Dkt. Slaa anadaiwa kusafirishwa Usiku huu (August 14, 2023) kuelekea Mbeya

Rudi tena ukasome ni nani alituletea jina la Africa ndipo uje ulinganishe na nilichoandika mimi
Nadhani wewe ndio unashindwa kuelewa mantiki... hizi jamii zilizoishi huku na walipotokea; uwepo wao haujalishi wanaitwa vipi au nani aliwaita vipi...

Pia kinachogombaniwa hapa sio Jina bali ufujujaji / kutokutunzwa kwa rasilimali fulani ambayo iliachwa na ancestors wa eneo fulani
 
Habari zinazotoka zinasema Dr slaa amepangiwa kusafirishwa kwenda mbeya usiku kwa usiku

Habari zaidi zinakujia

Serikali usipoangalia hili litawagharimu sana
Halitaigharimu lolote serikali kwa mjinga huyu.Who is He? Alitegemea kila siku apewe vyeo kwa usaliti,Sasa ndiyo mwisho wake.Bw. Mbowe anamcheka tu akiwa nyuma ya pazia.
 
Hii ni 2018 akiwa Balozi tujikumbushe. what goes around comes back around;

Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida na ameitaka jamii kuliacha Jeshi la Polisi kukamilisha upelelezi na kutoa majibu.

Dkt. Slaa ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds juu ya hali ya kisiasa ya Tanzania na mustakabali wa maisha yake baada ya kuondoka CHADEMA, amesema hafurahishwi na baadhi ya watu kuwataja hadharani watuhumiwa wa tukio hilo kwasababu linaharibu uchunguzi wa polisi.

“Mimi kinachoniudhi ni hii watu kusema hadharani kwamba kuna hiki na hiki tunasuspect (tunahisi) waliofanya ni fulani. Sheria inasema ukihisi nenda polisi katoe taarifa sio unaenda kwenye vyombo vya habari”, amesema Dkt. Slaa.

Amesema hawezi kuzungumzia kwa undani suala la Lissu kupigwa risasi, ikizingatiwa kuwa watu wengi wamepigwa risasi nchini na kazi ya kuwabaini wahalifu waliomshambulia ni ya polisi sio viongozi wa siasa au wananchi.

“Lakini kama binadamu hakuna anayependa binadamu yeyote aumizwe lakini matukio haya ya kuumizwa yametokea nchi hii kwa watu wengi sana. Na mimi sio chombo cha dola kujua kwamba unanyoosha kidole kwa kitu ambacho hatukiamini; mimi ni msomi”, amesema Dkt. Slaa na kuongeza kuwa,

“Ukitoa taarifa za upelelezi unaharibu upelelezi. Mimi niko Canada mauaji yapo kila siku na watu wanapotea, wanapigwa risasi wakiulizwa polisi wanakwambia suala hilo liko kwenye upelelezi tukifikia hatua nzuri tutatoa taarifa”.
 
Alikengeuka , na pia tulimuonya
 
Zaidi ya miaka 60 wa Tanganyika tangu ipate uhuru wa bendera Tanganyika yaitaji kupata mfumo mpya wa kuliongoza taifa hili tatizo si maraisi ila tatizo ni mifumo ya kiutawala na kidola ndiyo inaleta haya mambo japo raisi anakuwa kama kivili ila Tanzania au Tanganyika bado ipo salama na tutavuka hapa tulipo
 
Nin kifanyike jamani mbna watanzania wananyanyaswa hivi katika nchi yao
 
Dr. Slaa ulizingua Sana ulipomuunga mkono DIKTETA MAGUFULI. Ile dhambi ya kuisaliti UKAWA itakutafuna milele. Ulikubali kuifanyia kazi katiba mbovu Leo unashangaa mkataba mbovu
Na wewe ulizingua sana ulipomkubali fisadi Lowasa.

Aligoma kumsafisha waliomtangaza nchi nzima kuwa ni fisadi
 
Back
Top Bottom