chadema imesemwa ukweli kuwa utekaji wanafanyaga wenyewe kumbe dunia sasa inaanza kuwajuwa jinsi walivyoWatu mmekuwa wakali sana humu ndani. Kulikoni? 😄😄😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chadema imesemwa ukweli kuwa utekaji wanafanyaga wenyewe kumbe dunia sasa inaanza kuwajuwa jinsi walivyoWatu mmekuwa wakali sana humu ndani. Kulikoni? 😄😄😁
huo ndiyo ukweli chadema wana siri kubwa sana kwenye suala la lissu kupigwa risasi wanajifichaMtu gani amiminiwe risasi zote hizo alafu atoke?kingine mbona dreva wa lisu mbona hakupata hata mchubuko wakati walikuwa wote,na sasahivi wamemficha ubeligiji,kama kweli Chadema wanataka tujue ukweli wamlete dreva wa lissu maana ndiye aliyewaona wapigaji.
tatizo haaminiki, njaa ni mbaya sana maana najiuliza hata leo cjapata jibu kwann alijitoa chadema ktk kipindi muhimu kuelekea uchaguzi?Alikuwa sehemu ya uhuni kama wahuni wenzake!
Je, aliripoti wapi!?
Alikaa kimya akichumia tumbo lake!
Shame. Huyu ndiyo angekuwa eti raisi!
Jikite kwenye HOJA. Saidia Nchi , humu ni jukwaa la INTELLIGENT.Baada ya kumuasi Mungu kwa kuasi upadre mapepo yamemurudia mara saba na madhara yake ndio haya.
sasa mwenye chama makengeza aliamua kuuza chama kwa lowasa kwanini mtu mwenye akili asiondoke alikuwa sahihitatizo haaminiki, njaa ni mbaya sana maana najiuliza hata leo cjapata jibu kwann alijitoa chadema ktk kipindi muhimu kuelekea uchaguzi?
Nimethibitisha pasipo shaka ya Kuwa Dr anatumika. Bt Kama kachukua upande wa JIWE kisiasa ni karata mzuri. Hawezi kuwa na madhara Kwa CHADEMA sababu UCHAGUZI utafanyika BAADA ya Kupata KATIBA mpya. Wananchi tutakuwa na WIDE choice kuchagua Kwa usahihi.
Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita...
Slaa ndiye mwenye ushahidi, kwanini yeye asianze kwenda kushtaki?Basi itakuwa ni KWELI.
kama viongozi wa chadema hawatotoka kuelezea hili Jambo SLA atakuwa mkweli.
Kuna madai been saa 8 alipotezwa na mwenyekiti Sasa wakikaa kimya HAIJENGI PICHA NZURI
Alitamka wazi pale serena kuwa anaunga mkono serikali ya ccm.Tuonyeshe kwa ushaidi Slaa amevaa au amepokelewa na kiongozi wa CCM kama Lowassa wenu alivyofanya,Slaa amekuwa kiongozi wa serikali kama watumishi wengine,nakuwa mtumishi wa serikali sio lazima uwe CCM.
Kwaiyo unaamini maneno ya lissu yalikuwa yakweli ili ya Dk Slaa ni uongo, wakati wote ni wanasiasa,Slaa hajawi kuwa mwongo ndio maana alisumbua sana CCM maana yote aliyokuwa akiyasema ulikuwa ukweli mtupu wakashindwa hata kumpeleka mahakamani,sasa nyie Chadema kama mnasema amewachafua kafungueni kesi, tujue mbivu na mbichi.[emoji28][emoji28][emoji28] dingi kalazwa Sana kwenye Noah. Alaf nackia mkewe kabaki mbele, analiwa na mzungu huko
Kwaiyo kuiunga mkono CCM tiyari ni mwanachama wa CCM?kuna watu wengi walikuwa wanaunga mkono Chadema lakini sio wanachama,kuwa mwanachama lazima uwe na kadi na kuudhulia vikao vya chama,unaweza leta ushaidi wa sifa hizi kuwa Slaa anazo? acheni siasa za majitaka Slaa ni mkweli,hajawai kuwa na makandokando ndio maana alivyoondoka Chadema chama kimedoda, Sasahivi wanashinda mtaani wanakusanya hela tu kwaajili ya kujaza matumbo yao.Alitamka wazi pale serena kuwa anaunga mkono serikali ya ccm.
