Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

Mtu gani amiminiwe risasi zote hizo alafu atoke?kingine mbona dreva wa lisu mbona hakupata hata mchubuko wakati walikuwa wote,na sasahivi wamemficha ubeligiji,kama kweli Chadema wanataka tujue ukweli wamlete dreva wa lissu maana ndiye aliyewaona wapigaji.
huo ndiyo ukweli chadema wana siri kubwa sana kwenye suala la lissu kupigwa risasi wanajificha
 
Alikuwa sehemu ya uhuni kama wahuni wenzake!

Je, aliripoti wapi!?
Alikaa kimya akichumia tumbo lake!
Shame. Huyu ndiyo angekuwa eti raisi!
tatizo haaminiki, njaa ni mbaya sana maana najiuliza hata leo cjapata jibu kwann alijitoa chadema ktk kipindi muhimu kuelekea uchaguzi?
 
tatizo haaminiki, njaa ni mbaya sana maana najiuliza hata leo cjapata jibu kwann alijitoa chadema ktk kipindi muhimu kuelekea uchaguzi?
sasa mwenye chama makengeza aliamua kuuza chama kwa lowasa kwanini mtu mwenye akili asiondoke alikuwa sahihi
 
Babu mihogo katika ubora wake. !!

Mama teua huyu mtu atakusaidia sana kuijenga CCM mpya na Serikali ama madini mengi kichwani.
 

Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita...
Nimethibitisha pasipo shaka ya Kuwa Dr anatumika. Bt Kama kachukua upande wa JIWE kisiasa ni karata mzuri. Hawezi kuwa na madhara Kwa CHADEMA sababu UCHAGUZI utafanyika BAADA ya Kupata KATIBA mpya. Wananchi tutakuwa na WIDE choice kuchagua Kwa usahihi.
 
Basi itakuwa ni KWELI.
kama viongozi wa chadema hawatotoka kuelezea hili Jambo SLA atakuwa mkweli.
Kuna madai been saa 8 alipotezwa na mwenyekiti Sasa wakikaa kimya HAIJENGI PICHA NZURI
Slaa ndiye mwenye ushahidi, kwanini yeye asianze kwenda kushtaki?

Alafu pia vyombo vya ulinzi navyo vimesikia, wawaite Chadema na Slaa walielezee vizuri hilo. Chadema wao wanajipelekaje wakati ni victims?
 
Tuonyeshe kwa ushaidi Slaa amevaa au amepokelewa na kiongozi wa CCM kama Lowassa wenu alivyofanya,Slaa amekuwa kiongozi wa serikali kama watumishi wengine,nakuwa mtumishi wa serikali sio lazima uwe CCM.
Alitamka wazi pale serena kuwa anaunga mkono serikali ya ccm.
Kuhusu kadi ya ccm tunajua na yeye anajua kuwa hajawahi kuirudisha ccm
 
Dr Slaa kaa kimya walau ulinde kaheshima kadogo kwamba uliwahi kuwa Padre!
 
[emoji28][emoji28][emoji28] dingi kalazwa Sana kwenye Noah. Alaf nackia mkewe kabaki mbele, analiwa na mzungu huko
Kwaiyo unaamini maneno ya lissu yalikuwa yakweli ili ya Dk Slaa ni uongo, wakati wote ni wanasiasa,Slaa hajawi kuwa mwongo ndio maana alisumbua sana CCM maana yote aliyokuwa akiyasema ulikuwa ukweli mtupu wakashindwa hata kumpeleka mahakamani,sasa nyie Chadema kama mnasema amewachafua kafungueni kesi, tujue mbivu na mbichi.
 
Alitamka wazi pale serena kuwa anaunga mkono serikali ya ccm.
Kuhusu kadi ya ccm tunajua na yeye anajua kuwa hajawahi kuirudisha ccm
Kwaiyo kuiunga mkono CCM tiyari ni mwanachama wa CCM?kuna watu wengi walikuwa wanaunga mkono Chadema lakini sio wanachama,kuwa mwanachama lazima uwe na kadi na kuudhulia vikao vya chama,unaweza leta ushaidi wa sifa hizi kuwa Slaa anazo? acheni siasa za majitaka Slaa ni mkweli,hajawai kuwa na makandokando ndio maana alivyoondoka Chadema chama kimedoda, Sasahivi wanashinda mtaani wanakusanya hela tu kwaajili ya kujaza matumbo yao.
 
