Justard zelphine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 374
- 207
Mi nadhani mlijipoteza wenyewe! Haiwezekani Lowasa mliyeshutumu na wizi wote ule, halafu anasimikwa kuwa rais wa nchi, hatukuona sehemu mlipomsafisha akang'ara maana alishachafuka, mkamweka pembe Dr Slaa!, leo nanyi anawaweka pembeni mnamwona mbaya!Kama hawajulikani uchunguzi unatakiwa. Tuelezwe nani aliondoa Walinzi, Camera ziliondolewa na nani. Tukipata majibu hayo tutajua akina nani wamehusika...
Mkuki kwa nguruwe!