Agenda ya chadema ni kudai katiba mpya ila unawatuhumu wasaka ruzuku
We umefanya nini cha maana kwenye kudai katiba mpya
wanaodai katiba mpya hawajajificha kwenye majina bandia
Mimi sijajisifu kwamba ni mwanaharakatiKwamba nafanya nini? Nafanya mengi kuliko wewe. Kwani wewe unfanya nini? Kumbe wewe uko hapa na jina kamili?
Majina bandia? Nani katika nani hana?
Bure kabisa!
Mimi sijajisifu kwamba ni mwanaharakati
Tofauti na wewe unayejisifu mwana-mapinduzi alafu umejificha kwenye jina bandia
Mimi ni mwananchi wa kawaida
Fact check:Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Bado siamini kama kweli ninakusoma wewe, mkuu 'Retired'!Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Nawe unajisema tuuu! Kwani hata historia inayohitaji kumbukumbu ni ngumu kuielewa? Slaa Aliteuliwa ubalozi tokea CHADEMA? Tusilazimishe uelewa wenu mdogo.Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Hawa watu sijui wanajenga uadui na Slaa ili iweje. Mbona Mkumbo, Komu, etc. hawasemi ilikuwaje akatoka Kwenye Chama. Tatizo ni pale inapoonekana kuna mtu ana outsmart uwezo wao!Fact check:
Slaa aliondoka chadema baada ya Lowasa kuruhusiwa na Mbowe .
Slaa akahama nchi kwenda kuishi Canada
Kule Canada alikuwa muuza vitu supa maketi
Baada Jpm kuchukua dola aliwachagua wengi wapinzani kwenye serikali pamoja na Kitila
Baadaye Slaa akapewa ubalozi Sweden.
Sasa hapo mlitaka Slaa afanyaje wakati kishajitoa?
Fact ni kuwa Slaa alitoka Chadema kwa sababu Mbowe alimleta Lowasa na ni fact kuwa ubalozi aliupata wakati uvhaguzi umepita na Slaa yupo Canada anaishi uhamishoni.
Mlitaka Slaa afanye nini? Akatae?
umemaliza mkuu👏👏👏👏Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.
Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na ..👏👏Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU
KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Mbwembwe zooooote, ili tu upate sehemu ya kumkandia Mbowe. Una moral authority ipi ya kumkandia Mbowe wewe shujaa wa keyboard? Unataka Mbowe afanye nini cha zaidi ya anachofanya sasa? Kama unadhani mambo ni rahisi ingia uicheze ngoma, si kujiweka pembeni na kubeza jitihada za wenzako. Umeambiwa Mbowe alizaliwa kwa ajili yako? Why can't you appreciate what he has done so far? Kama huyo Slaa ni lulu mchukue wewe uanzishe naye chama.Bado siamini kama kweli ninakusoma wewe, mkuu 'Retired'!
Uko sahihi kabisa kuhusu hilo la kuwa na mashaka juu ya Slaa. Binafsi sijawahi kuwa na imani kubwa juu yake hata wakati angali yupo CHADEMA.
Lakini kuna mambo ambayo huwezi kumnyima heshima yake. Kwa mfano; kazi yake kubwa na nzuri kabisa aliyokuwa akiifanya akiwa Katibu Mkuu wa chama hicho, rekodi hiyo ipo wazi na CHADEMA haijaweza kufikia rekodi yake hiyo tokea aondoke.
Kazi zake Bungeni akiwa Mbunge zilionekana; hakuwa mbunge wa kwenda kulala Bungeni.
Kwa hiyo, ni swala muhimu la kujiuliza, huyu Slaa ilikuwa kuwaje akakengeuka vile wakati ule wa kuondoka CHADEMA? Bila shaka yapo mengi ya kueleza hapo, na mtu pekee anayeweza kufanya hivyo ni yeye.
Na zaidi ya hivyo, baada ya kuondoka ndani ya chama alichokiongoza, halafu na kutumia maneno anayosemekana kuyatumia dhidi ya viongozi wenzake, hili ni jambo la kusikitisha kwelikweli juu ya huyu mtu
Sasa, baada ya kuyasema yote hayo, huyu Slaa anachopigania sasa, pamoja na historia yake hiyo mchanganyiko, hatuwezi tukamtazama katika haya yaliyopo sasa?
Yupo upande gani.
Anatetea maslahi ya nchi, au yupo kwenye kukandamiza maslahi hayo
Hatuwezi kutenganisha historia yake hiyo katika haya maswala yaliyopo sasa?
Kwani lengoletu hasa ni nini? Kumwamini Slaa, au kushiriki na yeyote atakayechangia ili taifa letu lifikie mahali tunapoamini kuwa maslahi yake yanalindwa?
Mimi simwamini Slaa, lakini kama yupo tayari kusaidia kupambana na janga la CCM, hiyo ni sababu kuu zaidi ya kushirikiana naye kadri iwezekanavyo ili lengo letu lifanikiwe.
Mbowe amekwishauza roho yake kwa shetani; shetani yule yule aliyewahi kuiteka roho ya Slaa.
kinondoni, kaponea chupuchupu; na yule mashahidi askari kachesha watu kuwa Mbowe alitimkia ofisi ya CCM kujificha. Mara hii umesahau?Walimpiga risasi lini?
Mbege ya mchana hatari
Hakuna mtu mwenye uadui na slaa acha upotoshajiHawa watu sijui wanajenga uadui na Slaa ili iweje. Mbona Mkumbo, Komu, etc. hawasemi ilikuwaje akatoka Kwenye Chama. Tatizo ni pale inapoonekana kuna mtu ana outsmart uwezo wao!
