Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Naona kuna mchezo unachezwa hapa kwani hii press ya kina Mdee imetoka leo huku clip ya Dr.Slaa ikionekana kuwa posted mtandaoni masas 14 yaliyopita...
Badala ya kujikita kwenye hoja za Mh. Halima, still bado unaombea vikwazo. I told your fried, Erythrocyte kuwa, Halima is very very smart mp, ameretariate very smartly. FYI, kuna possiblity mwamba alitoaga baraka, irrespective of what he said some couple of days back then, utacheck kweny rufaa ya Mdee.
 
Inawezekana kuna mchezo unachezwa hapa kwani hii press ya kina Mdee imetoka leo huku clip ya Dr.Slaa ikionekana kuwa posted mtandaoni masas 14 yaliyopita...
Hapo Ufipa mna akili fupi kama mkia wa mbuzi.....clip ya Dr Slaa ni ya mwaka jana!
 
Hiyo clip ya dr.slaa ni ya siku nyingi acha uongo
 
Badala ya kujikita kwenye hoja za Mh. Halima, still bado unaombea vikwazo. I told your fried, Erythrocyte kuwa, Halima is very very smart mp, ameretariate very smartly. FYI, kuna possiblity mwamba alitoaga baraka, irrespective of what he said some couple of days back then, utacheck kweny rufaa ya Mdee.
Bado mnaishi ndotoni tu, kama walipewa baraka na Mbowe kwanini wasiseme?

Maana Mbowe yeye kwa upande wake alishasema ...over his dead body.
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.....
Safi sana wazungu naomba mpige pini zaidi ili tunyooke vizuri sisi ni matajiri haahaaa
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

View attachment 1638895

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Good! Huu utawala wa MABAVU unatakiwa ubanwe kila pembe ya dunia, dawa ya ufedhuli ni ufedhuli tu hakuna namna.
 
wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Sasa mbona balozi Dk Slaa anatoa povu? Tafakari wewe
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Athari zake ni kuwa watanzania na tanzania yetu tukae mkao wa kula zimbabwe 2.0 inatujia taratibu.
 
wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..

Hivi wewe unafahamu kinachotokea hapa au ni ubishi tu? Hili si suali la mtu binafsi na anachonunua au kumiliki kutoka ulaya, hii ni level ya serikali katika fani ya biashara na misaada kutoka ulaya. Unaposema kuwa tanzania haiwezekani kuathirika umeangalia ni asilimia ngapi Tanzania inategemea juu ya biashara na european countries? Unadhani kwa kuwa tu tuna washirika kutoka asia basi hatutokuwa na matatizo? Angalia Zimbabwe, ingawa wanafanya biashara na nchi za asia bado vikwazo walivyowekewa na nchi za ulaya zimeweza kuwaweka pabaya.

Kitu kimoja tu ambacho naweza kukubaliana nawe ni kuwa hawa wenzetu wanaosema safi na kufurahia hili, wakae wajue kuwa makali ya uchumi kuanguka yatatuumiza zaidi sisi wananchi wa kawaida kuliko viongozi wa nchi.
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Sasa hivi Tz imekua ni nchi ambayo kila mtu analalamika,ndugui analalamika,Makainda analalamika,Bashiru analalamika,pole pole analalamika,kabudi analalamika,Mbowe analalamika,Lissu analalamika.Kifupi wote tunalalamika hapa lazima tuinge top five ya watu wasio na furaha duniani
 
Athari ni kubwa sana. Uchumi wa nchi utadorora sana. Tujitafakari juu ya kukwezwa kuwa nchi ya uchumi wa kati.

Huenda tukashushwa kurudi kwenye nchi maskini duniani. Yaliyotokea Zimbabwe sasa yananukia Tanzania.
Uchumi wa kati katika makaratasi, uchumi wa kati wakat waziri wa fedha anakiri Watanzania wanazidi kuwa mafukara. Huo uchumi wa kati usiobadilisha kipato cha mwananchi unasaidia nn.Tusipende kushadadia mambo ambayo hayana tija.
 
HATUHITAJI MISAADA YA MABEBERU.TANZANIA HAIJAWAHI KUSHINDWA JAMBO LOLOTE.TUTALINDA HESHIMA YETU.HATUHITAJI VIMSAADA VYAO.HII NCHI NI TAJIRI.SISI NI DONA KANTRI,TUNAFANYA MIRADI MIKUBWA KWA HELA ZA NDANI.
 
wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Uingereza yenyewe ilishajitoa kitambo nchi zenyewe ni 27 maisha yatasonga tu.
 
Back
Top Bottom