Dkt. Slaa katika uzinduzi wa jengo la kuhifadhia madawa CCBRT

Wanasiasa bana!

Wenzangu na mimi mnatoana macho kwa sababu katika majukwaa wanatuaminisha kuna uadui lakini wao peke yao lao moja tu wanasema "siasa sio uadui"! Nakumbuka Rose Kamili kwenye ile Press alivyokuwa anasimulia ukaribu wa Dr Slaa na familia ya Lowassa na kuuliza ni wapi Dr Slaa amepata chuki dhidi ya Lowassa.

Yes, siasa sio uadui.
 

ID mpya cjui ya lumumba au masaki data centre kujaza ujinga wa ccm kwenye mitandao ya jamii!!!
 

Mbona hakuna ulicho maanisha?
 

Slaa ni ndumilakuwili
 
Dr slaa ni mtu anayefundisha vijana wawe na misimamo viva dr slaa
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
wee ndiyo umeua kabisa!!

Heri wanao cheka maana watalia na kuomboleza. Huyo alikuwa kwa maslahi ya Taifa sio kama Mbowe au wapumbavu wengine wa Chadema. Pole.
 
Dr. Mihogo kapatwa na nini? huo uvaaji gani huo (.. jeans & shati ambalo halijaona pasi) kwenye shughuli kubwa kama hiyo?
 
Angalia kwa makini Le Profeseri anavyomwangalia Dakta Mihogo akihutubia. Cheki macho ya Kova na akina Sadick. Watakuwa wanacheka kimoyo kimoyo haki anani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…