Dkt. Slaa hata azungumze nini sitakaa nimsikilize au kumuamini

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
358
Reaction score
1,887
Unamwaminije mtu ambaye haamini anasimamia nini, mambo mawili tu yananifanya nione kama Hana uhalali wa kuongea ni huyu aliwaita CCM mafisadi waovu wasiofaa lakini alitoka Chadema akajiunga nao akapewa ubalozi akala nao meza moja namwinije sasa.

Alisema alivokua chadema kuna mtu alitekwa wakaripoti polisi kesho yake mtekwaji akasema alijiteka akiwa katibu mkuu akatunza Siri ya mbinu za chama chake alivotoka akaanza kuzitoa nimwaminije mzee kama huyu.

Kushambuliwa kwa lissu nako ni majanga huyu mzee hakuonesha wala kulaani lile tukio.
 
Kwahiyo unawaamini waliotoa orodha ya mafisadi Papa Mwembeyanga, miaka michache mbele wakamchukua fisadi mmojawapo na kumpa nafasi kugombea ngazi ya juu(cheo Cha juu) kuliko vyote nchini?, Huwa nahisi Kuna nguvu za giza zilitumika kuwafanya watu mataahira 2015, badala ya kushambulia waliomkaribisha Lowassa alishambuliwa Slaa na kuonekana mbaya, waliobadili gia angani walionekana wajanja.
 
Unamwaminije mtu ambae haamini anasimamia nini, mambo mawili tu yananifanya nione kama Hana uhalali wa kuongea ni huyu aliwaita ccm mafusadi waovu wasiofaa lakini alitoka chadema akajiunga nao akapewa ubalozi akala nao meza moja namwinije sasa

Alisema alivokua chadema kuna mtu alitekwa wakaripoti polisi kesho yake mtekwaji akasema alijiteka akiwa katibu mkuu akatunza Siri ya mbinu za chama chake alivotoka akaanza kuzitoa nimwaminije mzee kama huyu

Kushambuliwa kwa lissu nako ni majanga huyu mzee hakuonesha wala kulaani lile tukio
Kuna yule mataga sijui aliendaga wapi,thread kama hizi ni lazima apost picha ya Mbowe,Lissu,Mnyika na Msigwa wakimponda Lowasa kabla hajahamia CHADEMA na kauli zao baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA
 
Aahaaaaa
 
Usichokijua, wanasiasa wooote hata hao unaowaamini wapo hivyohivyo. kwa slaa ilikuwa lazima afanye alichokifanya, manake lowasa ambaye yeye kwa msimamo wake hakutaka aje walimleta na aliona uozo wote wa pesa aliyokuwa ameimwaga. kulinda credibility yake akataka ang'atuke, kutaka kuondoka anajua jamaa zake walivyo mafia wangemmaliza,akamaamua kulikabidhi mikononi mwa adui ili apote, na ilikuwa lazima afanye vile, lasivyo tusingemsikia hivi leo.

Wanasiasa woote hao washahongwa sana, washauza sana wananchi, hatuna pa kukimbilia tu ndio maana tunatafuta aliye nafuu, ila mtakatifu huwezi kumpata. Though kwa uwezo wa siasa, watu wachache sana wanamzidi akili na uwezo Dr slaa. huyu ndio mwanasiasa aliyeweka historia kwenye taifa hili.
 
Kwahiyo unawaamini waliotoa orodha ya mafisadi Papa Mwembeyanga, miaka michache mbele wakamchukua fisadi mmojawapo na kumpa nafasi kugombea ngazi ya juu(cheo Cha juu) kuliko vyote nchini?, Huwa nahisi Kuna nguvu za giza zilitumika kuwafanya watu mataahira 2015, badala ya kushambulia waliomkaribisha Lowassa alishambuliwa Slaa na kuonekana mbaya, waliobadili gia angani walionekana wajanja.
Wamesahau Asante kwa kuwakumbusha
 
Unamwaminije mtu ambae haamini anasimamia nini, mambo mawili tu yananifanya nione kama Hana uhalali wa kuongea ni huyu aliwaita ccm mafusadi waovu wasiofaa lakini alitoka chadema akajiunga nao akapewa ubalozi akala nao meza moja namwinije sasa

Alisema alivokua chadema kuna mtu alitekwa wakaripoti polisi kesho yake mtekwaji akasema alijiteka akiwa katibu mkuu akatunza Siri ya mbinu za chama chake alivotoka akaanza kuzitoa nimwaminije mzee kama huyu

Kushambuliwa kwa lissu nako ni majanga huyu mzee hakuonesha wala kulaani lile tukio
Unamuongeleaje Mbowe aliyempokea Lowassa na kuzunguka nchi nzima kumsafisha
 
Kuna yule mataga sijui aliendaga wapi,thread kama hizi ni lazima apost picha ya Mbowe,Lissu,Mnyika na Msigwa wakimponda Lowasa kabla hajahamia CHADEMA na kauli zao baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA
🤣🤣🤣🤣
 
Unamwaminije mtu ambae haamini anasimamia nini, mambo mawili tu yananifanya nione kama Hana uhalali wa kuongea ni huyu aliwaita ccm mafusadi waovu wasiofaa lakini alitoka chadema akajiunga nao akapewa ubalozi akala nao meza moja namwinije sasa

Alisema alivokua chadema kuna mtu alitekwa wakaripoti polisi kesho yake mtekwaji akasema alijiteka akiwa katibu mkuu akatunza Siri ya mbinu za chama chake alivotoka akaanza kuzitoa nimwaminije mzee kama huyu

Kushambuliwa kwa lissu nako ni majanga huyu mzee hakuonesha wala kulaani lile tukio

Slaa hahitaji umuaamini, ukweli wake unajitosheleza. Wote wenye akili tunajua Slaa kaongea ukweli.
 
Unamwaminije mtu ambae haamini anasimamia nini, mambo mawili tu yananifanya nione kama Hana uhalali wa kuongea ni huyu aliwaita ccm mafusadi waovu wasiofaa lakini alitoka chadema akajiunga nao akapewa ubalozi akala nao meza moja namwinije sasa

Alisema alivokua chadema kuna mtu alitekwa wakaripoti polisi kesho yake mtekwaji akasema alijiteka akiwa katibu mkuu akatunza Siri ya mbinu za chama chake alivotoka akaanza kuzitoa nimwaminije mzee kama huyu

Kushambuliwa kwa lissu nako ni majanga huyu mzee hakuonesha wala kulaani lile tukio
Sawa na wewe zungumza ili tukudharau kama Dr Slaa!
 
Back
Top Bottom