Tukubali kwamba kwa wakati huu Slaa anasema yanayoeleweka kwa wananchi; awe ni kibaka, mwizi, gaidi, muongo, n.k. tunasema asemayo kwa sasa ni perfect!
Bahati nzuri pia tukubali kwamba, ufaham,u wa Binadamu unaturuhu kuuona uaminifu wa Slaa usoni. KUna watu kwenye majukwa hata wakipiga kelele, tunachoona ni akili mbaya na sura za uongo.
Ndo maana kuna mtu nilimwambia ofisi za msajili zipo wazi akasajili chama kipyaMbwembwe zooooote, ili tu upate sehemu ya kumkandia Mbowe. Una moral authority ipi ya kumkandia Mbowe wewe shujaa wa keyboard? Unataka Mbowe afanye nini cha zaidi ya anachofanya sasa? Kama unadhani mambo ni rahisi ingia uicheze ngoma, si kujiweka pembeni na kubeza jitihada za wenzako. Umeambiwa Mbowe alizaliwa kwa ajili yako? Why can't you appreciate what he has done so far? Kama huyo Slaa ni lulu mchukue wewe uanzishe naye chama.
Marhabaaaaaa:!!!!!..., umemuuliza swali zuri sana, Sijui kama atakujibu 🤣 🤣 🤣 🤣Swala la kuamini au kutoamini mtu ni swala binafsi. Nitajie viongozi wajuu 5 ambao unaamini sio vigeugeu hapo ndio nitaamini kauli yako.
Sasa mtu mbuzi kama wewe unataka nijadili kitu gani cha maana na wewe?Mbwembwe zooooote, ili tu upate sehemu ya kumkandia Mbowe. Una moral authority ipi ya kumkandia Mbowe wewe shujaa wa keyboard? Unataka Mbowe afanye nini cha zaidi ya anachofanya sasa? Kama unadhani mambo ni rahisi ingia uicheze ngoma, si kujiweka pembeni na kubeza jitihada za wenzako. Umeambiwa Mbowe alizaliwa kwa ajili yako? Why can't you appreciate what he has done so far? Kama huyo Slaa ni lulu mchukue wewe uanzishe naye chama.
Acha uongo mbowe alitafutwa siku kadhaa ndo akapatikanakinondoni, kaponea chupuchupu; na yule mashahidi askari kachesha watu kuwa Mbowe alitimkia ofisi ya CCM kujificha. Mara hii umesahau?
Ungejikita kwenye mada masula ya mbuzi yanatoka wapiSasa mtu mbuzi kama wewe unataka nijadili kitu gani cha maana na wewe?
Nenda kafikirie hili kwanza, ukiona unazo akili za kutosha njoo hapa tumjadili huyo Mbowe unayedhani ni kila kitu kwako.
Bado siamini kama kweli ninakusoma wewe, mkuu 'Retired'!
Uko sahihi kabisa kuhusu hilo la kuwa na mashaka juu ya Slaa. Binafsi sijawahi kuwa na imani kubwa juu yake hata wakati angali yupo CHADEMA.
Lakini kuna mambo ambayo huwezi kumnyima heshima yake. Kwa mfano; kazi yake kubwa na nzuri kabisa aliyokuwa akiifanya akiwa Katibu Mkuu wa chama hicho, rekodi hiyo ipo wazi na CHADEMA haijaweza kufikia rekodi yake hiyo tokea aondoke.
Kazi zake Bungeni akiwa Mbunge zilionekana; hakuwa mbunge wa kwenda kulala Bungeni.
Kwa hiyo, ni swala muhimu la kujiuliza, huyu Slaa ilikuwa kuwaje akakengeuka vile wakati ule wa kuondoka CHADEMA? Bila shaka yapo mengi ya kueleza hapo, na mtu pekee anayeweza kufanya hivyo ni yeye.
Na zaidi ya hivyo, baada ya kuondoka ndani ya chama alichokiongoza, halafu na kutumia maneno anayosemekana kuyatumia dhidi ya viongozi wenzake, hili ni jambo la kusikitisha kwelikweli juu ya huyu mtu
Sasa, baada ya kuyasema yote hayo, huyu Slaa anachopigania sasa, pamoja na historia yake hiyo mchanganyiko, hatuwezi tukamtazama katika haya yaliyopo sasa?
Yupo upande gani.
Anatetea maslahi ya nchi, au yupo kwenye kukandamiza maslahi hayo
Hatuwezi kutenganisha historia yake hiyo katika haya maswala yaliyopo sasa?
Kwani lengoletu hasa ni nini? Kumwamini Slaa, au kushiriki na yeyote atakayechangia ili taifa letu lifikie mahali tunapoamini kuwa maslahi yake yanalindwa?
Mimi simwamini Slaa, lakini kama yupo tayari kusaidia kupambana na janga la CCM, hiyo ni sababu kuu zaidi ya kushirikiana naye kadri iwezekanavyo ili lengo letu lifanikiwe.
Mbowe amekwishauza roho yake kwa shetani; shetani yule yule aliyewahi kuiteka roho ya Slaa.
Hakuna aliyekukutaza
Nina muda huo mchafu basi? Wewe kambebe huyo Slaa ukaishi naye kwako kama unampenda saaana. Tuachie Mbowe wetu sisi tunayemkubali.Sasa mtu mbuzi kama wewe unataka nijadili kitu gani cha maana na wewe?
Nenda kafikirie hili kwanza, ukiona unazo akili za kutosha njoo hapa tumjadili huyo Mbowe unayedhani ni kila kitu kwako.