Walishawadhalilisha wenye vipaji vya namna ile 😳 !

Sasa mambo ndo kama hivyo !!

Hoja yenye Nguvu hujibiwa kwa hoja yenye Nguvu kuliko ile ya kwanza iliyotolewa kisha watu wanaidharau ile iliyotolewa kwanza !

Au kwa kifupi watu wa ku-Neutralise zile hoja zenye Nguvu huwa ni watu wenye vipaji na akili za haraka sana !
Wanakuwa na laptop ya ziada kwenye Ubongo πŸ˜³πŸ‘
Wengine watasema ana kichwa cha Profesa huyu πŸ˜³πŸ‘

Iko vile bandugu !
Waache kudharau watu na kudhalilisha watu !
Vipaji sio vitu vya mchezo mchezo kwamba kila mtu anakuwa navyo 😳!
FUMBO MFUMBIE MJINGA MWEREVU HUNG’AMUA ! πŸ˜…πŸ€£πŸ‘
Wanasemaga Waswahili 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…