OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Angalau hao wanarudisha ihsani... wengine washapoteana wanaona hadi shida kutamka Magufuli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Masikini Magufuli, hakuna hata intellectual wa maana anayemshobokea kuhusu legacy yake
Ni hao watu wa ukanda wake tu, eti Musukuma na Shibuda
Wewe unaijua falsafa ya Mwendazake? Inaitwaje?Hamtaweza kuzima falsafa ya magufuli kwa mere accusations.
Hadi mwisho wa dahari
Good idea, but, unfortunately partisanship has robbed us our sense of judgement.Itakuwa hot sana ila wangekaribisha na critics wa JPM ili tusikie hoja za kina pande zote. John Heche, Ezekiel Wenje au hata Lissu awakilishe on line.
Itakuwa hot sana ila wangekaribisha na critics wa JPM ili tusikie hoja za kina pande zote. John Heche, Ezekiel Wenje au hata Lissu awakilishe on line.
Ni vizuri wasomi wakajadiliana kisomi bila ushabiki kama tulivyo wafuasi na wapenzi wa vyama.
Aathudhuria yeye na Rose Kamili.Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli....
Musukuma ni Dokta siku hizi[emoji23]Slaa siku hizi ni TAKATAKA!! kafikia kukaa meza moja na akina Musukuma Kasheku kuchambua mada?
Kweli mwanamke ni shetani Josephine mrudishie huyu mzee heshima yake.
Hasara ni kuja kusahaulika kabisa!! Kwa wananchi wengi, kutokana na matendo yake maovu kuwa mengi kuliko mazuri!!unaona kina Mandela , Nyerere, na wengine hawatasahaulika lakini .Na legacy wala haihitaji nguvu kuelezwa bali hujieleza yenyewe!
Mwanasiasa bora kabisa kuwahi kutokea ktk nchi hii.
Viva Dr slaaa!
Mwanasiasa mkweli asiyeyumba wala kuyumbishwa ktk misimamo yake.
Na wewe jiandae kuliwa!! Unasheherekea sehem ambayo wote tutaendaKweli nimekumbuka kumbe keshaliwa na funza...wafuasi wake ndio wana sonona
Hivi wasomi wetu hawana shughuli zingine hadi kuandaa kongamano kama hili.Sasa hivi redio Tv kutwa kumsifia Samia na mwaka mmoja wa magufuli.Hatunywi maji .kwa hiyo PHD ya Msukuma inatumbulika na Chuo cha sauti.bongo aisee ni kiboko.Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli...