Badala ya kujikita kwenye hoja za Mh. Halima, still bado unaombea vikwazo. I told your fried, Erythrocyte kuwa, Halima is very very smart mp, ameretariate very smartly. FYI, kuna possiblity mwamba alitoaga baraka, irrespective of what he said some couple of days back then, utacheck kweny rufaa ya Mdee.Naona kuna mchezo unachezwa hapa kwani hii press ya kina Mdee imetoka leo huku clip ya Dr.Slaa ikionekana kuwa posted mtandaoni masas 14 yaliyopita...
Nenda kwenye source uone hii clip imepostiwa lini.Mbona wengine wanasema Ni ya mwaka Jana??
Hapo Ufipa mna akili fupi kama mkia wa mbuzi.....clip ya Dr Slaa ni ya mwaka jana!Inawezekana kuna mchezo unachezwa hapa kwani hii press ya kina Mdee imetoka leo huku clip ya Dr.Slaa ikionekana kuwa posted mtandaoni masas 14 yaliyopita...
Bado mnaishi ndotoni tu, kama walipewa baraka na Mbowe kwanini wasiseme?Badala ya kujikita kwenye hoja za Mh. Halima, still bado unaombea vikwazo. I told your fried, Erythrocyte kuwa, Halima is very very smart mp, ameretariate very smartly. FYI, kuna possiblity mwamba alitoaga baraka, irrespective of what he said some couple of days back then, utacheck kweny rufaa ya Mdee.
Safi sana wazungu naomba mpige pini zaidi ili tunyooke vizuri sisi ni matajiri haahaaaHabari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.....
Good! Huu utawala wa MABAVU unatakiwa ubanwe kila pembe ya dunia, dawa ya ufedhuli ni ufedhuli tu hakuna namna.Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.
View attachment 1638895
Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Kwani last year tuliadhibiwa adhabu ganiHiyo clip inayotrend ni ya last year, siyo ya sasa, iko youtube pia.
Japo maudhui yake yako relevant mpaka sasa
Sasa mbona balozi Dk Slaa anatoa povu? Tafakari wewewewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Athari zake ni kuwa watanzania na tanzania yetu tukae mkao wa kula zimbabwe 2.0 inatujia taratibu.Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.
Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
We kenge unajua nini? Fala uliyebakiza kushabikia upuuzi.JIWE ANAIANGAMIZA MAMA TANZANIA.
USHAMBA TU
wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Sasa hivi Tz imekua ni nchi ambayo kila mtu analalamika,ndugui analalamika,Makainda analalamika,Bashiru analalamika,pole pole analalamika,kabudi analalamika,Mbowe analalamika,Lissu analalamika.Kifupi wote tunalalamika hapa lazima tuinge top five ya watu wasio na furaha dunianiHabari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.
Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Kila siku tunaambiwa ni nchi tajiri au masikio yangu ni mabovu?Hatujafikia huko katika uchumi wa kujitegemea mkuu
Uchumi wa kati katika makaratasi, uchumi wa kati wakat waziri wa fedha anakiri Watanzania wanazidi kuwa mafukara. Huo uchumi wa kati usiobadilisha kipato cha mwananchi unasaidia nn.Tusipende kushadadia mambo ambayo hayana tija.Athari ni kubwa sana. Uchumi wa nchi utadorora sana. Tujitafakari juu ya kukwezwa kuwa nchi ya uchumi wa kati.
Huenda tukashushwa kurudi kwenye nchi maskini duniani. Yaliyotokea Zimbabwe sasa yananukia Tanzania.
Uingereza yenyewe ilishajitoa kitambo nchi zenyewe ni 27 maisha yatasonga tu.wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..