Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

Agenda ya chadema ni kudai katiba mpya ila unawatuhumu wasaka ruzuku

We umefanya nini cha maana kwenye kudai katiba mpya
wanaodai katiba mpya hawajajificha kwenye majina bandia

Kwamba nafanya nini? Nafanya mengi kuliko wewe. Kwani wewe unfanya nini? Kumbe wewe uko hapa na jina kamili?

Majina bandia? Nani katika nani hana?

Bure kabisa!
 
Mimi sijajisifu kwamba ni mwanaharakati
Tofauti na wewe unayejisifu mwana-mapinduzi alafu umejificha kwenye jina bandia
Mimi ni mwananchi wa kawaida
 
Mwana mapinduzi?! Unayaokoteza wapi maneno haya ndugu mwananchi wa kawaida bayana nyuma ya jina halisi?!
 
Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.

Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU

KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
Fact check:
Slaa aliondoka chadema baada ya Lowasa kuruhusiwa na Mbowe .
Slaa akahama nchi kwenda kuishi Canada

Kule Canada alikuwa muuza vitu supa maketi

Baada Jpm kuchukua dola aliwachagua wengi wapinzani kwenye serikali pamoja na Kitila

Baadaye Slaa akapewa ubalozi Sweden.

Sasa hapo mlitaka Slaa afanyaje wakati kishajitoa?

Fact ni kuwa Slaa alitoka Chadema kwa sababu Mbowe alimleta Lowasa na ni fact kuwa ubalozi aliupata wakati uvhaguzi umepita na Slaa yupo Canada anaishi uhamishoni.

Mlitaka Slaa afanye nini? Akatae?
 
Bado siamini kama kweli ninakusoma wewe, mkuu 'Retired'!

Uko sahihi kabisa kuhusu hilo la kuwa na mashaka juu ya Slaa. Binafsi sijawahi kuwa na imani kubwa juu yake hata wakati angali yupo CHADEMA.
Lakini kuna mambo ambayo huwezi kumnyima heshima yake. Kwa mfano; kazi yake kubwa na nzuri kabisa aliyokuwa akiifanya akiwa Katibu Mkuu wa chama hicho, rekodi hiyo ipo wazi na CHADEMA haijaweza kufikia rekodi yake hiyo tokea aondoke.
Kazi zake Bungeni akiwa Mbunge zilionekana; hakuwa mbunge wa kwenda kulala Bungeni.

Kwa hiyo, ni swala muhimu la kujiuliza, huyu Slaa ilikuwa kuwaje akakengeuka vile wakati ule wa kuondoka CHADEMA? Bila shaka yapo mengi ya kueleza hapo, na mtu pekee anayeweza kufanya hivyo ni yeye.
Na zaidi ya hivyo, baada ya kuondoka ndani ya chama alichokiongoza, halafu na kutumia maneno anayosemekana kuyatumia dhidi ya viongozi wenzake, hili ni jambo la kusikitisha kwelikweli juu ya huyu mtu

Sasa, baada ya kuyasema yote hayo, huyu Slaa anachopigania sasa, pamoja na historia yake hiyo mchanganyiko, hatuwezi tukamtazama katika haya yaliyopo sasa?
Yupo upande gani.
Anatetea maslahi ya nchi, au yupo kwenye kukandamiza maslahi hayo
Hatuwezi kutenganisha historia yake hiyo katika haya maswala yaliyopo sasa?

Kwani lengoletu hasa ni nini? Kumwamini Slaa, au kushiriki na yeyote atakayechangia ili taifa letu lifikie mahali tunapoamini kuwa maslahi yake yanalindwa?

Mimi simwamini Slaa, lakini kama yupo tayari kusaidia kupambana na janga la CCM, hiyo ni sababu kuu zaidi ya kushirikiana naye kadri iwezekanavyo ili lengo letu lifanikiwe.

Mbowe amekwishauza roho yake kwa shetani; shetani yule yule aliyewahi kuiteka roho ya Slaa.
 
Nawe unajisema tuuu! Kwani hata historia inayohitaji kumbukumbu ni ngumu kuielewa? Slaa Aliteuliwa ubalozi tokea CHADEMA? Tusilazimishe uelewa wenu mdogo.
Kinachowasumbua wengi hapa hata siyo Mbowe au CHADEMA, ni kutaka kuondoa uaminifu wa Slaa ili yote aliyoyasema kuhusu Bandari ionekane ni uongo. That's rubbish.

Tutamsikiliza hata kichaa siku anayosema ukweli, FINITO!
 
Fact check:
Slaa aliondoka chadema baada ya Lowasa kuruhusiwa na Mbowe .
Slaa akahama nchi kwenda kuishi Canada

Kule Canada alikuwa muuza vitu supa maketi

Baada Jpm kuchukua dola aliwachagua wengi wapinzani kwenye serikali pamoja na Kitila

Baadaye Slaa akapewa ubalozi Sweden.

Sasa hapo mlitaka Slaa afanyaje wakati kishajitoa?

Fact ni kuwa Slaa alitoka Chadema kwa sababu Mbowe alimleta Lowasa na ni fact kuwa ubalozi aliupata wakati uvhaguzi umepita na Slaa yupo Canada anaishi uhamishoni.

