Justard zelphine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 374
- 207
Mi nadhani mlijipoteza wenyewe! Haiwezekani Lowasa mliyeshutumu na wizi wote ule, halafu anasimikwa kuwa rais wa nchi, hatukuona sehemu mlipomsafisha akang'ara maana alishachafuka, mkamweka pembe Dr Slaa!, leo nanyi anawaweka pembeni mnamwona mbaya!Kama hawajulikani uchunguzi unatakiwa. Tuelezwe nani aliondoa Walinzi, Camera ziliondolewa na nani. Tukipata majibu hayo tutajua akina nani wamehusika...
Ajali ya gari ya chacha wangwe ni kama ajali gari ya waziri mkuu wa zamani!!Wakati unajiuliza hayo pia jiulize kwaninj Chacha Wangwe aliuawa? Aliuawa na nan? Kwanini katika ile ajari dereva wake hakupatwa na mchubuko? Nia ilikuwa nn? Then kaa chini tafakari kuwa Siasa sio mchezo! Usije ukadhani ata ndani ya chama chako kuna watu wasafi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
NAKAZIASlaa hajapinga Lissu kupigwa risasi ila kapigwa na nani?
Ndugu nakuambia katika siasa kuna mambo mengi! Si CCM wala si Chadema, kuna watu humo ndani ni mamafia kwelikweli na wanashirikiana kwenye mambo yao ya mauaji vzri tu! Usicheze ata kdg na hawa watu ukiteleza unaenda na maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee kaongea ukweli mtupu,kama kuna anayepinga haya aliyoyasema aje na ushaidi, maana Slaa kaongea kwa ushaidi.Chadema walitukosea kabisa,kumtupa mwanasiasa kama Slaa na kumkumbatia mwanasiasa galasa Lowassa,alafu mwisho likawakimbia,Njaa mbaya sana, mzee anafukuzia kauteuzi laki anakosea step, kuegemea Sukumagang kunamkosesha teuzi
Hawafanyi hivyo. Wanawatembelea na wanapewa taarifa na wahusika. Lakini wao sio wakaguzi kiasi cha kupitia makrabrasha ya kihasibu. Hawatoi hati za ukaguzi. Wanachofanya ni kuulizia outstanding audit queries na kutaka zijibiwe. Majibu anapewa CAG ambae akiridhika anaifuta audit query husika.Kamati zile huwa zinaenda kuonana na walengwa na kudai kilichokoswkana na kama kipo wanasawazisha mambo sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mhuni tu, ndiyo maana ulishindwa upadre, umekuwa lofa wa kulazwa kwenye gari na mkeo, na kuchapwa bakora. Mushumbuzi alitegemea awe First lady.....wote na mkeo mnaaibisha taifa letu. Eti CHADEMA wanateka watu, wale waliokuwa wakizikwa na Mwigulu haraka haraka ni kina nani? Wewe chumia tumbo lako.
Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita...
Lowassa alikuwa bora kuliko Slaa at the time..Mzee kaongea ukweli mtupu,kama kuna anayepinga haya aliyoyasema aje na ushaidi, maana Slaa kaongea kwa ushaidi.Chadema walitukosea kabisa,kumtupa mwanasiasa kama Slaa na kumkumbatia mwanasiasa galasa Lowassa,alafu mwisho likawakimbia,
Pale ukweli unapozungumzwa mara nyingi mnamuwekea lebel mzungumzaji kuwa ni mamluki.Tunakushukuru sana Mungu kwa kutuondolea huyu Mamluki Chadema
Kuwa wawekezaji wengi walikuja awamu ya 5 kwa sababu ilikuwa rafiki wa wawekezaji? Hiki ni kichekesho zaidi maana takwimu zipo zinazoonyesha uwekezaji awamu ya 5 ulishuka kupita kipindi chochote, tena zilikuwa zikitolewa na awamu ya 5 wenyeweI agree with you! Majibu yake kuhusu hili yanaleta tafsiri nyingi. Vipi kuhusu hoja zingine?
Kumuelewa Dr Slaa lazima uwe na akili kubwaTunakushukuru sana Mungu kwa kutuondolea huyu Mamluki Chadema
Wageswa nyeti zao mkuuWatu mmekuwa wakali sana humu ndani. Kulikoni? [emoji1][emoji1][emoji16]
Tuonyeshe kwa ushaidi Slaa amevaa au amepokelewa na kiongozi wa CCM kama Lowassa wenu alivyofanya,Slaa amekuwa kiongozi wa serikali kama watumishi wengine,nakuwa mtumishi wa serikali sio lazima uwe CCM.Lowassa alikuwa bora kuliko Slaa at the time..
Slaa hakuwa na jipya kwa wananchi,ajenda zake zilikuwa zilezile za mwembeyanga
Kuhusu kukimnia chadema Slaa aliiikimbia akarudi ccm kabla hata ya Lowassa..
Mtu anayepinga ripoti ya CAG basi ujue akili yake ina shida..
Hana tofauti na Ndugai aliyemchukia prof.Assad sababu ya ripoti
Kwa ufupi the pathetic old man sounds like the barbarian jiwe and Ndugai.
Huyo msaliti hatuna habar naeAlikuwa sehemu ya uhuni kama wahuni wenzake!
Je, aliripoti wapi!?
Alikaa kimya akichumia tumbo lake!
Shame. Huyu ndiyo angekuwa eti raisi!
Daktari, Shikamo. Nakubaliana nawe kuwa wa-Tanzania wa kawaida hawangependa sana kuzungumzia Katiba mpya na kwamba Katiba pendekezwa ni ya hovyo kuliko tuliyo nayo kwani imedhofishwa sana kutoka mapendekezo aliyoleta Jaji Warioba.
Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita...
laana ya kumuhasi Mungu kwa kiu za ngonoTunakushukuru sana Mungu kwa kutuondolea huyu Mamluki Chadema
Principle za ukasisi vipi? Au hizo ni flexible.Huyu mzee nitamtetea maeneo mengi bila kupepesa. Anaishi kwa principles kitu ambacho wanasiasa wetu wengi hawana. Hata umchukie vipi, facts zake hazibadilishwi kipropaganda.
Sasa mbona hawachukuliwi hatua na vyombo husika? Slaa tushamzarau yeye zito lipumba afadhali lungwe anajua kusimamia anachokiamini.Kwani chadema wanaishi na watu Kimalaika? Hakuna wanaotendea uovu? Rejea Slaa anavyosema! Unaweza kumshutumu mtu kumbe aliyetenda yuko pembeni kabisa
Mtu gani amiminiwe risasi zote hizo alafu atoke?kingine mbona dreva wa lisu mbona hakupata hata mchubuko wakati walikuwa wote,na sasahivi wamemficha ubeligiji,kama kweli Chadema wanataka tujue ukweli wamlete dreva wa lissu maana ndiye aliyewaona wapigaji.Dr Salaa ni miongoni mwa watu waliokuwa na heshima sana nchini
Katika siku za karibuni Salaa amekuwa na 'project' ya kuharibu integrity and credibility yake.....
Mbona hakuripoti polisi au kuongea na vyombo vya habari. Ktk hili Dr Slaa naamini unatumiwa.HEBU TUJADILI HII STATEMENT YA @drslaa
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
SIZUNGUMZII SUALA LA LISSU KUPIGWA RISASI SABABU UTEKAJI ULIKUWEPOA CHADEMA
“Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sita taarifa zake za uhakika...