Kuhusu kadi ya ccm tunajua na yeye anajua kuwa hajawahi kuirudisha ccm
Chadema wamlete dreva wa lissu maana ndiye aliyewaona waliomshambulia, sasahivi wamemficha ubeligiji, kama kweli Chadema wanataka tujue ukweli kwanini wasimlete?Kama hawajulikani uchunguzi unatakiwa. Tuelezwe nani aliondoa Walinzi, Camera ziliondolewa na nani. Tukipata majibu hayo tutajua akina nani wamehusika...
sasa hivi tunachoshukuru dunia imeshaanza kuwajuwa chadema kuwa ni mafia dr slaa amesema ukweli na unaleta picha kuwa chadema ndiyo wahusika wakuu wamlete dreva kwanini wanamficha?Chadema wamlete dreva wa lissu maana ndiye aliyewaona waliomshambulia, sasahivi wamemficha ubeligiji, kama kweli Chadema wanataka tujue ukweli kwanini wasimlete?haiwezekani mtu hapigwe risasi zote hizo alafu kuna mtu pembeni asipate hata mchubuko.Hapa kuna kitu kimefichwa.
Hapana kaka, tusubiri majibu ya hoja baada ya ukaguzi kupitia kamati ya bunge ili zile ambazo hazina majibu ndio ziwe mjadala.1. Sikubaliani naye kuhusu mtazamo wake kuhusu ripoti ya CAG kwamba isiwe public discussion. Mimi nadhani hoja za CAG zijibiwe na hao walioandikwa "vibaya." Hoja hizo zijibiwe kwa wananchi na zijibiwe mbele ya kamati ya bunge.
2. Sikubaliani na mtizamo wake kuhusu wabunge 19 ambao Chadema iliwakana. Ningemuelewa kama angeshauri mamlaka za uchunguzi zifuatilie kujua kilichotokea. Kama Chadema wanakana kuwa hawakuwapitisha wanachama wao kwenda bungeni, je nani aliwawezesha? Hilo ni suala la POLISI / TAKUKURU kuchunguza.
3. Kuhusu suala la Tundu Lissu, hivi Dr.Slaa anashindwa hata kutoa pole? Dr.Slaa anashindwa kushauri iundwe Tume ya Uchunguzi ili tujue nani alitaka kumuua mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni? Dr.Slaa anashindwa kumtaka Spika / Bunge lieleze Kamati ya Adadi Rajabu ilitoa ripoti gani ilipotakiwa na Spika Ndugai kuchunguza suala hilo?
4. Sikubaliani na kauli zake kuhusu Katiba Mpya. Kauli kwamba Katiba sio muarubaini wa matatizo ya Watanzania ni kauli zinazolenga kufifisha juhudi na harakati za kudai Katiba mpya. Hakuna aliyedai kwamba Katiba mpya ni muarubaini wa matatizo ya nchi yetu. Katiba sio muarubaini, sasa kwanini tuliandika katiba ya 1962, 1965, na 1977? Na kwanini tusiandike mpya sasa hivi kama tunaamini ya 1977 haitufai?
Hajasema hivyo! Amesema ile rasimu ya Warioba ilichakachuliwa zaidi na ndio mbovu kuliko hata hii ya sasa! Facts hata kama humpendi, ukweli hauozi!Hii nchi ili utoke lazima uiseme CHADEMA. Huyu alikuwa mamluli ndani ya CHADEMA. Leo anaiona katiba ya Sasa Ni Bora kuliko rasimu ya Warioba.
I agree with you [emoji817]. Kwenye majibu yake juu ya shambulio la Lissu ni majibu ya kisiasa na kujichomoa kwenye mjadala wa msingi...Dr.Slaa ameulizwa mara nyingi suala la Tundu Lissu.
..lakini mpaka sasa hivi bado anatoa majibu yasiyoendana na Dr.Slaa wa kabla hajahama Chadema.
..angekuwa amekosea mara ya kwanza tungeweza kusema ni bahati mbaya, but over and over anatoa majibu ya ajabu-ajabu.
cc MTAZAMO
Sio kila mwenye kadi ya chsma anahudhuria vikao vya chama.Kwaiyo kuiunga mkono CCM tiyari ni mwanachama wa CCM?kuna watu wengi walikuwa wanaunga mkono Chadema lakini sio wanachama,kuwa mwanachama lazima uwe na kadi na kuudhulia vikao vya chama,unaweza leta ushaidi wa sifa hizi kuwa Slaa anazo? acheni siasa za majitaka Slaa ni mkweli,hajawai kuwa na makandokando ndio maana alivyoondoka Chadema chama kimedoda, Sasahivi wanashinda mtaani wanakusanya hela tu kwaajili ya kujaza matumbo yao.
Lisu alirudi wakati wa kampeni na akajipeleka polisi wamuhoji lakini hawakufanya hivyo.Chadema wamlete dreva wa lissu maana ndiye aliyewaona waliomshambulia, sasahivi wamemficha ubeligiji, kama kweli Chadema wanataka tujue ukweli kwanini wasimlete?haiwezekani mtu hapigwe risasi zote hizo alafu kuna mtu pembeni asipate hata mchubuko.Hapa kuna kitu kimefichwa.