Nadhani wewe ndio unashindwa kuelewa mantiki... hizi jamii zilizoishi huku na walipotokea; uwepo wao haujalishi wanaitwa vipi au nani aliwaita vipi...Rudi tena ukasome ni nani alituletea jina la Africa ndipo uje ulinganishe na nilichoandika mimi
Habari zinazotoka zinasema Dr slaa amepangiwa kusafirishwa kwenda mbeya usiku kwa usiku
Habari zaidi zinakujia
Serikali usipoangalia hili litawagharimu sana
Halitaigharimu lolote serikali kwa mjinga huyu.Who is He? Alitegemea kila siku apewe vyeo kwa usaliti,Sasa ndiyo mwisho wake.Bw. Mbowe anamcheka tu akiwa nyuma ya pazia.Habari zinazotoka zinasema Dr slaa amepangiwa kusafirishwa kwenda mbeya usiku kwa usiku
Habari zaidi zinakujia
Serikali usipoangalia hili litawagharimu sana
Hii inchi bana, Yani mtu kuchagua upande anao ona Sahihi eti ni msaliti!!Dr. Slaa ulizingua Sana ulipomuunga mkono DIKTETA MAGUFULI. Ile dhambi ya kuisaliti UKAWA itakutafuna milele. Ulikubali kuifanyia kazi katiba mbovu Leo unashangaa mkataba mbovu
Alikengeuka , na pia tulimuonyaHii ni 2018 akiwa Balozi tujikumbushe. what goes around comes back around;
Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida na ameitaka jamii kuliacha Jeshi la Polisi kukamilisha upelelezi na kutoa majibu.
Dkt. Slaa ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds juu ya hali ya kisiasa ya Tanzania na mustakabali wa maisha yake baada ya kuondoka CHADEMA, amesema hafurahishwi na baadhi ya watu kuwataja hadharani watuhumiwa wa tukio hilo kwasababu linaharibu uchunguzi wa polisi.
“Mimi kinachoniudhi ni hii watu kusema hadharani kwamba kuna hiki na hiki tunasuspect (tunahisi) waliofanya ni fulani. Sheria inasema ukihisi nenda polisi katoe taarifa sio unaenda kwenye vyombo vya habari”, amesema Dkt. Slaa.
Amesema hawezi kuzungumzia kwa undani suala la Lissu kupigwa risasi, ikizingatiwa kuwa watu wengi wamepigwa risasi nchini na kazi ya kuwabaini wahalifu waliomshambulia ni ya polisi sio viongozi wa siasa au wananchi.
“Lakini kama binadamu hakuna anayependa binadamu yeyote aumizwe lakini matukio haya ya kuumizwa yametokea nchi hii kwa watu wengi sana. Na mimi sio chombo cha dola kujua kwamba unanyoosha kidole kwa kitu ambacho hatukiamini; mimi ni msomi”, amesema Dkt. Slaa na kuongeza kuwa,
“Ukitoa taarifa za upelelezi unaharibu upelelezi. Mimi niko Canada mauaji yapo kila siku na watu wanapotea, wanapigwa risasi wakiulizwa polisi wanakwambia suala hilo liko kwenye upelelezi tukifikia hatua nzuri tutatoa taarifa”.
Leta reliable source.Si alisema Rais apinduliwe. Mwache akajue maana ya maneno aliyoyasema kisheria
Na wewe ulizingua sana ulipomkubali fisadi Lowasa.Dr. Slaa ulizingua Sana ulipomuunga mkono DIKTETA MAGUFULI. Ile dhambi ya kuisaliti UKAWA itakutafuna milele. Ulikubali kuifanyia kazi katiba mbovu Leo unashangaa mkataba mbovu
Kwani alikosea wp?Hatumuamini huyo kama alithubutu kusema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi ni mambo ya kawaida ni mtanzania gani ataendelea kumuamini?
Siyo Watanzania , ni Watanganyika tuNin kifanyike jmn mbna watanzania wananyanyua HV kakt nchi yao
Hiyo ni kwa mujibu wa Wambura na mamluki wenzakeeti Mdude anataka kupindua nchi.
Majibu ya mtu mjinga!ni vizur akaonyeshe hiyo bandari iliyouzw huko mbeya