kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Slaa anataka katiba mpya wakati Magufuli alipinga vikali katiba mpyaKama ni kweli basi Nitajenga Ofisi ya Chama ya Kata na nitakua Mwanachama kindaki ndaki .
Muhimu wafuate sera za Magufuli
Slaa anataka katiba mpya wakati Magufuli alipinga vikali katiba mpyaAkifanya hivyo hata mimi binafsi nitamuunga mkono. Tunahitaji uelekeo mpya wa upinzani na sio janja janja zinazoendelea.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wewe na GENTAMYCINE hamna tofauti sana,wote ni attention seekersNdio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
Katiba Mpyaz namm naitaka, ila Ndani yake Kuna mambo lazima yabaki ivoivo bila kubadilishwa, suala la muungano, kama Katiba ya Slaa ,ni yakuvunja muungano, Hatopata Uungwaji wangu mkono Ng'ooo !!.Slaa anataka katiba mpya wakati Magufuli alipinga vikali katiba mpya
Magufuli pia aliamini katika mfumo wa chama kimoja, ambacho ni CCM, na wanaopinga CCM ni marafiki wa mabeberu
Nenda huko Umoja Party,huku CCM atukujuiSiku umoja party inaanza rasmi ccm kadi zote nachoma
Walai kwa moyo wangu wote hata niwekewe gobole kwa sasa ccm naichukia sana
Nataman chama kianze niwe hata mwenezi bila kulipwa sent tano au katibu wilaya bila sent moja
Naichukia sana kwa sasa ccm
Nipo kwa sababu upinzani waliopo nao hakuna kitu ni maccm pia
Point notedChama chochote kinachopata usajili wa Kudumu miaka 2 kabla ya uchaguzi Mkuu - kanyaboya.
Kumbuka Msajili wa vyama ni mwana CCM na lazima afanye kazi yake huku akiweka maslahi ya chama chake mbele recall migogoro yote ya vyama vya siasa muhusika ni yupi?
Nitajiunga nayeNdio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
Vipi Luhaga Mpina amegoma kuachia ulaji huko CCM aje kuwapigania wanyonge?Watanzania wa machame mliouza chama Monduli au?
Ila pamoja na huku Kutuchukia Kwako 24/7 hapa JamiiForums Mimi na johnthebaptist ila huachi Kutusoma na Kutufuatilia. Kwa niaba yake tunakushukuru mno na sana.Wewe na GENTAMYCINE hamna tofauti sana,wote ni attention seekers
Lakini mwendakuzimu alikuwa haamini katika mfumo wa vyama vingi, na msimamo wake kuhusu wanaoipinga CCM ni vibaraka wa mabeberuHuko ndiko kunakomfaa(kama hizo habari ni za kweli) maana hicho kitakuwa ni chama cha waliokuwa chawa wa Mwendakuzimu(chama cha Sukuma gang).
Ana laana ya kukana kiapo chake Cha upadriSlaa kigeugeu! hajui anachotaka wala kesho ataamkia wapi mwenyewe hajui.
alipewa kazi ya upadri ukamshinda, mke kashindwa akapora nawawatu naye amemshindwa, cdm akashindwa akaingia ccm nako ameshindwa!!
Watu wahivi huishia maisha ya kutangatanga bila ya heshma wala legacy yoyote.
Hajui kuwa na subira na kujenga kitu kikasimama anataka arukie chawatu kisha akiharibu na kukimbilia kwingine huku akijinasibu kuwa yeye ni mtu smart sana hawezi kuvumilia makosa...
Huyu poor slaa mkumbuke role model wake ni maremu aliyetutaabisha wengi kwa ubabe wa kidikteta naye alidumu kumpigia makofi na kumsaidia kazi. Good for nothing...
AahaahaajIla pamoja na huku Kutuchukia Kwako 24/7 hapa JamiiForums Mimi na johnthebaptist ila huachi Kutusoma na Kutufuatilia. Kwa niaba yake tunakushukuru mno na sana.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!