Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

Kama hawajulikani uchunguzi unatakiwa. Tuelezwe nani aliondoa Walinzi, Camera ziliondolewa na nani. Tukipata majibu hayo tutajua akina nani wamehusika...
Mi nadhani mlijipoteza wenyewe! Haiwezekani Lowasa mliyeshutumu na wizi wote ule, halafu anasimikwa kuwa rais wa nchi, hatukuona sehemu mlipomsafisha akang'ara maana alishachafuka, mkamweka pembe Dr Slaa!, leo nanyi anawaweka pembeni mnamwona mbaya!
Mkuki kwa nguruwe!
 
Wakati unajiuliza hayo pia jiulize kwaninj Chacha Wangwe aliuawa? Aliuawa na nan? Kwanini katika ile ajari dereva wake hakupatwa na mchubuko? Nia ilikuwa nn? Then kaa chini tafakari kuwa Siasa sio mchezo! Usije ukadhani ata ndani ya chama chako kuna watu wasafi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajali ya gari ya chacha wangwe ni kama ajali gari ya waziri mkuu wa zamani!!

Ila cha ajabu miili yao walikuwa wameshaitundulisu!!
 
Slaa hajapinga Lissu kupigwa risasi ila kapigwa na nani?
Ndugu nakuambia katika siasa kuna mambo mengi! Si CCM wala si Chadema, kuna watu humo ndani ni mamafia kwelikweli na wanashirikiana kwenye mambo yao ya mauaji vzri tu! Usicheze ata kdg na hawa watu ukiteleza unaenda na maji

Sent using Jamii Forums mobile app
NAKAZIA
 
Njaa mbaya sana, mzee anafukuzia kauteuzi laki anakosea step, kuegemea Sukumagang kunamkosesha teuzi
Mzee kaongea ukweli mtupu,kama kuna anayepinga haya aliyoyasema aje na ushaidi, maana Slaa kaongea kwa ushaidi.Chadema walitukosea kabisa,kumtupa mwanasiasa kama Slaa na kumkumbatia mwanasiasa galasa Lowassa,alafu mwisho likawakimbia,
 
Kamati zile huwa zinaenda kuonana na walengwa na kudai kilichokoswkana na kama kipo wanasawazisha mambo sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawafanyi hivyo. Wanawatembelea na wanapewa taarifa na wahusika. Lakini wao sio wakaguzi kiasi cha kupitia makrabrasha ya kihasibu. Hawatoi hati za ukaguzi. Wanachofanya ni kuulizia outstanding audit queries na kutaka zijibiwe. Majibu anapewa CAG ambae akiridhika anaifuta audit query husika.

Amandla...
 

Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita...
Wewe ni mhuni tu, ndiyo maana ulishindwa upadre, umekuwa lofa wa kulazwa kwenye gari na mkeo, na kuchapwa bakora. Mushumbuzi alitegemea awe First lady.....wote na mkeo mnaaibisha taifa letu. Eti CHADEMA wanateka watu, wale waliokuwa wakizikwa na Mwigulu haraka haraka ni kina nani? Wewe chumia tumbo lako.
 
Huyu Dr Slaa ametumwa kukoroga upinzani, iweje alisema amestaaf siasa za majukwaani, the akapewa ubalozi, tena Leo ameanza kampeni za chini chini, huyu mtu sio wa kumwamini, aliona Lowasa anakaribia kuchukua nchi akatumika kuvuruga, Tusimwamini hata kidogo, Hawa wote ni miongoni mwa wachunia Tumbo tu.
 
Mzee kaongea ukweli mtupu,kama kuna anayepinga haya aliyoyasema aje na ushaidi, maana Slaa kaongea kwa ushaidi.Chadema walitukosea kabisa,kumtupa mwanasiasa kama Slaa na kumkumbatia mwanasiasa galasa Lowassa,alafu mwisho likawakimbia,
Lowassa alikuwa bora kuliko Slaa at the time..
Slaa hakuwa na jipya kwa wananchi,ajenda zake zilikuwa zilezile za mwembeyanga
Kuhusu kukimnia chadema Slaa aliiikimbia akarudi ccm kabla hata ya Lowassa..
Mtu anayepinga ripoti ya CAG basi ujue akili yake ina shida..
Hana tofauti na Ndugai aliyemchukia prof.Assad sababu ya ripoti
Kwa ufupi the pathetic old man sounds like the barbarian jiwe and Ndugai.
 
