Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu
Sio popo...ni mfia dini .
Wakati wa Magufuli alimuunga mkono kila kitu Hadi udikteta..
Now anapinga kila kitu hata demokrasia mradi Rais sio wa dini yake...
Dini pia ilimshinda, Padri mwenye wake wawili wapi na wapi?.
Dini ilimshinda
Ccm ilimshinda
Chadema ilimshinda
Ubalozi hana tena
Siasa imemshinda
 
Ni ngumu sana kumuelewa Dr. Slaa kwa akili za kawaida, na hapa watanzania wajifunze kutumia swali la kwanini? Na huyu ameshawajibia hilo swali. Zuio lilikuwa kinyume na katiba na imebaki hivyo kimsingi hilo tamko ni kusema possibly Rais Hassan kashurutishwa na wadau wa maendeleo.

Wawe makini Alshabab wasirudi kwa njia ya hio mikusanyiko na hata kufanya yao. Intelligence pretences likely zikatumika kukwamisha baadhi ya mikutano.
 
Hiki ndo kipindi nnachompendea mungu, afanye yake kwanza umri umemtupa tayari.kila kinachotokea kizuri kwa cdm sasa kinamchimbua mimba yake iliyojificha.NIMEGUNDUA NI KABISHI SANA.
 
Leo mnasema katazo halikiwepo? Kwa hivyo CHADEMA walijiamulia kutofanya mikutano na juzi Rais Samiah karuhusu kwa kujifurahisha?. Tupunguze unafiki. Unakumbuka harakati za UKUTA?
Kwanza Magufuli hakukataza iyo mikutano ya hadhara ila alibadilisha mfumo kuwa Kila mtu afanye sehemu yake ya Jimbo lakini hoja ya Dr. Ni kwamba kwa ngazi ya Rais lazima kuwepo na official document ya Hilo tamko ndo hata Rais mwingine anaweza kuliondoa Sasa wote wawili wametoa tamko la mdomo then who know kesho uyo Rais ataamua nn kama nchi haitakiwi kufurahia tu Kila jambo au kulaumu kwa Kila jambo huu ujinga kunasiku utatukosti sana
 
Sio popo...ni mfia dini .
Wakati wa Magufuli alimuunga mkono kila kitu Hadi udikteta..
Now anapinga kila kitu hata demokrasia mradi Rais sio wa dini yake...
Kama Slaa ana matatizo, basi wewe una matatizo kama yake, as simple as that.

Kama Slaa ni mfia dini, hata nawe ni mfia dini vile vile ndio maana hujawahi kuona baya lolote la Zitto au Samia, you are simply hopeless. Unataka kutudanganya Samia kuzuia mikutano ya siasa kwako ilikuwa demokrasia!

Kwako Slaa kutokuona baya la Magufuli, una conclude ni kwasababu ya dini yake, yani ujinga uliojaza kwenye kichwa na moyo wako, ndio huo huo unautumia kuhukumu wengine, unadhani kila mtu anawaza ujinga wa dini kila wakati kama wewe, hovyo kabisa.
 
Halina hata aibu kufungua domo lake Leo wakati wote wa Magufuli alikuwa kimyaa akiunga mkono kilakitu

Kwahiyo na Ben Saanane hakupotea Kwa sababu hakuna taarifa ya polisi inasema hakupotea?
Muache atoe maoni yake, kama unataka afunge domo lake nawe funga lako.

Kwa Magufuli uliongea, leo kwa Samia upo kimya, kachezee akili za wajinga wenzio.
 
Hapa naona tatizo kwetu raia na viongozi wa kisiasa, yaani akitokea mtu kama Magufuri anapigwa kwa sababu ya tabia siyo mfumo na akija mtu mwingine kama ilivyo sasa anafanya sawasawa na yule, tunasahau madhira na hatujui tuegemee wapi!

Katiba inasiginwa na mamlaka inaifanya hivyo huku ikija na hatua za wazi kuonyesha ipo juu ya katiba, lakini bado tunashangilia kama yule jamaa aliyepewa vichupa akidhani dhahabu!.
 
Back
Top Bottom