Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Okay okayWachina unaowafikiria kuwa unaweza kufanya nao biashara, waliwekewa mbinyo kidogo tu na Marekani kwenye biashara, ukuaji wao uludondoka ghafla mpaka 2%, na hautegemewi kupanda tena kwa kipindi kisichopungua miaka 10.
Ukiwejewa vikwazo na hayo mataifa makubwa, kila mmoja anaogopa kuwa karibu nawe. Unakuwa haramu, na haramu haiguswi.
Okay okayHivi unategemea Wachina waje kufanya utalii Tanzania?
Ukiwaona wachina Bongo ujue wamepewa tenda ya kujenga miundombinu.
In short wachina wananufaika zaidi na sisi kuliko sisi tunavyonufaika na wao.
Okay okayKasome "geopolitics" ndo utagundua mziki wa haya maamuzi kwa nchi yetu.Mwambie Jiwe aache kwa sasa kununua yale madege makubwa makubwa ! Na mbaya zaidi tunaweza tukazikosa na hizo ndege hata kama tuna mshiko !
Okay okay... parachichi za Iringa, Njombe, na Moshi mtazila wenyewe daaadeki!
Sawa, ila nadhani si kila mtu atakubali uchome nyumba yake ili kumsaidia kuua nyoka.Kwani lini kulikuwa na uchaguzi tz? Huo si uchaguzi ni uchafuzi
Najua mkuu.Unajui ushabiki usiokuwa na uelewi ni janga kubwa hapa Tanzania
Hapana mkuu.Mkuu ule uzi wetu ndo umeutelekeza😨
Okay okayUjiulize pia kama 40% ya bajeti inatoka Asia au Ulaya!
Okay okay.Mfano mziri ni Zimbabwe. Kama ingekuwa ni rahisi kiasi hicho Zimbabwe ingeamua kufanya biashara na China halafu maisha yakaendelea lakini bado inawahitaji wazungu.
Kwa hiyo unayadhobiti mawazo yangu Kwa kuhalalisha Ujinga wako siyo?
Habari yenyewe si ya kweli, Ulitegemea niandike nini Wewe?
Okay okayDawa ni kuiacha demokrasia itamalaki,kwa sababu hata Zimbabwe bila shaka walijaribu China na Asia lakini haikuwasaidia.
Okay okay.Yaani hatuta uza kwato, ngozi,pamba,pembe, Ndovu na mengine mengi
Nipo kujifunza mkuuHio Asia and china means Zimbabwe haikuiona?
Okay okay.Mkuu maparachichi unayoona yanalimwa kwa wingi kule Njombe,green beans unayoona zikilimwa kule iringa na Arusha,ile miti ya mitiki unayoiona kule kilombero,ile kahawa unayoiona Arusha ,kilimanjaro,kigoma,kagera etc,soko lake kubwa ni ulaya
Duh!Unawajua vizuri UKaids na USaids?
Pigo mojawapo na la kibabe litakolrudisha nyuma maendeleo katika nchi yoyote ile ni Magonjwa.
Tuandae nyungo na mitishamba tu cd4 zikianza kuporomoka tutakimbiana.!
Ni kweli watakuwa wamepungua.Ndio tunaweza na tumekuwa tukifanya na dunia nzima. Bidhaa ni kama tumbaku, katani, chai, madini n.k
Kwa mbinyo huu huoni number ya wateja wa bidhaa zetu watakuwa wamepungua?
Unadhani wazungu wajinga,wanataka kutengeneza chuki kati ya magu na wananchi,tukiishamchukia magu ndio akili zitakaa sawa bila hivyo magu atatawala mileleUmama huo...sasa unadhan wanamkomoa mume Magu au Tz nzima??
Nafikiri alaaniwe asiyependa haki mpaka kutuingiza kwenye shimo hiliNI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka kuongoza hata kwa watu wote kufa ili yeye apate
Afadhali maisha magumu yatuchape wote kuliko ambavyo saizi ilivyoNI wapuuzi pekeee ndo watashangilia hili lakini uzuri balaaa hili litamtafuna mpk mwenye kadi ya chadema na ingetakiwa serikali kuzuia ruzuku ya chama hiki cha wahuni ogopa sana mtu anayetaka kuongoza hata kwa watu wote kufa ili yeye apate