Mlitaka Slaa afanye nini? Akatae?
Hawa watu sijui wanajenga uadui na Slaa ili iweje. Mbona Mkumbo, Komu, etc. hawasemi ilikuwaje akatoka Kwenye Chama. Tatizo ni pale inapoonekana kuna mtu ana outsmart uwezo wao!
Tukubali kwamba kwa wakati huu Slaa anasema yanayoeleweka kwa wananchi; awe ni kibaka, mwizi, gaidi, muongo, n.k. tunasema asemayo kwa sasa ni perfect!

Bahati nzuri pia tukubali kwamba, ufaham,u wa Binadamu unaturuhu kuuona uaminifu wa Slaa usoni. KUna watu kwenye majukwa hata wakipiga kelele, tunachoona ni akili mbaya na sura za uongo.
 
Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini.

Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na ..👏👏Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA AKILI NDOGO KUYAONA HAYA YA HUYU MTU

KAMA ALIDIRIKI KUSEMA "KUPIGWA LISU RISASI NI KITU CHA KAWAIDA", HUYU MSIMUAMINI KATU!
umemaliza mkuu👏👏👏👏
 
Bado siamini kama kweli ninakusoma wewe, mkuu 'Retired'!

Uko sahihi kabisa kuhusu hilo la kuwa na mashaka juu ya Slaa. Binafsi sijawahi kuwa na imani kubwa juu yake hata wakati angali yupo CHADEMA.
Lakini kuna mambo ambayo huwezi kumnyima heshima yake. Kwa mfano; kazi yake kubwa na nzuri kabisa aliyokuwa akiifanya akiwa Katibu Mkuu wa chama hicho, rekodi hiyo ipo wazi na CHADEMA haijaweza kufikia rekodi yake hiyo tokea aondoke.
Kazi zake Bungeni akiwa Mbunge zilionekana; hakuwa mbunge wa kwenda kulala Bungeni.

Kwa hiyo, ni swala muhimu la kujiuliza, huyu Slaa ilikuwa kuwaje akakengeuka vile wakati ule wa kuondoka CHADEMA? Bila shaka yapo mengi ya kueleza hapo, na mtu pekee anayeweza kufanya hivyo ni yeye.
Na zaidi ya hivyo, baada ya kuondoka ndani ya chama alichokiongoza, halafu na kutumia maneno anayosemekana kuyatumia dhidi ya viongozi wenzake, hili ni jambo la kusikitisha kwelikweli juu ya huyu mtu

Sasa, baada ya kuyasema yote hayo, huyu Slaa anachopigania sasa, pamoja na historia yake hiyo mchanganyiko, hatuwezi tukamtazama katika haya yaliyopo sasa?
Yupo upande gani.
Anatetea maslahi ya nchi, au yupo kwenye kukandamiza maslahi hayo
Hatuwezi kutenganisha historia yake hiyo katika haya maswala yaliyopo sasa?

Kwani lengoletu hasa ni nini? Kumwamini Slaa, au kushiriki na yeyote atakayechangia ili taifa letu lifikie mahali tunapoamini kuwa maslahi yake yanalindwa?

Mimi simwamini Slaa, lakini kama yupo tayari kusaidia kupambana na janga la CCM, hiyo ni sababu kuu zaidi ya kushirikiana naye kadri iwezekanavyo ili lengo letu lifanikiwe.

Mbowe amekwishauza roho yake kwa shetani; shetani yule yule aliyewahi kuiteka roho ya Slaa.
Mbwembwe zooooote, ili tu upate sehemu ya kumkandia Mbowe. Una moral authority ipi ya kumkandia Mbowe wewe shujaa wa keyboard? Unataka Mbowe afanye nini cha zaidi ya anachofanya sasa? Kama unadhani mambo ni rahisi ingia uicheze ngoma, si kujiweka pembeni na kubeza jitihada za wenzako. Umeambiwa Mbowe alizaliwa kwa ajili yako? Why can't you appreciate what he has done so far? Kama huyo Slaa ni lulu mchukue wewe uanzishe naye chama.
 
Hawa watu sijui wanajenga uadui na Slaa ili iweje. Mbona Mkumbo, Komu, etc. hawasemi ilikuwaje akatoka Kwenye Chama. Tatizo ni pale inapoonekana kuna mtu ana outsmart uwezo wao!
Tukubali kwamba kwa wakati huu Slaa anasema yanayoeleweka kwa wananchi; awe ni kibaka, mwizi, gaidi, muongo, n.k. tunasema asemayo kwa sasa ni perfect!

