mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Nchi ngumu sana hii,halafu Rostam Aziz yupo nyuma ya hii sagaHii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika , Kwamba Balozi Dr Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika , anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya , kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .
Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .
View attachment 2717521
For sure hatufiki.. Kuna namna mamlaka zinapwaya au kutowajibika ipasavyo. Ndio maana mizigo ya lawama wanaangushiwa wengineNimekuelewa mkuu umeenda mbali.Nimemaanisha,kwa nini kutumia nguvu nyingi kukinzana na watu wadogo kuliko serikali ili kuleta suluhu?Wanatufundisha nini hapo?Kuua mende kwa nyundo ya kuvunjia majabali au kuua chawa kwa AK 47?Tutafika?
Hawana madhara hao (utafiti)Kwan vp wasanii nao wanaachwa mana nao daaah! Wanamtukana sana mama
Hilo nalo sio la kulipuuza, pengine hangaya anataka kutumia mbinu za kimedani kuicheza hii karate.Sio mole anapandikizwa huko?
Kama nakumbuka alituaminisha kwamba aliagizwa na maafisa usalama wengi aseme yale aliyokua anayasema... au mm sikumuelewa.
Mtume Mwamposa Mbeya 😂😂Why mbeya?
Wachuna ngozi walianzia mbeya!!!
Mlipuko wa madhehebu Mbeya!!!
DP world waichagua mbeya kujenga msikiti mkubwa mbeya!!
Kesi ya kupinga kubinafsishwa bandari Mbeya!!!
Kesi ya Uhaini Mbeya!!!
Nabii Filikunjombe pia alitokea Mbeya!!!
Prophet Mwabukusi anatokea Mbeya!!!
Mbeya kunani?!¡???
mmmmh! Sawa ila hakuna net kule na kuna mmbu nukus. Wala mbususu haupatHistoria inawasuta watesi wengi.Ukiwasumbua wapiganiao haki kwa kuwatupa korokoroni ndiyo unawaongezea moyo zaidi wa mapambano na usugu wa mwili na akili.
Mbona wewe haupo gerezani na badala yake unajificha huku Kwa fake IDSasa,magereza yote nchini mbona yatajaa watuhumiwa wengi sana!?
Wanachochea kuhusu nini sisi wa vijijini tujue.Acha apelekwe tu ili akajibu mahakamani.masuala ya madawati sijui ajira yanatekelezwa vizuri sana na serikali yetu,.miezi michache iliyopita serikali yetu imemwaga maelfu ya ajira kwa vijana katika kada za ualimu ,afya n.k.kila mwaka inafanya hivyo na inaendelea kufanya hivyo.wachochezi wote ni lazima wasakwe popote walipo na kutupwa ndani .
Hawana madhara hao (utafiti)
Mandela alikaa miongo takribani mitatu.Na wengine wengi tu.Kusumbua wanaharakati/wapiganiao haki hakuna tofauti na kujilisha upepo kwa kutumia kijiko.Suluhu au maelewano huja baada ya busara kupewa muda itamalaki ilipopungua au kukosekana.mmmmh! Sawa ila hakuna net kule na kuna mmbu nukus. Wala mbususu haupat
Nipo rumande na wamenipa simu nichati kidogo kama dkt Slaa.Mbona wewe haupo gerezani na badala yake unajificha huku Kwa fake ID
Yana mwishoHii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika , Kwamba Balozi Dr Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika , anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya , kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani .
Utetezi wake wa Mali za Tanganyika umempa kesi ya Uhaini .
View attachment 2717521
HakikaHata Mandela aliitwa mpuuzi tena gaidi na makaburu.Hayajaanza leo.
Rudi tena ukasome ni nani alituletea jina la Africa ndipo uje ulinganishe na nilichoandika mimiAisee ???
Hivi watu wakisema Tanganyika wanaongelea hilo jina Nyika za Tanga au wanaongelea eneo fulani kabla ya kuungana na eneo jingine ?; Kwa mantiki yako Africa ingekuwa inaitwa Afru-ika, (Motherland) au aphrike, (without cold) au aprica, (sunny) ingekuwa sio hii Afrika ?.