Kama hawajulikani uchunguzi unatakiwa. Tuelezwe nani aliondoa Walinzi, Camera ziliondolewa na nani. Tukipata majibu hayo tutajua akina nani wamehusika...
Chadema wamlete dreva wa lissu maana ndiye aliyewaona waliomshambulia, sasahivi wamemficha ubeligiji, kama kweli Chadema wanataka tujue ukweli kwanini wasimlete?

Haiwezekani mtu hapigwe risasi zote hizo alafu kuna mtu pembeni asipate hata mchubuko.Hapa kuna kitu kimefichwa.
 
Chadema wamlete dreva wa lissu maana ndiye aliyewaona waliomshambulia, sasahivi wamemficha ubeligiji, kama kweli Chadema wanataka tujue ukweli kwanini wasimlete?haiwezekani mtu hapigwe risasi zote hizo alafu kuna mtu pembeni asipate hata mchubuko.Hapa kuna kitu kimefichwa.
sasa hivi tunachoshukuru dunia imeshaanza kuwajuwa chadema kuwa ni mafia dr slaa amesema ukweli na unaleta picha kuwa chadema ndiyo wahusika wakuu wamlete dreva kwanini wanamficha?
 
1. Sikubaliani naye kuhusu mtazamo wake kuhusu ripoti ya CAG kwamba isiwe public discussion. Mimi nadhani hoja za CAG zijibiwe na hao walioandikwa "vibaya." Hoja hizo zijibiwe kwa wananchi na zijibiwe mbele ya kamati ya bunge.

2. Sikubaliani na mtizamo wake kuhusu wabunge 19 ambao Chadema iliwakana. Ningemuelewa kama angeshauri mamlaka za uchunguzi zifuatilie kujua kilichotokea. Kama Chadema wanakana kuwa hawakuwapitisha wanachama wao kwenda bungeni, je nani aliwawezesha? Hilo ni suala la POLISI / TAKUKURU kuchunguza.

3. Kuhusu suala la Tundu Lissu, hivi Dr.Slaa anashindwa hata kutoa pole? Dr.Slaa anashindwa kushauri iundwe Tume ya Uchunguzi ili tujue nani alitaka kumuua mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni? Dr.Slaa anashindwa kumtaka Spika / Bunge lieleze Kamati ya Adadi Rajabu ilitoa ripoti gani ilipotakiwa na Spika Ndugai kuchunguza suala hilo?

4. Sikubaliani na kauli zake kuhusu Katiba Mpya. Kauli kwamba Katiba sio muarubaini wa matatizo ya Watanzania ni kauli zinazolenga kufifisha juhudi na harakati za kudai Katiba mpya. Hakuna aliyedai kwamba Katiba mpya ni muarubaini wa matatizo ya nchi yetu. Katiba sio muarubaini, sasa kwanini tuliandika katiba ya 1962, 1965, na 1977? Na kwanini tusiandike mpya sasa hivi kama tunaamini ya 1977 haitufai?
Hapana kaka, tusubiri majibu ya hoja baada ya ukaguzi kupitia kamati ya bunge ili zile ambazo hazina majibu ndio ziwe mjadala.

Auditor anapotoa findings report huwezi kutuhumu mpaka wahusika watoe majibu! Mfano figure tunayoambiwa ni ufisadi ukichunguza kwa makini ni queries wanapaswa kuzitolea maelezo with evidence na si ufisadi!

Mfano kama kuna viambatanisho havijawa presented hadi Auditor ameondoka itabaki pending hadi umpatie! How report ya CAG ambayo inakwenda Bungeni kwaajili ya kamati za Bunge kuhoji wahusika then mandumilakuwili waitumie kutuhumu watu? Purely politics! Hii imewahi kuikumba Chadema na kutumika kwa propaganda hadi walipopeleka vithibitisho!