Bahati nzuri pia tukubali kwamba, ufaham,u wa Binadamu unaturuhu kuuona uaminifu wa Slaa usoni. KUna watu kwenye majukwa hata wakipiga kelele, tunachoona ni akili mbaya na sura za uongo.
Hakuna mtu mwenye uadui na slaa acha upotoshaji
In fact slaa alivyowekwa korokoroni juzi kwenye sakata la bandari chadema ndo waliopiga kelele na sio ccm
 
Mbwembwe zooooote, ili tu upate sehemu ya kumkandia Mbowe. Una moral authority ipi ya kumkandia Mbowe wewe shujaa wa keyboard? Unataka Mbowe afanye nini cha zaidi ya anachofanya sasa? Kama unadhani mambo ni rahisi ingia uicheze ngoma, si kujiweka pembeni na kubeza jitihada za wenzako. Umeambiwa Mbowe alizaliwa kwa ajili yako? Why can't you appreciate what he has done so far? Kama huyo Slaa ni lulu mchukue wewe uanzishe naye chama.
Ndo maana kuna mtu nilimwambia ofisi za msajili zipo wazi akasajili chama kipya
 
Mbwembwe zooooote, ili tu upate sehemu ya kumkandia Mbowe. Una moral authority ipi ya kumkandia Mbowe wewe shujaa wa keyboard? Unataka Mbowe afanye nini cha zaidi ya anachofanya sasa? Kama unadhani mambo ni rahisi ingia uicheze ngoma, si kujiweka pembeni na kubeza jitihada za wenzako. Umeambiwa Mbowe alizaliwa kwa ajili yako? Why can't you appreciate what he has done so far? Kama huyo Slaa ni lulu mchukue wewe uanzishe naye chama.
Sasa mtu mbuzi kama wewe unataka nijadili kitu gani cha maana na wewe?
Nenda kafikirie hili kwanza, ukiona unazo akili za kutosha njoo hapa tumjadili huyo Mbowe unayedhani ni kila kitu kwako.
 
kinondoni, kaponea chupuchupu; na yule mashahidi askari kachesha watu kuwa Mbowe alitimkia ofisi ya CCM kujificha. Mara hii umesahau?
Acha uongo mbowe alitafutwa siku kadhaa ndo akapatikana
Kama ndo hivyo polisi wangeenda ofisi za ccm alikojificha kumchukua kirahisi achana na stori za vijiweni
 
Sasa mtu mbuzi kama wewe unataka nijadili kitu gani cha maana na wewe?
Nenda kafikirie hili kwanza, ukiona unazo akili za kutosha njoo hapa tumjadili huyo Mbowe unayedhani ni kila kitu kwako.
Ungejikita kwenye mada masula ya mbuzi yanatoka wapi
 
Bado siamini kama kweli ninakusoma wewe, mkuu 'Retired'!

Uko sahihi kabisa kuhusu hilo la kuwa na mashaka juu ya Slaa. Binafsi sijawahi kuwa na imani kubwa juu yake hata wakati angali yupo CHADEMA.
Lakini kuna mambo ambayo huwezi kumnyima heshima yake. Kwa mfano; kazi yake kubwa na nzuri kabisa aliyokuwa akiifanya akiwa Katibu Mkuu wa chama hicho, rekodi hiyo ipo wazi na CHADEMA haijaweza kufikia rekodi yake hiyo tokea aondoke.
Kazi zake Bungeni akiwa Mbunge zilionekana; hakuwa mbunge wa kwenda kulala Bungeni.

Kwa hiyo, ni swala muhimu la kujiuliza, huyu Slaa ilikuwa kuwaje akakengeuka vile wakati ule wa kuondoka CHADEMA? Bila shaka yapo mengi ya kueleza hapo, na mtu pekee anayeweza kufanya hivyo ni yeye.
Na zaidi ya hivyo, baada ya kuondoka ndani ya chama alichokiongoza, halafu na kutumia maneno anayosemekana kuyatumia dhidi ya viongozi wenzake, hili ni jambo la kusikitisha kwelikweli juu ya huyu mtu

Sasa, baada ya kuyasema yote hayo, huyu Slaa anachopigania sasa, pamoja na historia yake hiyo mchanganyiko, hatuwezi tukamtazama katika haya yaliyopo sasa?
Yupo upande gani.
Anatetea maslahi ya nchi, au yupo kwenye kukandamiza maslahi hayo
Hatuwezi kutenganisha historia yake hiyo katika haya maswala yaliyopo sasa?

Kwani lengoletu hasa ni nini? Kumwamini Slaa, au kushiriki na yeyote atakayechangia ili taifa letu lifikie mahali tunapoamini kuwa maslahi yake yanalindwa?

Mimi simwamini Slaa, lakini kama yupo tayari kusaidia kupambana na janga la CCM, hiyo ni sababu kuu zaidi ya kushirikiana naye kadri iwezekanavyo ili lengo letu lifanikiwe.

Mbowe amekwishauza roho yake kwa shetani; shetani yule yule aliyewahi kuiteka roho ya Slaa.

Ninakazia:

Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa
 
Sasa mtu mbuzi kama wewe unataka nijadili kitu gani cha maana na wewe?
Nenda kafikirie hili kwanza, ukiona unazo akili za kutosha njoo hapa tumjadili huyo Mbowe unayedhani ni kila kitu kwako.
Nina muda huo mchafu basi? Wewe kambebe huyo Slaa ukaishi naye kwako kama unampenda saaana. Tuachie Mbowe wetu sisi tunayemkubali.
 
Back
Top Bottom