Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

JIwe kaza but baba kuna malaika wachache bado hawajabadilika kuwa mashetani tukamilishe idadi
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Pale ambapo dona kantree yenye uchumi wa kati inalalamikia kukatiwa misaada na mabeberu wanaoingilia uhuru wetu na kutuletea ushoga...wonders shall never end ooo
 
Hahaha yeye ndiye balozi akaongee nao sasa anatutaarifu nini au ili iweje?!

Kuliiuwa na nini cha wao kujieleza wakati wanafahamu tatizo ni uchaguzi mkuu kuwa batili na ndio kulikopelekea maamuzi hayo kufikiwa?!

Yeye awashauri ccm wenzake wakubali kubatilisha matokeo tuanze upya.

Walinajisi uchaguzi wa serikali za mitaa wakanogewa sasa wameona inawezekana wamefanya na uchaguzi mkuu.

Acha wapate kibano na ikibidi wakose hadi cent ya mwisho ya misaada yote.
 
Pale ambapo dona kantree yenye uchumi wa kati inalalamikia kukatiwa misaada na mabeberu wanaoingilia uhuru wetu na kutuletea ushoga...wonders shall never end ooo

Sembe kantili inaforce viti maalumu feki ilambe hela za mabeberu
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Tatizo ni kuwa tuliisha sema wasitubabaishe, sisi ni sovereign nation. Nao pia ni sovereign nations kwa hiyo wana uhuru wa kufanya maamuzi yoyote juu ya matumizi ya pesa zao bila kumsikiliza mtu. Tulichosahau ni kuwa sasa hivi COVID-19 inawapiga sana kwa hiyo sababu yote watakayopata ya kupunguza matumizi sehemu nyingine na kuzipeleka kwa wananchi wao watatumia.
Tujilaumu wenyewe.

Amandla...
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?h

Hii clip ni ya zamani. Haina maana tena. Suala hili lilishakwisha na wala hakuna lolote lililobadilika kwenye uhusiano wetu na Umoja wa Ulaya. Tunaendelea kuwa na uhusiano mzuri sana.
 
Mzungu ongeza dose dawa imeanza kuingia, kiburi kitakwisha mwaka huu.

Hii clip ni ya zamani. Haina maana tena. Suala hili lilishakwisha na wala hakuna lolote lililobadilika kwenye uhusiano wetu na Umoja wa Ulaya. Tunaendelea kuwa na uhusiano mzuri sana.
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Kuna mjadala niliusikiliza kwa dk 43 wakijadili, lakini hapakuwa na resolution. Kuna issues wachangiaji wali'raise kuhusu Tanzania na walisema walikuwa wana'seek dialogue' lakini walikuwa hawajafanikiwa na wakasema wataendelea kuona ni njia gani nzuri zaidi ya kuendeleza uhusiano na Tanzania na kusaidia maeneo ambayo wao wanaona yana upungufu. Hivi ndivyo nilivyoelewa.
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Tuna mabalozi wawakilishi wa nchi ya Tanzania huko Ulaya, wamefanya juhudi gani kutoa utetezi? Au ndio mazoea yaliopo ya kila kitu ni rais? Hata hivyo unahitaji utetezi upi toka kwa mwezi uliemshika chumbani mwako? Tusinidanganye, dunia ya leo hakuna siri, kwa hao waitwao mabeberu ama wafadhili, closing bank balance ya jana ya BOT wanaumia, sembuse haya yanayofa has hadharani?
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Rule of law should be a cornerstone of our nation! Even the persons that have the power to be above the law by instruments, should observe the existence of such instruments as the law itself !

Wenye mamlaka wasitumie mapungufu ya kisheria yanayotoa mianya ya ubabe kuwa wababe. Huo ni ushamba uliopitiliza.
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Kuna mambo hayahitaji ushahidi wa direct.......... ushenzi wa Jiwe ni wa wazi kiasi kuwa you do not need direct evidence...
Ipso facto is a Latin term that means "by the fact itself". It is a term used to refer to the state of something being the inevitable result of an existing state of affairs, rather than being dependent on other factors. ....(kitu kama hicho ingawa siyo sawa kivile)
 
Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China?? Au nako pia haitowezekana??

Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya???
Kama hujui faida ya kuwa na mahusiano na Ulaya, jitathmini. Viongozi hawaathiriwa na vikwazo hivyo kama mwananchi wa chini, ndio maana wapo ngangari kuendesha nchi watakavyo na si kwa kufuata katiba, kwani wananufaika.
 
Back
Top Bottom