Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
ndio maana sasaiv ccm wanahaha maana chadema imewashika pabaya na 2025 huku kanda ya ziwa ccm haitapata majimbo zaid ya 10.its the old technique that CCM has been using... Wagombanishe, wagawanye kisha uwatawale. Kumbuka UKAWA ilivyosambaratika dakika za majerushi kabla ya uchaguzi Mkuu.
Hakuamini Katika Mfumo huu bandia!Lakini mwendakuzimu alikuwa haamini katika mfumo wa vyama vingi, na msimamo wake kuhusu wanaoipinga CCM ni vibaraka wa mabeberu
😄Miye namba 7,nyuma yako
Unakumbuka jibu alilotoa Tundu Lissu alipoulizwa kwanini wamekubali kupokea ruzuku ingawa sababu za kukataa mwanzo hazijabadilika? Mimi nilimwelewa vizuri ndio maana kuna directions mpya tunahitaji.Slaa anataka katiba mpya wakati Magufuli alipinga vikali katiba mpya
Magufuli pia aliamini katika mfumo wa chama kimoja, ambacho ni CCM, na wanaopinga CCM ni marafiki wa mabeberu
We hunishindi mimi. Nimemiss sana siasa za upinzani wa kweli.Kama ni kweli basi Nitajenga Ofisi ya Chama ya Kata na nitakua Mwanachama kindaki ndaki .
Muhimu wafuate sera za Magufuli
Hiki kama Mungu akijalia ndo kitakuwa chama changu Cha kwanza kujiunga nacho Mungu saidia UMOJA PARTY kipate usajiliNdio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
watz wanapenda umbea sana. yaani watu wa ofisi ya msajili ndiyo wanavujisha mambo ya siri kuhusu vyama.Ndio taarifa za chini kwa chini kwamba Dr Slaa ataibuka na chama kipya cha Umoja ( Umoja Party)
Taarifa zaidi zitawajia kwa kadri zitakavyothibitishwa hasa na watu wa ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Mlale unono!
Atakuteua wewe uwe msemaji wa chama.
😆Aliyeona majibu ya wito wake huu johnthebaptist atuonyeshe yalipo. 🤣🤣
Hao ndio namba moja wakifuatiwa na wapumuliwa kisogoni au wabeligijiHata wa zambarau wasanii?
wasiwasi wake tu sababu alijijua hakuna na uwezo katika malumbano ya kisiasa na hapo ndipo udhaifu wake ulipokuwa.Hakuamini Katika Mfumo huu bandia!
Mbona Raila ni mpinzani lakini alikuwa ndio Rafiki yake mkubwa!
Alimuonesha kuwa Yeye siyo Uchwara!wasiwasi wake tu sababu alijijua hakuna na uwezo katika malumbano ya kisiasa na hapo ndipo udhaifu wake ulipokuwa.
Kwa mfano alipoitwa Dikteta uchwara alishindwa kabisa kuvumilia na kuwaambia watanzania kwamba yeye si dikteta, sasa badala yake alifanya kile anakiona ni chepesi kwake.
nani kaonekana ni uchwara kwa sasa?Alimuonesha kuwa Yeye siyo Uchwara!
Alisaliti wachaga siyo watanzania. Watanzania alituunga mkono kwa kuondoka kweñye chama cha kikabila na kuungana na muungwana mwenzake MagufuliAtuombe radhi kwanza waTZ Kwa kutusaliti.
hamna lolote njaa haina adabu... hainaga cha mzee wala kijana inakufanya uuze utu wako.Alisaliti wachaga siyo watanzania. Watanzania alituunga mkono kwa kuondoka kweñye chama cha kikabila na kuungana na muungwana mwenzake Magufuli
Lisu: Misimamo ya kisiasa hubadilika kulingana na Mazingira wala siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawenani kaonekana ni uchwara kwa sasa?
Mikimiki #nguvuyaummaWe hunishindi mimi. Nimemiss sana siasa za upinzani wa kweli.