mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Nchi ngumu sana hii,halafu Rostam Aziz yupo nyuma ya hii sagaHii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika , Kwamba Balozi Dr Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika , anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya , kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .
Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .
View attachment 2717521