I agree with you! Majibu yake kuhusu hili yanaleta tafsiri nyingi. Vipi kuhusu hoja zingine?
Kuwa wawekezaji wengi walikuja awamu ya 5 kwa sababu ilikuwa rafiki wa wawekezaji? Hiki ni kichekesho zaidi maana takwimu zipo zinazoonyesha uwekezaji awamu ya 5 ulishuka kupita kipindi chochote, tena zilikuwa zikitolewa na awamu ya 5 wenyewe

Katiba Mpya haitaweza kutatua kila changamoto, lakini ni muhimu
 
Lowassa alikuwa bora kuliko Slaa at the time..
Slaa hakuwa na jipya kwa wananchi,ajenda zake zilikuwa zilezile za mwembeyanga
Kuhusu kukimnia chadema Slaa aliiikimbia akarudi ccm kabla hata ya Lowassa..
Mtu anayepinga ripoti ya CAG basi ujue akili yake ina shida..
Hana tofauti na Ndugai aliyemchukia prof.Assad sababu ya ripoti
Kwa ufupi the pathetic old man sounds like the barbarian jiwe and Ndugai.
Tuonyeshe kwa ushaidi Slaa amevaa au amepokelewa na kiongozi wa CCM kama Lowassa wenu alivyofanya,Slaa amekuwa kiongozi wa serikali kama watumishi wengine,nakuwa mtumishi wa serikali sio lazima uwe CCM.
 

Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita...
Daktari, Shikamo. Nakubaliana nawe kuwa wa-Tanzania wa kawaida hawangependa sana kuzungumzia Katiba mpya na kwamba Katiba pendekezwa ni ya hovyo kuliko tuliyo nayo kwani imedhofishwa sana kutoka mapendekezo aliyoleta Jaji Warioba.

Lakini, nipende kuhitalafiana nawe katika mahitaji ya Katiba mpya. Mahitaji ya Katiba mpya yanatokana athari tokezi za katiba iliyopo. Mathalan, athari za mtu mmoja kurudikiwa uwezo wa kufanya maamuzi mengi makubwa kwa niaba ya Wa-TZ takriban 60 Milioni.

Mfano, uteuzi wa Waziri kwa wenzetu unathibitishwa na Bunge wakizingatia vigezo vingi mathalan uwezo wake katika nafasi hiyo kwa kuangalia historia ya utendaji kazi wake, haiba yake, uadilifu wake, hata uhusiano wake ya kinasaba na anayetaka kumteua, na mengine ya aina hiyo. Tukimwachia mtu moja kufanya kazi hiyo ni hatari kwa taifa. Wananchi wa kawaida hawalitizami sana jambo kama hilo.
 
Huyu mzee nitamtetea maeneo mengi bila kupepesa. Anaishi kwa principles kitu ambacho wanasiasa wetu wengi hawana. Hata umchukie vipi, facts zake hazibadilishwi kipropaganda.
Principle za ukasisi vipi? Au hizo ni flexible.
 
Kwani chadema wanaishi na watu Kimalaika? Hakuna wanaotendea uovu? Rejea Slaa anavyosema! Unaweza kumshutumu mtu kumbe aliyetenda yuko pembeni kabisa
Sasa mbona hawachukuliwi hatua na vyombo husika? Slaa tushamzarau yeye zito lipumba afadhali lungwe anajua kusimamia anachokiamini.
 
Dr Salaa ni miongoni mwa watu waliokuwa na heshima sana nchini

Katika siku za karibuni Salaa amekuwa na 'project' ya kuharibu integrity and credibility yake.....
Mtu gani amiminiwe risasi zote hizo alafu atoke?kingine mbona dreva wa lisu mbona hakupata hata mchubuko wakati walikuwa wote,na sasahivi wamemficha ubeligiji,kama kweli Chadema wanataka tujue ukweli wamlete dreva wa lissu maana ndiye aliyewaona wapigaji.
 
HEBU TUJADILI HII STATEMENT YA @drslaa

[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

SIZUNGUMZII SUALA LA LISSU KUPIGWA RISASI SABABU UTEKAJI ULIKUWEPOA CHADEMA
“Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sita taarifa zake za uhakika...
Mbona hakuripoti polisi au kuongea na vyombo vya habari. Ktk hili Dr Slaa naamini unatumiwa.
 
Back
Top Bottom