Dr. Slaa tulia nyumbani kwako tafadhali, ulishajiabisha vya kutosha, sasa unachofanya ni kujipaka mavi kabisa.
 
Halina hata aibu kufungua domo lake Leo wakati wote wa Magufuli alikuwa kimyaa akiunga mkono kilakitu

Kwahiyo na Ben Saanane hakupotea Kwa sababu hakuna taarifa ya polisi inasema hakupotea?
Am telling you, hii nchi pambana na hali yako! Hawa watu sio wajinga, ila chakula yao inategemea na wao kuonekana wapumbavu!
 
Halina hata aibu kufungua domo lake Leo wakati wote wa Magufuli alikuwa kimyaa akiunga mkono kilakitu

Kwahiyo na Ben Saanane hakupotea Kwa sababu hakuna taarifa ya polisi inasema hakupotea?
Wewe ndiyo mwenye haki ya kuongea lakini Dr Slaa afunge domo?

Tuache undumilakuwili
 
Wee Slaa wewe !!!
Walipokupiga wakakuvunja mkono haikuwa ni sababu ya katazo lolote sio?

Hawakuwani hao maaskari ambao wanavamia mikutano ya ndani BILA KATAZO unavyosema wewe sio??

Slaa UNATIA HURUMA, maskini...!!
 
Halina hata aibu kufungua domo lake Leo wakati wote wa Magufuli alikuwa kimyaa akiunga mkono kilakitu

Kwahiyo na Ben Saanane hakupotea Kwa sababu hakuna taarifa ya polisi inasema hakupotea?
Jamani muulizeni kwanza kama amepiga mswaki kuondoa ndaza kabla ya kuongea haya.
 
Hekima zinatoka kwa wazee lakini inafika wakati unaona bora uwaweke pembeni maana wafanyao na matarajio kwao ni tofauti kabisa, Huyu ni mnufaika wa awamu iliyopita ULITEGEMEA ASEME NINI TOFAUTI. Ametoa maoni yake kwa wakati wake hivyo tumeyapokea, tambua NEEMA IKIKUTEMBELEA hata baada ya kujizima data unaweza jikuta zaidi ya huyo Mzee.
 
We jamaa huwa upo neutral sana mungu akubariki.
 
Sio popo...ni mfia dini .
Wakati wa Magufuli alimuunga mkono kila kitu Hadi udikteta..
Now anapinga kila kitu hata demokrasia mradi Rais sio wa dini yake...
Chuki ni mzigo, pole sana.
 
Halina hata aibu kufungua domo lake Leo wakati wote wa Magufuli alikuwa kimyaa akiunga mkono kilakitu

Kwahiyo na Ben Saanane hakupotea Kwa sababu hakuna taarifa ya polisi inasema hakupotea?
Ninachokumbuka aliwahi kulizungumzia ili kipindi cha mwendazake alikuja likizo! aliwaambia waende Mahakaman kupinga tamko la Rais
 
Wengi hawajamuelewa Slaa, elimu yetu bado haijalisaidia Taifa kuzalisha wasomi wenye uwezo wa kuchanganua mambo.
Slaa yuko sahihi kabisa.
 
Wewe pia hujamuelewa Dr.
Anamaanisha kuwa mikutano ya kisiasa ipo kwa mujibu wa sheria za nchi hivyo katazo lilikuwa kinyume na katiba/sheria na kwa msingi huo tamko la mama kusitisha zuio ni batili kwakuwa hata katazo lilikuwa batili, kisheria ipo hivyo.
 
Halina hata aibu kufungua domo lake Leo wakati wote wa Magufuli alikuwa kimyaa akiunga mkono kilakitu

Kwahiyo na Ben Saanane hakupotea Kwa sababu hakuna taarifa ya polisi inasema hakupotea?
Hii inahusika vipi?
 
Kwahiyo ndio anataka kusemaje? Kuna kinachomtafuta huyu mzee na kitampata
MKUU na ww umetekwa na siasa ya ushabiki?ulitaka dr aseme uongo?ni maoni yake km ilivyo ya kwako nakasema kweli ila ukiwa na siasa yanga na simba n vigumu kumwelewa watu km dr slaa
 
Ndiyo tatizo la kufakamia nguruwe bila kipimo ile minyoo isiyokufa lazima itaathiri kichwa chako kwahiyo yeye aliona kilichozuiwa na magu ilikuwa sherehe za harusi!
JIBU HOJA LAKE NA C MATUSI.MARA NYNG WENYE AKILI MGANDO BADALA YA KUJIBU HOJA WANATUKANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…