kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Vipi kesho tunatoka saa ngapi kwenda kuwaunga mkono!Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kesho tunatoka saa ngapi kwenda kuwaunga mkono!Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod...
Watamuondolea hadhi kama Prof MahaluHivi Balozi Hana kinga ya kutoshitakiwa?
Uhaini hauna kinga,unazani Mama yuko kama Magufuli aliwapuuza kina kinana na kundi lake,angeaamua angewapa kesi ya Uhaini bila shida na ushahidi uko ubaoni, unazani Nape mjinga kupiga magoti kwenye viwanja vya Ikulu kuomba msamaha kutoka kwa Mwendazake!? Kinana mwenyewe alikimbia Nchi kwa muda baada ya ule upuuzi wao wa Waraka!!Hivi Balozi Hana kinga ya kutoshitakiwa?
Hii nchi imeanza kuzeeka kwann hatuna unit wananchi hofu tunazopewa ndizo zinafanya kukosa umakini wa mafikirio zaidi jeshi la polisi Lima ukubwa gani wakuzidi wananchi kutuzuia tutapoamua jambo nchi ni ya wananchi sio viongozi wazalendo wa nchi kufikishwa mahakamani sio jmbo jema. SanaHii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .
Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .
View attachment 2717521
mapolisi utayalaumu bure! yenyewe ni kupewa maelekezo tu na hutekeleza bila kuruhusiwa kuhoji. The police force is there to protect the interests of the ruling class. ni mambumbumbu flani ndio maana hata Huwa hawawezi kudai masilahi yao.Hii mbinu wanayotumia polisi kumlinda msaliti wa rasillimali za Tanganyika ni ya kijinga sana..
Hivi hawa polisi wataendelea mpaka lini kukubali kutumika kwenye kukandamiza haki za wanaolalamika wanapotendewa uovu?
Hili jeshi la polisi kuna wakati nikilitazama kwa jicho la pembeni, naliona sasa limegeuka kabisa na kuwa jeshi la kuwalinda majambazi wa rasilimali za Tanganyika...
Wala sio tena lile jeshi la mwanzo la kumlinda mtanganyika na mali zake, hawa jamaa bahati mbaya zaidi, wanatumia sheria zetu bila vidhibiti ili kutimiza malengo yao ovu dhidi yetu.
Dr. Slaa ni mwanasiasa mkomavu, anayezijua mbinu zao zote, mbivu na mbichi, kujaribu tendo lolote la kumtisha huyu, mtu mwenye uelewa wa juu kabisa wa sheria, sio za kanisani pekee, na za nchi hii, naona kabisa hawa polisi wetu wanaendelea kujidhalilisha bila kujua, kwa maslahi yake yule mjinga aliyetusaliti.
Wewe mwongo.Sio mole anapandikizwa huko?
Kama nakumbuka alituaminisha kwamba aliagizwa na maafisa usalama wengi aseme yale aliyokua anayasema... au mm sikumuelewa.
kwanza nijibu Zanzibar ni nchi au NI mkoa!?Watanganyika wako wapi? Na Tanganyika ni eneo gani? Mnajijazia jazba zisizo na maana tu.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, idadi ya Watanzania ni kama 61 Milioni. Kati ya hao ni chini ya 3 Milioni tu ndiyo walizaliwa kabla ya mwaka 1964 nchi iliyokuwa inaitwa Tanganyika.
Ina maana watu 58 Milioni vyeti vyao vya kuzaliwa vimeandikwa Tanzania.
Wewe unayedai Tanganyika ni nani unayetaka kumuweka kwenye hiyo nchi?
Pili aliyetoa jina la Tanganyika ni Mkoloni Mjerumani na Mwingereza akalirithi, ila Mwl Nyerere akaobatiza nchi Tanzania baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Mnajazwa UJINGA na nyinyi MNAJAA
Swali la kijinga , mimi napinga wizi siku nyingi tu , waulize wanaokutumaVipi kesho tunatoka saa ngapi kwenda kuwaunga mkono!
Kupigania mali za Taifa ndio Uhaini ?Uhaini hauna kinga,unazani Mama yuko kama Magufuli aliwapuuza kina kinana na kundi lake,angeaamua angewapa kesi ya Uhaini bila shida na ushahidi uko ubaoni, unazani Nape mjinga kupiga magoti kwenye viwanja vya Ikulu kuomba msamaha kutoka kwa Mwendazake!? Kinana mwenyewe alikimbia Nchi kwa muda baada ya ule upuuzi wao wa Waraka!!
Slaa kajaa nyavunimaguvu ya nini kwenye mambo ya kutumia akili?.ila slaa analipa malipo ya usaliti
Kwa macho ya kawaida utaona hivyo , lakini kwa jicho la 3 sivyoSlaa kajaa nyavuni
Kama Mtanzania mzalendo nasema huko asipewe hata blanket wala koti, awe hivyo hivyoSi alisema Rais apinduliwe. Mwache akajue maana ya maneno aliyoyasema kisheria
Amwonyeshe nani, chizi kama ulivyo wewe, kwa manufaa gani?ni vizuri akaonyeshe hiyo bandari iliyouzwa huko Mbeya
Nenda kafie mbali, watu wa aina yenu ndio watumwa mnaotafutwa karne hii.Haya yanayoendelea kufanyika Tanzania Wajukuu zetu watakuja kuyakojolea makaburi yetu,Kila kiongozi anajiuliza atapata lini nafasi ya juu zaidi ili aendelee kutunisha mfuko wake...Ugumu wa maisha tulio nao hadi sasa umesababishwa na mikataba ya Ovyo iliyosainiwa na viongozi waliopita kabla..
Rasilimali zetu ngapi zinachukuliwa na kusafirishwa moja kwa moja bila kuleta pato kwa Taifa na hatusemi kitu,,,Watu husema jambazi mwenye silaha akikuvamia,wewe fanya tu anachosema ili uyanusuru maisha yako,Tukubali tu kwamba tayari tumefeli kuitetea Nchi yetu,asilimia karibu 98 ya Raslimali zilizopo nchini sio zetu(Zimebinafsishwa),Tukae tu kimya kunusuru maisha yetu,mifano ndo kama hii tunayoiona,kila anayejaribu kusimama kutetea taifa anakatwa Miguu ili kututisha tulioko nyuma yake...
Nchi yetu hii kujifanya Hero(Shujaa) wa Taifa,,unapotea na hauchukui muda unasahaulika.....na kweli Tunamkumbuka mzee