Audit findings zitageuka tuhuma zikikosa majibu kwa kamati ya Bunge. Tuwe fair, majibu yakikosekana wahusika wote wachukuliwe HATUA! Ikiwemo waliokuwa mawaziri. Kwa kiasi kikubwa hii taarifa jinsi inavyojadiliwa ni kisiasa tu! Muda utaongea.
 
Hii nchi ili utoke lazima uiseme CHADEMA. Huyu alikuwa mamluli ndani ya CHADEMA. Leo anaiona katiba ya Sasa Ni Bora kuliko rasimu ya Warioba.
Hajasema hivyo! Amesema ile rasimu ya Warioba ilichakachuliwa zaidi na ndio mbovu kuliko hata hii ya sasa! Facts hata kama humpendi, ukweli hauozi!
 
..Dr.Slaa ameulizwa mara nyingi suala la Tundu Lissu.

..lakini mpaka sasa hivi bado anatoa majibu yasiyoendana na Dr.Slaa wa kabla hajahama Chadema.

..angekuwa amekosea mara ya kwanza tungeweza kusema ni bahati mbaya, but over and over anatoa majibu ya ajabu-ajabu.

cc MTAZAMO
I agree with you [emoji817]. Kwenye majibu yake juu ya shambulio la Lissu ni majibu ya kisiasa na kujichomoa kwenye mjadala wa msingi.

Mimi sibebi chuki na mtu sababu ya uvyama, naangalia facts. Siasa zimetuharibu na maoni yeti mengi yanategemea mlengo na si msingi wa hoja.

Chama tawala wanafanikiwa kutuendesha watakavyo sababu hatujawahi kumjua adui yetu halisi! Kama focus ingekuwa ni CCM leo tusingeshangalia wakishughulikiana kimakundi huku na sisi tukichagua upande ( mara nyingi kiongozi wa awamu iliyopita na wasaidizi wake). Hivyo hivyo hata baadae JPM atasahulika na ubaya wote atabeba mama Samia na tutashangilia na kunanga wasaidizi wake!

Let's focus kwenye kiini cha tatizo na tuachane na watu ambao wakiondoka tunabaki na tatizo lile lile. Hakuna matatizo ya JPM ambayo hayakuwepo awamu zingine labda wazidiane tu! Zaidi ya mwaka Tundu Lissu na akina Lema hawarudi nchini kwa hofu zile zile! Kuna shida ambayo mnaikimbia na kushadadia ngoma zinazopigwa Lumumba!!
 
Kwaiyo kuiunga mkono CCM tiyari ni mwanachama wa CCM?kuna watu wengi walikuwa wanaunga mkono Chadema lakini sio wanachama,kuwa mwanachama lazima uwe na kadi na kuudhulia vikao vya chama,unaweza leta ushaidi wa sifa hizi kuwa Slaa anazo? acheni siasa za majitaka Slaa ni mkweli,hajawai kuwa na makandokando ndio maana alivyoondoka Chadema chama kimedoda, Sasahivi wanashinda mtaani wanakusanya hela tu kwaajili ya kujaza matumbo yao.
Sio kila mwenye kadi ya chsma anahudhuria vikao vya chama.
Sababu ya cdm kuomba michango ya watu ni kwa vile hawana ruzuku baada ya kuikataa kutokana na wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake.
Slaa hakuwa na jipya 2015 na Lowassa aliiletea cdm wabunge wengi ambao slaa asingeweza.
Slaa alipofuka siku aliponunuliwa na jiwe na kupelekwa kuishi Canada.
Aache kujipendekeza utawala huu hauna mpango naye sababu hana jipya(sio mtaji wa kisiasa).
Amebakia kutetea mauaji na ukatili wa jiwe.
Kwake yeye leo katiba hii ni bora baada ya kushibishwa tumbo na ccm.
Anadhania atapata uteuzi kupitia cdm!
 
Chadema wamlete dreva wa lissu maana ndiye aliyewaona waliomshambulia, sasahivi wamemficha ubeligiji, kama kweli Chadema wanataka tujue ukweli kwanini wasimlete?haiwezekani mtu hapigwe risasi zote hizo alafu kuna mtu pembeni asipate hata mchubuko.Hapa kuna kitu kimefichwa.
Lisu alirudi wakati wa kampeni na akajipeleka polisi wamuhoji lakini hawakufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom